Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
NAIBU katibu mkuu wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (Tucta) Nicolaus Mgaya jana alikuwa kivutio kikubwa mbele ya Rais Jakaya Kikwete wakati aliposhangiliwa kwa muda wa zaidi ya dakika kumi...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Katika hali ya kushangaza gazeti la uhuru wamekanusha kuendesha maoni yaliyokuwa yanahoji utendaji wa serikali. Kwa sasa imeondolewa. Na wanasema hawaendeshi maoni ya aina hiyo. Cha ajabu ni...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kero ya Fixed Charge kwenye ankara za Tanesco ni miongoni mwa kero nyingi ambazo zimekuwepo muda mrefu lakini hakuna hata kiongozi mmoja anayeelekea kuitatua. Ukitaka kuweka umeme kwenye jengo...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Jamani Jk jana alikutana uso kwa uso na raisi wa vyama vya wafanyakazi mbwana Mgaya.kitika muda wa kutambulishwa wageni walitambulishwa wengi lakini hakuna aliyopigiwa makofi au kushangiliwa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
leo nimefanikiwa kusikiliza kipindi cha PATA PATA katika radio ya WAPO FM 98.0. Kulikuwa na wasikilizaji wanatuma ujumbe wa maandishi kuhusu taarifa zilizokuwa zinatolewa. katika kipindi...
0 Reactions
26 Replies
8K Views
Habari za uhakika zilizonifikia hivi punde, Hazina imesimamisha miradi yote mipya ili kuelekeza fedha hizo katika kunusuru ajira ya JK na CCM serikalini ambayo hivi sasa inapumulia kwa mashine...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Ktk kipindi cha Jahazi cha Radio Clouds jioni hii, kuna hili limeripotiwa na producer Semalenga wakati wa kampeni za CCM, kuwa JK amesema vitu viwili vifuatavyo akiwa anamnadi mgombe wa jimbo hilo...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Dk Slaa amtaka Jk ataje waliopewa Sh1.7 trilioni Monday, 04 October 2010 07:34 digg Beatus Kagashe, Iringa MGOMBEA wa urais wa Muungano kwa tiketi ya Chadema , Dk...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wana JF; Kwa wale walio makini katika kusoma "Body Language": Je ni ujumbe gani tunaupata kutoka kwa Walinzi hawa wa amani waliokuwepo katika Mkutano wa Kampeni za Urais wa Dr. W.P. Slaa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kwanaza Naomba Nikupongeze MD wa Global Publishers. Nimekua nikipata habari nyingi za kuelimisha, Kufurahisha na mengine mengi. Naomba niseme Kuwa nimegundua at the moment you are biased...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Siku 28 kabla ya Watanzania kupiga kura ya kuchagua Rais, Wabunge na Madiwani, madhehebu kadhaa ya Kikristo nchini yameungana na Askofu Mkuu wa Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship, Zachary...
0 Reactions
43 Replies
7K Views
Source: Wananchi Wenye uhaba wa maji watakiwa kuvumilia
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Alhadj Aboud Jumbe Mwinyi
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Login | Facebook
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Siku ile ailita wafanyakazi Mbayuwayu na kusema " Mimi ndio mwajiri wenu.Atakayegoma nitamfukuza kazi" Nasi Oct 31 twendeni TUKAMFUKUZE KAZI Alisahau kuwa sisi ndio waajiri wake.
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Hivi huu mjadala umeishia wapi? na kwa mujibu wa Mfalme Sele wa Morogoro,je Zanzibar ni Nchi au sio nchi? http://www.youtube.com/watch?v=lYuGc9lHlWU&feature=related
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa muda mrefu kumwkuwa na thread kuwa wengi wa wanaokuja katika kampeni za CCM na JK mbali na kushangaa kuwa mgombea mmoja anaweza kusafiri kwa herikopta 3 lakini kuna tetesi kuwa huwa wanasombwa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wana JF, ukimwangalia sana JK utagundua kuwa kachoka bin taabani! Analazimisha tabasamu! Anaongea kama vile anaongea na waandishi wa habari, haongei kama anahutubia. Atamaliza kweli kampeni?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Hadi sasa wana jf jk hajafika pemba alikotakiwa kuhutubia na hapa watu wameanza kutawanyika,je ataweza kulinda muda uliowekwa na tume wa mwisho wa kampeni yaani 12 jioni?
0 Reactions
18 Replies
2K Views
kama ilivyo kawaida ya porojo za ccm kuwa wanamuenzi baba wa taifa huku wakiwa wachafu kimaadili kupindukia,ikiwa sasa kwenye kampeni zake hasa kwenye majimbo yenye wagombea wenye maadili shakani...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom