Fredy Azzah
AFYA ya mgombea urais wa Muungano kwa tiketi ya UPDP, Fahmi Dovutwa bado tete na yuko kitandani kwa siku tisa sasa kutokana na tumbo lake kujaa gesi, na hivyo kupata maumivu makali ya...
Wana JF naombeni kufahamu kuna kitu nimekuwa nakisikia kwamba kipo ndani ya CCM, Kwa mfano kuna siku tulikuwa tumekaa mahala na jamaa zangu, tukibashiri uchaguzi wa mwaka 2015 kwamba ni nani...
Hivi wale jamaa wanaofanya vikao vyao pale Kinondoni Makaburini kwa nyuma (Shadema) ni nani wajumbe wa kudumu katika ule mkutano wao mkubwa?Halafu wale wamama wa viti maalumu ni kina nani...
Kura za maoni zilimsaidia Obama kuingia White House.
Mimi nina amini na kuheshimu kura za maoni...Wewe Je?
Karibu Jamvini
1. Tanzania Opinion Poll Service: Tanzania General Election 2010
2...
jk amekuwa akitoa kaulia za utata kwenye kampeni zake,
nilichokuja kugundua watanzania wanapaswa kuzichukulia kama utani na wanapaswa kuozoea utani wa
jk na kufanya maamuzi sahihi octoba...
Jana jioni niliangalia taarifa ya habari ya TBC1 nakuona jinsi hii TV ya uma ilivyo chafu! Walitoa habari ya ukosefu wa maji katika mjini wa Karatu. Ni aibu sana TV ya uma inayoongozwa na mtu...
The similarities in the East African electionsThursday, 30th September, 2010E-mail article Print articleBy Jerry Okungu
MY interest in Tanzanias impending elections is obvious. I am a Kenyan...
Uvamizi unaonekana kuendelea katika JF baada ya kura kuongezeka kutoka 1,556 hapo jana saa 11 jioni (1700) hadi kufikia 1,777 leo saa nane dakika 32 (14:32 hrs). This is a tremendous efforts has...
Wanaoleta uchochezi kwenye uchaguzi mkuu wa kila mwaka kuanzia 1995 wengine walikwisha kufa na wengine bado wapo kwa kuweka kifungu na wengine kushindwa kukibadilisha katika katiba ya jamhuri ya...
Mwanzoni sikuweza kumuelewa Dr.Slaa kuhusu maagizo mbalimbali anayompa kikwete kutekeleza, na sasa nimemwelewa hasa baada ya juzi Kikwete kuahidi kujenga Reli itakayopitisha treni iendayo kwa...
Thursday, 30 September 2010 19:54
Aliyekuwa spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samuel Sitta
Ibrahim Bakari, Urambo
SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
Wale wanataka kujua Zitto yuko wapi na anafanya nini tembelea hii link Zitto na Demokrasia
Ndio Mtajua jinsi gani Chadema wamejipanga vizuri. Silaa hawezi kufika kila kijiji lakini wagombea ubunge...
NEC: Chadema acheni kauli za uchochezi
Na Ramadhan Semtawa
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (Nec) imeionya Chadema kuacha kauli zake za kwamba, kuna njama za kuandaa karatasi za...
nimekuwa nikisikia ahadi nyingi sana zinazoendelea kutolewa na wagombea urais wa vyama mbalimbali vilivyosimamisha wagombea, hali hii inanifanya nijiulize hawa wagombea wamekuwa wakiishi nchi...
Tafakuri Jadidi
Nakala chapishi
Mtumie mwenzio
Jiandikishe utaarifiwe
Tumeiona nchi ya ahadi kwa mbali, tusonge mbele!
Johnson Mbwambo
Septemba 29, 2010
MIMI ni mtu mwenye mhemuko, na...
Kigwangala akataliwa mbele ya JK Nzega
MGOMBEA ubunge wa Jimbo la Nzega mkoani Tabora, Dk Khamis Kigwangala, amejikuta katika wakati mgumu baada ya wakazi wa jimbo hilo kudai kuwa hawatampa...
How will the polpulation vote?
Given the distribution of the population in our country, one has got to be strategic.
No wonder we see some candidates concentrating on some regions for obvious...
Umetimia wakati, joka kuliondosha
Tupaze zetu sauti, jitu hili kulifisha
Yake haki ni mauti, ulimwengu kuujulisha,
Oktoba imefika, joka hili liuliwe
Kazize kuchakachua , uchumi...
Umoja wa wanyakyusa waishio jf
wanasikitika saaaana kwa kitendo cha baadhi ya wazee wasanii wa kinyakyusa kwa uamuzi wao wa kumsimika mtoto wa rais kuwa chief wa wanyakyusa, ili hali wakijua...
Anasubiri kuwaengua kuwania ubunge
Ni watuhumiwa rushwa kura ya maoni
Msajili wa Vyama vya Siasa, John Tendwa
Msajili wa Vyama vya Siasa, John Tendwa, amewasha moto upya juu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.