Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Kwa siku nyingi wananchi wa Tanzania tumekuwa tukisikia madai kwamba Rais wa nchi ni mtetezi au ni swahiba au anakumbatia watu wanasadikika kuhusika na vitendo vya rushwa, lakini madai hayo...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Wakuu, Tulitangaziwa ongezeko la mishahara ya wafanyakazi. Lakini habari zilizopo ni kwamba mishahara hiyo mipya wala haijaanza kulipwa na wafanyakazi hawajaambiwa ni lini itaanza kulipwa. Je, huo...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
They say that many of Tanzania's leading intellectuals are the nation's bane rather than its boon. A nation's intellectuals are supposed to be the people's eyes; they see ahead, point out...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wanajukwaa, Kwa kuwa CCM sasa ipo ktk mkakati wa ndani zaidi kuangalia how to win KWA lazima, nimepata MADHANIA kwamba, kwa kuwa watanzania wanahisi CCM inaweza kuiba kura, wanaweza kuja na...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Hawaandiki habari zake lakini joto la homa yake lawatesa na wameamua kuendesha kura yao ya maoni. Ajabu wamemweka bila mpinzani, wanaogopa nini ? Bonyeza hapa; DailyNews Election Portal | Its all...
0 Reactions
57 Replies
42K Views
Wale wapenzi wa CCM inasikitisha sana kwa kushindwa kuona mama zako, kaka zako, watoto na vijana wenye nguvu wanakufa kila siku kutokana na uongozi usiokuwa na ufanisi na ufisadi. Inauma sana...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
WanaJF nimeikuta hii kali ya Idd Azzan-mgombea ubunge wa Kinondoni-CCM katika Majira ya leo 24/09/10 "Jamani hivi watu wanadhani bungeni ni kama darasani ambapo kila mtu anaongea anavyotaka, kule...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Jamani naombeni msaada hapa, hivi vyama vyetu vya siasa vinatumia vigezo gani kuteua wabunge wa viti maalum? Mfano wale wa CUF na Chadema 2005 - 2010 walichaguliwa vipi, vigezo vilikuwa ni nini...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mbona huyu mgombea mweza simusikii??
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana JF sasa sio siri tena, mgombea wa CCM jimbo la Arusha mjini anatoa rushwa bila kificho, wafaidika wa kwanza ni wakina mama wa soko kuu Arusha wanafuatia waendesha pikipiki na waendesha...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
CCM CCM mwenye wingi wa maneno na porojo zako ni nyingi,miaka yako leo 32 ukidunga watanzani,RICHMOND ikabwenga,melemaeta ikatungwa kuwaibia wana hoi,EPA nayo ikachota bila huruma kwa Walipa...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Jk kwa kweli ni mtu wa watu cheki hapo anakaa kwenye vumbi kuongea kwa unyenyekevu na mlemavu ni viongozi wachache sana wenye moyo wa kibinadamu kiasi hiki..
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Zitto akisakata rumba katika kampeni huko Kigoma hivi karibuni......
0 Reactions
23 Replies
7K Views
Wakuu, Nikiwa kama mdau, nimesikitishwa sana na jinsi serikali yetu na hasa wizara ya afya ilivyoshindwa na inavyoendelea kushindwa kupambana mbu ambao uthibiti wao si mgumu hivyo. Tanzania kama...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
…..Kwa upande mwingine, Kinana amedai kuwa Chadema ni chama chenye Katiba inayolinda siasa za kimwinyi na kibebari, na si siasa za kijamaa kama ambavyo DK. Slaa amekuwa akiitumia kutoa ahadi...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
  • Closed
Wengi wamekuwa wakiuliza mambo kadha wa kadha. Hatuwezi kuweka topic hizo kila mara, tafadhali unaombwa kusoma topic hizi mara kwa mara: JamiiForums Rules How to use JamiiForums effectively...
88 Reactions
0 Replies
147K Views
Fidelis butahe, Iringa ALIYEKUWA mshindi katika kura za maoni ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Fredrick Mwakalebela jana alikuwa kivutio na kufunika mkutano wa kampeni wa mgombea urais kwa...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Anahojiwa Baba yake. Anaishi kwenye nyumba ya tope licha ya mwanawe kuwa bunge for 25 years, Anaepnda sana kujisomea. Anaongea kiswahili cha shida but ina mashaka na slaa kugombea hasa kutukanana
0 Reactions
54 Replies
6K Views
Anatomy of Family Rule Previously a critic of political patrimony, there is growing concern even among those closest to him that Museveni is treading the long trodden path that Karugire condemned...
0 Reactions
7 Replies
7K Views
There has been marginal progress on governance in Africa since the 2005 baseline study. This increase is 2%, from 51% (2005) to 53% (2009). Multiparty system flourishes, but with poor...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom