Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Habari ndugu zangu! Napenda kuweka wazi kuwa sina haja ya kuendelea kuitwa Mtanzania kama chama tawala cha sasa kitaendelea kushika hatam oct 31.. Kwa maana hiyo, sina haja ya kujivunia kuwa mie...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Zamani kiliitwa kipindi cha ''usiku wa habari'' kilichoanzishwa na bwn Muro kabla hajasimamishwa kwa tuhuma za kuomba rushwa kama ilivyoripotiwa na vyombo mblmbl ikiwemo TBC. Sasa kipindi...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Naomba kujua njia bora ya kumshawishi mtanzania hasa wa kijijini ambaye hajui nini chanzo cha umaskini wake ili aweze kuchagua mabadiliko. Kumbuka inawezekana wengi hawajui maana ya ufisadi wala...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau hebu tusaidiane. Inawezekana mimi ndo sina habari sahihi, kwa sababu pengeni sikufuatilia michakato ya uchaguzi ndani ya CCM na hata sifuatilii kampeni zao! Nijuavyo, Dr. Bilal ni mgombea...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Najiuliza maswali juu ya mstakabali wa nchi hii na siasa zake nakoswa jibu, maana nikikumbuka tangu 1977 CCM ilizaliwa lakini kila miaka ikienda nilitegemea kitakuwa chama chakuwatoa wananchi...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Mzee ulisema kuwa hakuna damu itakayomwagika katika uchaguzi huu. Lakini tokea wiki iliyopita pale watu wawili walipouwawa katika mapigano ya wana-CCM na wana-CHADEMA huko Njombe, bado hujatoa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kwa vyombo vya habari na jinsi vinavyotoa elimu ya uraia, asilimia 42.7 ya wahojiwa waliridhika na utendaji wake ambapo redio ziliongoza kwa asilimia 73.7, televisheni asilimia 41.6 na magazeti...
0 Reactions
44 Replies
4K Views
Mara tu baada ya Tanganyika kupata uhuru wake Mwalimu Nyerere aliwatangaza maadui watatu wa taifa hili kuwa ni Umaskini, Ujinga na Maradhi, na kaanzisha rasmi mapambano dhidi ya maadui hao. Licha...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Tanzania People's Defence Force From Wikipedia, the free encyclopedia Jump to: navigation, search This article does not cite any references or sources. Please help improve this article by...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Wana JF wenzangu nimekuwa mwanachama mtiifu wa CHADEMA tangu 1996 hadi hivi sasa nimevaa gwanda naombea kura chama changu. Licha ya juhudi zote hizi naona viongozi wetu wa CHADEMA hasa Dr slaa na...
0 Reactions
105 Replies
9K Views
Angalia na uamue mwenyewe: Hata mtoto huyu kafurahi kabisa na anapata kinywaji bariiiiiiidi:
0 Reactions
68 Replies
10K Views
Nina rafiki yangu mmoja alitegemea kufunga ndoa mwezi huu wa 10 na mdada falni ambae ni mwanajeshi wa JW. Vikao vishakaliwa na kila kitu kilikuwa pouwa kabisa, ila juzijuzi tu yule dada kapewa...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
NIMEHUDHURIA mikutano ya kampeni za awamu ya pili za mgombea urais wa CHADEMA, Dk. Willibrod Slaa. Kwa nguvu za kampuni ya gazeti hili la Raia Mwema, nimefika katika mikutano ya Ifakara...
0 Reactions
70 Replies
6K Views
The I Have a Dream Speech The following is the edited text of the spoken speech "I have a Dream" by Martin Luther King Jr, transcribed from recordings. I have related this Dream to our current...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
NINGEKUWA NA NAFASI YOYOTE YA UONGOZI CCM NINGEJIUZULU Nimekuwa nikiangalia kwa makini mwenendo mzima wa Kampeni za wagombea wa urais. Nimekuwa nikifuatilia masuala ambayo yangeitwa ni mazito...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimeangalia kwa muda sasa picha za Chadema kwenye mikutano yao ya kampeni. Jambo moja lililo dhahiri ni kuwa hawajajua namna ya kutumia rangi kujenga acceptance, ushirikiano, kukubalika, kupendwa...
0 Reactions
41 Replies
5K Views
Ingawa napenda sana Dk. SLAA awe Rais, lakini nimevumilia nimeshindwa!!Haka kamsemo ''Go Dk Slaa Goooooo.....'' huwa kananiuzi sana nikikaona. Nawakilisha.:flame::bump::A S 109::whoo::target:
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hawa wakazi wa kusini naamanisha mikoa ya Lindi na Mtwara najua kabisa wana hamu kubwa sana ya mabadiliko. Kwa sasa mimi nipo mtwara, nilipita huko mtaani yaani hali inakatisha tamaa, hawa jamaa...
0 Reactions
42 Replies
4K Views
In 2005, Dr. Salim Ahmed Salim tested JK's ruthlessness......Even the then PM, the soft spoken Tluway Sumaye was left gnashing and fuming..................... In 2010, sms tied to JK are doing...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakati wanachaguana wao kwa wao walikuja na Kauli Mbiu kuwa USHINDI NI LAZIMA! Hatukuwaelewa kwa sababu tushawazoea. Kwani walishawahi kusema Kasi Mpya, Nguvu Mpya na Ari Mpya na Tanzania Yenye...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom