Nimejaribu kufanya photo-journalism kwa kukusanya picha za matukio mbalimbali ya Kikwete a.k.a "Chaguo la Mungu" na kumwachia tafakuri msomaji aamue kama anastahili kurejea Ikulu.
MAJI BWERERE...
Thursday, 30 September 2010 19:57 0diggsdigg
Brandy Nelson, Mbeya
MGOMBEA ubunge Jimbo la Mbeya mjini kupitia CCM, Benson Mpesya amewasihi wakazi wa jimbo hilo wamchague kwa mara...
Tumempata mwanana, mpambanaji hodari
Mzalendo pia mwana , mafisadi kukabiri
Utani kwake hakuna, kweli yeye dakitari
Siku ile ikifika, Kura zetu kwa Slaa
Tumpe kura kwa wingi, uchumi kuukomboa...
Wakuu mlioko mbeya tujulisheni maendeleo ya yule Mch. mwanjala aliyebebwa uchaguzi mdogo. Au pia anapumulia mashine? Na mpiganagi Sambwe Shitambala hatujapata updates zake, tafadhali zileteni hapa...
Dk. Slaa awasha moto upya
....Naye mgombea wa jimbo hilo (Kilombero), Regia Mtema, alisema endapo watamchagua, atahakikisha wananchi wanapata huduma ya umeme pamoja na kupunguziwa bei ya sukari...
Kero Daraja la Mto Malagarasi linahitaji Tshs. Billioni 22 tu.
Rais Bush mwaka 2003 aliahidi mabilioni ya shillingi kufua umeme kwa kutumia mto Mlalagarasi, pesa hizo zipo wapi na kazitafuna nani...
The greatest want of the world is the want of men.
Men who will not be bought or sold
Men who in their inmost souls are true and honest.
Men who do not fear to call sin by its right name.
Men...
Wana JF leo nimebahatika kuwa katika moja ya mikutano 'mikubwa' ya JK katika kampeni zake mikoani katika uwanja wa Alhasan Mwinyi Tabora. Lengo kubwa ilikuwa ni kujishuhudia mwenyewe yale...
Leo Dr Slaa ametinga ndani ya mji wa Ifakara na kufanya mkutano mkubwa ambao haujawahi kutokea hapo, kufuatana na habari nilizopata kutoka kwa swahiba wangu kule.
Anasema ingawa mkutano...
Hata na mimi sijala
Ndio, 'hata na mimi sijala, mwananchi' ni maneno yanayotamkwa na Permanent Secretary katika shairi la 'Building the Nation" lililoandikwa na Henry Barlow wa Uganda. Kwa...
Ndugu zangu hakuna asiyejuwa umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu, kwa mtaji huu hata ukiangalia votes katika blog hii kama kungukwa ni mpambano wa viongozi wawili nadhani Doctor anekuwa kama na...
Kuelekea uchaguzi na hata hapo nyuma tumeona kuwepo kwa mgombea mooja ambaye sera yake ya kuwa saidia watu wa chini au ulemavu ni kupiga nao picha au kutoa hela zake (za mfukoni/ikulu) na...
Hotuba ya Dr, mwakyembe leo iliambatana na mbwembwe, matusi na dharau za kila aina, Lakini matusi yalizidi pale alipotaka wananchi wamchague kikwete na wananchi kupinga wazi wazi.
Alianza...
"We built up the infrastructure," he said. "The difficult part was getting the people to change their habits so that they behaved more like first world citizens, not like third world citizens...
Kwa wale waliokuwa wakimwelewa vizuri hususani lile tukio la kutaka kumwondoa Mwalimu madarakani, watupatie dataz za huyu bwana, bila shaka ataendelea kukumbukwa! Whether kwa mazuri au mabya, that...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.