Serikali ya JK ndio ilimfikisha mramba mahakamani kwa ubadhirifu, serikali ya jk ndio ilimlazimisha lowassa kujiuzulu, leo hii bila ya aibu anawashika mkono na kutuomba kuwachagua kuwa viongozi...
Kama wewe ni mfuatiliaji wa siasa za Tanzania nafikiri utakubaliana nami nitakachokisema.
Kitendo cha hivi karibuni cha Makamba kukimbilia upesi upesi kwenye tukio la mauaji ya Maswa na kusema...
Jioni hii kuna mikutano miwili mikubwa jijini Mwanza.
JK ametua kumpigia debe mgombea wake wa CCM Laurent Masha dhidi ya Wenje wa CHADEMA.
Ujio wa Dk.Slaa pamoja kampeni ya nguvu dhidi ya...
I am volunteer for Chris Cares International ( Chris Cares, Inc. ) a non profit organization which fight poverty through education in Tanzania.
We have been voted the City of Boston's Volunteers...
Maoni yangu ~ mtu aitwe 'mheshimiwa' baada ya matendo yanayostahili heshima... kubandikwa cheo baada ya uchaguzi tu kinawafanya wengineo wavimbe vichwa na kuamua sheria za nchi haziwahusu... ama?
Kila kona ya Tanzania, Dr Slaa ameshakubalika, kuanzia mashariki, magharibi, kanda ya Ziwa, kanda ya kusini, kanda ya kaskazini, kanda ya kati mpaka Zanzibar.
JK ajiandae kuachia madaraka...
:A S cry:
Haya ni masikitiko sana kwa jinsi Wananchi wa taifa hili wanavyofanywa mazuzu na mbumbumbu kila uchao na viongozi hawa wa CCM na wananchi wenyewe hawajijui wala kujitambua kuwa...
Kuna picha za akina mama wenye watoto hapa wanahudhuria mkutano wa campaign wa Dr Slaa. Picha hii imenifanya niadike thread hii. Kwa mda mrefu sana vyama vya upinzani vimekuwa vikipakwa matope...
Dr. SLAA kama alivyokuwa Nyerere amesisitiza juu ya UONGOZI BORA lakini Kikwete amesisitiza juu ya UTAWALA BORA. Ki nadharia na kiutendaji hivi ni vitu viwili tofauti vilivyo pishana kwa mapana...
Nawapenda sana nyote, na upendo wangu kwenu utazidi sana mkitumia busara na hekima kumpeleka Dr Slaa ikulu ili kuiongoza nchi hii na kuisaidia kiMaendeleo na kujenga utu wa Mtanzania wenye heshima...
Kwenu wanaJF.
Je ni sawa kuwepo kwa mdahalo kati ya CCM na vyama vingine vya upinzani???
Nimependa niweke mada hii kwa mambo mawili.. matatu yafuatayo:
- Kwanza:
Kuweka mdahalo kati ya...
Ee Mungu, mweza wa yote, muumba wa mbingu na nchi. Najinyenyekeza mbele zako kwani najua we ni mkuu haufananishwi na chochote.
Naomba uifanye kura yangu sawa na kaa la moto kwa wale watakaotaka...
Wakuu,
Napenda kuwafahamisha kuwa kesho Dr. Slaa atakuwa viwanja vya Mwembeyanga jijini Dar es Salaam ambapo atakuwa LIVE ndani ya TBC1 pia kuanzia saa 10 jioni kwa muda wa masaa 3.
Aidha...
Yaani huwezi amini. Zikiwa zimebaki siku 5 tu kabla ya uchaguzi mkuu kufanyika WASIMAMIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA bado hawajafahamika mpaka sasa.
Mimi nipo katika mkoa wa Dar es salaam. Na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.