From my blog:
I think it is very naive to believe that political parties anywhere think of elections in democratic terms. Yes, they may wax lyrical about the principles of openness and...
Wana-JF:
Hii ni sehemu ya mwisho ya stori ya Dr Slaa atabiriwa kifo katika Tanzania daima ya leo.
.Wakati huo huo Makama Kuu jijini Dar es Salaam imeombwa kumkamata na kumshitaki mnajimu...
Habari nilizopata mchana huu kutoka kwa mwandishi mmoja mwandamizi wa gazeti la Serikali la Daily News zinasema kwamba kaimu Mhariri Mkuu wa gazeti hilo, Mkumbwa Alli anang'olewa kutoka wadhifa...
Nadiriki kusema kuwa hatima ya taifa letu kukombolewa dhidi ya utawala wa ki-imla wa ccm ipo mikononi mwa makubaliano kati ya vyama viwili nguli na pinzani wa dhati kwa ccm. Nimechunguza kwa...
Voice of America (Idhaa ya Kiswahili) inaripoti kuwa vyama vya upinzani 14 katika jimbo la Iringa mjini vimeungana kukabiliana na Gwiji Chadema na Mafisadi CCM.
Kwa mujibu wa habari hiyo, Chadema...
By The Citizen Reporter
The United Nations Secretary General, Mr Ban Ki-Moon, has appointed former President Benjamin Mkapa the leader of a special panel to monitor upcoming referendums in...
WA TZ WENZANGU KWANZA NAWASALIMU NYOTE HABARINI NA NATUMAI HAMJAMBO POPOTE MULIPO KWANI HII NI MARA YANGU YA KWANZA KUJIUNGA NA MTANDAO HUU AMBAO NADHANI NI MTANDAO ULIO HURU NA UNAOKARIBISHA...
Dk Hoseah
MKURUGENZI wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Dk Edward Hoseah jana amesema kesi za ufisadi zitakazofikishwa mahakamani hivi karibuni ni nzito na zitastua...
Wanandugu,
Nimekuwa nikifuatilia hizi kampeni za uchaguzi tangu zilipoanza. Moja ya vitu nilivyoshuhudia na kunisikitisha ni matumizi mabaya ya rasilimali watu, muda na fedha. Bila shaka wengine...
Ni dhahiri sasa kwamba serikali ya awamu ya nne inatumia nguvu mno kutaka kutuaminisha imedeliver au kwa lugha nyingine imeleta mafanikio. Cha ajabu ni kwamba what is on the ground is completely...
Utawala mpya wa Dr. Slaa kufuta sheria ya mafao ya uzeeni ya viongozi
CCM walikuwa mahodari wa kuboresha masilahi ya viongozi wa ngazi za juu huku wale wa chini wakiambulia danganya toto...
Utumishi wa umma umepoteza maadili, ari ya kufanya kazi na tija IMEJIKITA kaburini.
Dr. Slaa atarekebisha upuuzi huu ulioshamiri chini ya utani utani wa JK kwa kufanya utumishi wa umma kuwa na...
Historically most East African had access to fresh milk from the local cow. As these countries "developed" they have created cities which were not planned well enough to support a fresh milk...
ALIYEAHIDI STARS KWENDA GHANA kweli KUFUTA JEMBEMKONO?
Kulingana na gazeti la majira la leo Kikwete ameahidi atafuta KILIMO CHA JEMBE LA MIKONO KATIKA MIAKA MITANO IJAYO KAZI ILIYOMSHINDA...
Nimepewa taarifa ya kuwa leo JK, yupo Nzega kwaajili ya Kampeni za kujinadi yeye mwenyewe, Mgombea wao wa Ubunge(Hamisi Kigwangala) pamoja na Madiwani wa CCM.
Mkutano huo wa Kampeni utafanyika...
1. Usikumbatie waovu kama Kikwete
2. Usiwe mwizi kama Lowasa
3. Usiwe mwongo kama Makamba
4. Usiwe mnafiki kama Rostam
5. Usidharau pesa kama Chenge
6. Usikose msimamo kama Mrema...
KAMA UCHAGUZI UNGELIFANYIKA WIKI JANA MATOKEO NI..
Tetesi ndani ya chama changu tawala kulingana na kura ya maoni waliyoigharimia wao wenyewe kama uchaguzi ungelifanyika wiki iliyopita...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.