Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Hivi majuzi nilitembelewa na mama yangu kutoka kijijini kwetu. nilitaka kujua hali ya kisiasa huko wilayani kwetu maana ni sehemu ya ngome ya Mzee Mapesa. aliniambia kuwa mchuano ni mkali mpaka...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nilikuwa naangalia youtube ya Faustine Munishi anasema CCM wanataka kumuua, anasema maneno mazito kweli kweli. Bahati mbaya sijui ku-attach youtube file. Ni maneno mazito kweli kweli kama huyu...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Nimefurahishwa na uchambuzi ulioandikwa kwenye gazeti la KULIKONI hivi karibuni. Nitanukuu sehemu tu ya uchambuzi huu ili tuweze kuujadili. "Tabaka la mibaka-uchumi (mafisadi) limeteka nyara...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
yALIYOTOKEA zIMBABWE KWA rOBERT mUGABE NA ZANU-PF,ni kama yale yanayotokea Tanzania kwa Jakaya Kikwete na CCM:juhudi za kubaki madarakani "Kwa gharama yoyote ile"Jeshi halina sababu wala uwezo wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Baaaasi, Jamani kuna mtu amenifumbua macho kumbe tumsamehe bure nyimbo nayeye analinda sembe ya wanawe. Kwa mujibu wa katiba ya nchi Amiri Jeshi mkuu anaweza kuagiza itangazwe hali ya hatari na...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Hivi Chadema hawakusimamisha mgombea pale TBR Mjini? hawa jamaa naona wasanii tu wote hamna mwenye point hata mmoja, kwa mtaji huu CCM wameshalikwaa jimbo hilo!
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Me sikutaka kuamini kua nilisikia vizuriniliposikia BBC leo asubuhi kua eti Tanzania ni nchi kinara kwa utawala bora Afrika ya mashariki. Ikabidi nitege sikio vizuri, lakini ndipo iliposisitizwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wito wa kuchangia mabadiliko umeanza vizuri kwani wiki ya kwanza ile iliyoishia tarehe 27 Septemba kiasi kilichochangwa na Watanzania kwa njia mbalimbali ni shilingi 11,569,000! Kwa kiwango kidogo...
0 Reactions
53 Replies
5K Views
Ndugu wana JF, wiki moja iliyopita EA TV walikuwa na kipindi juu ya uchaguzi mkuu wa mwaka huu na mada iliyokuwa inajadiliwa ilihusu jinsi gani Umoja wa Wanafunzi wa Vyuo vya Elimu ya Juu Tanzania...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu wanaJF, nimesafiri kikazi nipo eneo la Mbulu mjini,top story hapa mjini ni kuhusu kuzomwea na kuitwa mwizi waziri Marmo. Habari zinasema alifika kijijini kwao katika harakati zake za...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
0 Reactions
1 Replies
887 Views
Je, matamshi na dhana ya Askofu Zakaria Kakobe kuwa Watanzania tuache kufuata siasa nyepesi (cheap politics) inaelweka vizuri?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
By Vicky Ntetema BBC News Advertisement Undercover filming with a witchdoctor I am living in hiding after I received threats because of my undercover work exposing the threat from witchdoctors...
0 Reactions
65 Replies
12K Views
Wednesday, 06 October 2010 Na Leon Bahati TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) imepinga kauli aliyotoa askofu mkuu wa Kanisa la Anglikana, Valentino Mokiwa kwamba wananchi...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Ndugu wana JF, naamini wanafunzi 60,000 waliochakachuliwa kwa makusudi na mafedhuli ni mtaji tosha kwa ukombozi wa nchi yetu, bilashaka ni mipango ya Mwenyezi Mungu kuwafunga wenye mamlaka ufahamu...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakati wa wizi wa kura, wako watu huteuliwa kupewa kazi ya kupiga kura kabla ya wakati. Hao huwekwa katika chumba maalum ambapo hufanya kazi ya kupiga kura na kujaza katika masanduku yaliyowekwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna wengi duniani wanaamini kuwa uchawi upo na wengine wanaamini kuwa haupo. Lakini hata Biblia inasema wazi kuwa wachawi na uchawi up. (Kumbuka katika kitabu cha daniel, mfalme Nebkadreza...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
katika siku za hivi karibuni ccm imeanzisha siasa za maji taka kwa kuwatisha watanzania kuhusu umwagaji damu, ikiwa ni pamoja na kulitumia jeshi. lengo la ccm ni kuwafanya watanzania wavihofie...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wana JF, Hivi karibuni nilikuwa Morogoro kwenye shughui zangu binafsi. Katika mizunguko yangu wilayani Mvomero nikajikuta nimevutiwa kutaka kujua hali ya kisiasa ikoje. Maeneo/vijiji...
0 Reactions
26 Replies
5K Views
Back
Top Bottom