Nafikiri Mgombea wa Urais kupitia chama cha CCM wanamshauri vibaya ili apate wakati mgumu kwenye kusaka kura. Kasi yake ya kuchukua madeni ya Vyama vya Ushirika ambavyo chanzo chake kikubwa ni...
Kikwete!
Miaka mitano madarakani hujafanya lolote zaidi ya kuanguka majukwaani
Miaka mitano madarakani hujafanya lolote zaidi ya kwenda ughaibuni kuhemea pesa za matibabu ya maradhi yako ya...
Nimekuwa nikifuatilia jinsi vyama vyetu vinavyofanya kampeni zake, hususan jinsi ya kuwafikishia wananchi, wapiga kura, taarifa mbalimbali
zipo njia nyingi lakini moja ni ile ya kutumia vyombo...
Jamani hali ya hewa ni mbaya sana kwa sisi m hata vijijini. Hivi sasa nipo Kagera kwenye msiba na nipo eneo linaitwa Izibya ni Bukoba vijijini. Hapa ni usiku na tupo watu wengi kulala hapa...
Binafsi namuona Dr. Slaa kama mtu maarufu zaidi kwenye Kampeni za uchaguzi wa Mwaka huu. Lakini kwa upande wa Pili namuona kama Daudi kwenye simulizi za Biblia aliyemshinda Goliathi, Daudi alikuwa...
Ndio nimeingia Bukoba jioni hii na nimebahatika kusikiliza kipindi cha kimoja ndani ya radio hii mnamo saa 3.30 usiku. kilichokuwa kinazungumzwa nimeshindwa kuelewa hasa muda wa kampeni zinaisha...
Salaam Ndugu zanguni:
Ama baada ya salaam ningependa kuwatakia heri na pilikapilika za uchaguzi. Pamoja na hayo ni lazima tuendelee kupanuana mawazo na kuacha kuchukulia siasa kama ushabiki wa...
Monday, 11 October 2010 07:48
Daniel Mjema,
Same
WAZIRI mkuu mstaafu, Frederick Sumaye jana aliibuka hadharani na kutoa hotuba kali ya kukemea wagombea wanaotoa rushwa, akisema kuwa njia...
MWENYEKITI wa Chama cha Mapinduzi (CCM), katika kata ya Kukirango wilayani Butiama mkoani Mara, Lucas Magweiga (43), amejiengua kwenye chama hicho na kujiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
kumekuwepo na matumizi makubwa ambayo hayajawahi kutokea yakiendeshwa na chama kilicho madarakani, sasa mimi na wewe tukiwa watanzania wenye nia ya kuona nchi yetu inapiga hatua ya kimaendeleo...
Ndg wana JF.
katika pitapita yangu nimekutana na opinion poll inayoendelea kupitia link hii http://tzpoll.com/?page_id=195
Poll zote zinazoendeshwa kwenye net Dr. Slaa ni zaidi hawa REDET...
NDUGU WANA JAMVI, NIMEKUTANA NA ARTICLE HII KATIKA MAIL ZINAZOZUNGUKA MTAANI
Subject: Maisha Bora ni yapi?
Viongozi wa juu wanalipwa mishahara mizuri sana na hapo hapo hawalipii zile huduma...
Slaa: Watanzania ipuzeeni CCM
Asema imeonyesha dalili za kufa
na Mwandishi wetu
MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, amewataka...
Tanzania People's Defence Force
From Wikipedia, the free encyclopedia
Jump to: navigation, search
This article does not cite any references or sources.
Please help improve this article by...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.