Tuesday, 28 September 2010 04:36
Na Tumaini Makene
MGOMBEA ubunge Jimbo la Kawe kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Bi. Halima Mdee amesema zama za wananchi kufanya...
"Kwa mtu muadirifu kabisaaaa Ikuru ni mzigo" Nyerere.
Kama JK ni mudirifu haoni imefika wakati sasa wa kuutua huo mzigo waupokee wenzake ambao wao wamekuwa wakilalamika majukwaani kwamba huo...
KESI YA MUNGAI YASOGEZWA MBELE
Kesi inamkabili , waziri wa zamani wa jk, J MUNGAI, imehairishwa hadi oct 15,
Aliyekuwa waziri wa serikali zote nne za jamhuri ya muungano wa Tanzania na...
KATIKA Ulimwengu wao, magwiji wa hisabati, falsafa, historia na wanaharakati wa haki za binadamu hawathubutu kupuuza rekodi ya mwenzao, Bertrand Russell.
Russel alipata kutangazwa kuwa ni...
Marando azilipua helikopta za Kikwete
• Awataja waliozitoa, asema ni mafisadi wakubwa
na Edward Kinabo
MWANASIASA nguli na muasisi wa mageuzi nchini, Mabere Marando, amezigeukia...
Chadema ni tumaini jipya, na Rais 2010-2015, ni Dr SLAA
CCM ni adui wa Demokrasia na haki, na sitakubali kuichagua wa kuongozwa nayo
Nitaipigia kampeni Chadema kadri ya uwezo wangu na kuwachagua...
Slaa aichongea CCM kwa viongozi wa dini
Exuper Kachenje
MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chadema, Dk Willibrod Slaa jana alikutana na viongozi wa dini na kuwaeleza maoni ya chama chake...
Nimesikitiswa sana na matamshi aliyoyatoa JK pale bukombe kuhusiana na vyama vingi nchini Tanzania.
Ninavyfahamu mimi Tanzania ni nchi yenye mfumo wa vyama vingi vya siasa uliorejeshwa...
Baada ya Lukas Siame (Mbozi- Magharibi), Emanuel Vuhahula wa Bukombe na sasa James Lembeli wa Kahama (Kutaja ambao taarifa zao zimeripotiwa - labda wapo wengi) na Aeshi Ally wa Sumbawanga mjini...
Leo nimemwona usiku huu Tambwe Hizza katika taarifa ya habari Channel 10 akikanusha statement ya Dr Slaa kwamba kuna njama zinazosukwa na taasisi za dola kukihujumu Chadema katika uchaguzi ili...
Ni kweli malengo yao tumeyasikia lakini uwezo wetu je?
a) Deni la nje limekua mara takribani tatu kati ya mwaka 2005 hadi 2010 na hakuna la maana ambalo JK alilolitekeleza. Hili deni litazuia...
Na Mgaya Kingoba,
Ngorongoro
Mgombea urais wa tiketi ya CCM, Rais Jakaya Mrisho Kikwete ameonesha mfano katika kuhimiza ufugaji wa kisasa na usio wa kuhamahama kufuata malisho, akimiliki...
Taarifa nilizozipata muda sio mrefu, mwanasiasa na mpiganaji mkongwe bibi Rhoda Kahatano ametutoka. Ni pigo kwa siasa za Tanzania kwani idadi ya viongozi na wanasiasa wa kupigiwa mfano inazidi...
Asubuhi ya saa 12.30, STAR TV, kila siku walikuwa wanarusha hewani kipindi cha someni magazeti lakini katika kipindi hiki cha uchaguzi wameingia mitini na sasa hivi ni vigumu kukukubali hoja za...
Mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa (katikati) akisalimiana na Shehe Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum wakati mgombea huyo alipokutana...
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi wa Kinondoni imefuta hati yake ya kuruhusu kukamatwa kwa mwanasheria mkuu wa zamani, Andrew Chenge iliyotolewa juzi kutokana na mshtakiwa huyo kushindwa kutokea...
viongozi wa dini zetu wameanza ziara za kutembelea vyama vya siasa wakiwa na ujumbe wa amani na wakubaliane na kuvitaka vyama vikubaliane na matokeo ya uchaguzi,rai yangu ni hao viongozi wetu wa...
viti maalum Chadema vyazidi kupasua kichwa Send to a friend Saturday, 25 September 2010 22:38 0diggsdigg
Mgombea Urais kwa tiketi ya Chadema,Dk Wilbrod...
Mimi ni mshabiki zaidi wa Tanzania kuliko wa ccm. Kama kungekuwa na chama kingine kizuri nisingehangaika na ccm. Ningeacha chama hicho kishike madaraka
Maneno hayo yalitamkwa na Baba wa Taifa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.