Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Vuguvugu za Watanganyika kutaka uhuru 1961 zinafanana na vuguvugu la mwaka huu 2010 wa uchaguzi ambapo Watanzania wameonyesha uchu na matumaini ya kufanya mabadiliko makubwa. Mwaka 1961 Mwl...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
MAMBO AMBAYO UNATAKIWA KUJUA KUHUSU KURA YAKO: Na. M. M. Mwanakijiji Kura yako ina nguvu gani na kwanini? 1. Kura yako ndiyo lugha pekee ambayo wanasiasa wanaielewa. Wanasiasa wote duniani...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Katika hatua za kumalizia ushindi, namshauri Rais mtarajiwa na kampeni meneja wake, warushe vipindi vya televisheni kila siku kuanzia leo hadi tarehe ya uchaguzi. Hii itasaidia watu ambao...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Leo ni siku ambayo"kiongozi wa mkuu anawasili katika jimbo la busanda katika kata ya nyarugusu"vijana wengi hawaoneshi msisimko wowote ambao watu wengi wamechoka na chama cha ccm mpaka wazee nao...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Ukiangalia trend ya kisiasa hapa nchini unapata wazo kwamba mwaka 2015 CCM inaweza kuzikwa rasmi. Premise hii naijenga kutokana na ukweli kuwa 'voting age' inayokipenda Chama Cha Mapindizi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
JK atangaza kumaliza tatizo la maji umasaini Kizitto Noya, Simanjiro MGOMBEA urais kwa tiketi ya CCM, Jakaya Kikwete jana aliendelea na kampeni katika Jimbo la Simanjaro...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
miongoni mwa kauli zilizonifurahisha zilizotolewa na dk ws kwenye mahojiano ya moja kwa moja aliyofanya na kituo cha runinga cha itv hivi karibuni, ni kauli yake hiyo ya kutokukubali damu ya...
0 Reactions
0 Replies
978 Views
YouTube - Kakobe_elimu_Uchaguzi_2010 http://www.youtube.com/watch?v=McUvndm5j0M&NR=1 SI vibaya ukamwamgalia
0 Reactions
1 Replies
907 Views
Shibuda azushiwa tuhuma nyingine Zulfa Mfinanga, Shinyanga na Frederick Katulanda, Mwanza HALI ya kisiasa kwenye Jimbo la Maswa Magharibi bado ni tete baada ya mgombea ubunge kwa tiketi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
"Nimeingia Maswa na kukutana vurugu za kisiasa kati ya CCM na CHADEMA,vurugu hizo zimepelekea watu kadhaa kujeruhiwa na dereva aliekuwa anaendesha gari la kampeni la CCM kuuawa na wafuasi wa...
0 Reactions
198 Replies
18K Views
Monduli wanaishi maisha magumu. Tanzania bila CCM inawezekana, na kuendelea kukaa na CCM ni maafa makubwa. Kama ningesema uongo kuhusu ufisadi wa JK na waswaiba wake, mbona sichukuliwi hatua...
0 Reactions
34 Replies
4K Views
Jamani watanzania wengi wanaitaji kumuona dr slaa..km kuna mtu anajua ratiba ya dr,bas atufahamishe lin ataenda huko lindi,mtwara,ruvuma.najua ruvuma alienda songea na mbinga masharik tu,vp kuhusu...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Baada ya maswali mengi kuzagaa kuwa wastaafu wa CCM na serikali yake aidha wamemsusa JK au wamesoma alama za wakati na kuingia mitini, Raisi Mstaafu Mwinyi alionekana ITV taarifa ya saa mbili...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Salaam, Sote tumeona kuwa kumekuwa na unfair coverage (very biased) kwenye media ya Tanzania kuhusu kampeni za uchaguzi zinazoendelea. Coverage yenyewe imekuwa na lengo la kuibeba CCM na Kikwete...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Mgombea Ubunge wa Chadema jimbo la Maswa Magharibi John Shibuda ameachiwa huru na kusema kuwa kukamatwa huko na kuwekwa ndani kumempatia umaarufu hivyo atashinda.
0 Reactions
55 Replies
5K Views
Ikiwa zimebaki siku chache kabla kupiga kura wanaJF nawakumbusha kuhakiki majina yenu kwenye vituo vya kupiga kura,ili kama kuna dosari ishugulikiwa mara moja.Ili tuweze kufikia malengo yetu ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hivi ni mara ngapi katika hotuba Ndg Maalim Seif husema neno sawa sawa mi naanza kumbatiza Jina Maalim Seif bin Sawa sawa! so itakuwa pale umati utakapojibu si sawa nathani mziki wake utajulikana...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kwa mujibu wa makahama kuu kanda ya Arusha iliyoketi kwenye kesi ndefu zaidi ya uchaguzi kuliko zote kuwahi kufanyika kwenye historia ya taifa hili la Tanzania ni kuwa Jaji Makaramba ametoa hukumu...
0 Reactions
74 Replies
9K Views
Na Mashaka Mgeta 24th October 2010 Akiwa njiani kutokea Sumbawanga mkoa wa Rukwa, Mama Salma Kikwete ambaye ni mke wa mgombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Enyi wana wa nchi Nchi yenu i uchi Mabedui wanaisachi Toka enzi i bichi Wameishika pabaya Waichezea ka' malaya Mwasikia enyi wa kaya Chonde muyaelewe haya Ndipo ikaja sauti Thamani yake Yakuti...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom