Wakuu nitajaribu kama net yangu itakuwa sawa. Nimepita pale uwanja wa Mashujaa na kukuta umati wa kweli. Nyomi ya kufa mtu. Kwa bahati mbaya niko on call hivyo sikuweza kukaa sana. Kaa mkao wa...
Aliyempinga mtuhumiwa mauaji ya albino atupwa
Asema si shabiki wa siasa za makundi, Mungu atamlinda
KATIBU wa CCM Mkoa wa Kigoma aliyedaiwa kupigania chama hicho kutomteua mgombea ubunge...
Yule Mgombea ubunge wa Chadema jimbo la Nkenge ambaye alikuwa amechukua uamuzi wake wa kusitisha michakato ya ugombea ubunge ndugu Phocas Rwegasira, ametengua uamuzi wake na sasa atagombea na...
Na Mwandishi wetu
Raia Mwema
Septemba 15-21 (Ukurasa wa Tatu)
Katibu wa CCM wa Mkoa wa Kigoma, Moudline Castico, aliyedaiwa kupigania chama hicho kutomteua mgombea ubunge anayehusishwa na kashfa...
Uwapi uhuru wa vyombo vya habari Tanzania...!
Huu ni ukandamizaji wa Uhuru wa habari..inawanyika haki watanzania kupata habari...!
Watanzania...tuamke na kuwanyima kura mwaka huu...!
I...
Luis Moreno-Ocampo - Mahakama ya THE HAGUE.
Karibu Tanzania uje ukamate Viongozi wa Serikali watakaoiba kura na kusababisha vurugu.
Tunaomba Luis Moreno-Ocampo awatahadharishe viongozi wa...
Nani kateua mhuni kampeni za CCM?
Na Anthony Mayunga
Mtendaji Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Yusuf Makamba ametetea chama chake, kwamba hakihusiki na tukio la kufukuzwa kwa waandishi wa...
Taarifa zilizoufikia mtandao huu wa francis Godwin hivi punde kutoka Njombe zinadai kuwa msafara wa Helkopta za Jakaya Kikwete zimepotea na kushindwa kutua Lupembe na badala yake kushindwa kufanya...
Ee KIKWETE Uliye tufilisi,
Jina lako USANII MTUPU,
utakalo lifanyike BAGAMOYO TU,
utupe leo mabilioni yetu ya EPA, uwapeleke MAFISADI wote Mahakamani,
uwape WASTAAFU pesa zao,
uwasamehe...
Akiwa mkoani Arusha mgombea urais wa Chadema Dr W. Slaa amelalmikia jinsi chama tawala – CCM – kilivyoleta hali ya vitisho kwa wafanyabiashara pamoja na wale wadogo wadogo kwa...
Imeandikwa na Theopista Nsanzugwanko;
Tarehe: 22nd September 2010
BAADA ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kukataa kushiriki midahalo ya wazi, mdahalo mwingine umeandaliwa ukilenga baadhi ya wagombea...
Yamesemwa sana nami nimeshuhudia.
Mkurugenzi wa Halmashauri Wilaya ya Monduli akihaha kutafuta vifaa kama maturubai kwa ajili ya kampeni za Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM.
Je kama kiongozi...
WATANZANIA UPINZANI SI KUPINGA NI KUTOA MAWAZO MBADALA
Inapofikia wakati watu wanapotoshwa kijinga jinga tu kuna hatari
taifa likaangamia au kutoweka kabisa. Kwa jinsi vyama vya upinzani
vilivyo...
Mgombea udiwani kwa tiketi ya CHADEMA kata ya Kati mjini Arusha Bwana Simba aumizwa vibaya kituo cha polisi wilaya ya Arusha.Bwana Simba alikamatwa na polisi kwa sababu ambazo bado...
Kuna habari kuwa Mtu anaitwa Nyaruba katumwa toka jijini DAR kuja Musoma kwa ajili ya kumdhuru mgombea wa chadema vicent nyerere ili ccm ipate unafuu...., habari zaidi soma hapa MWANA WA AFRIKA
Dr. Wilbrod SlaaTusianze kushangilia ushindi kabla hata kipenga cha mwisho kulia. Sote tuendelee kuhamasishana kuchangia ili wagombea wetu wote waweze kushinda. Vijana jitoleeni muda na vipaji...
Wakuu,
Katika pitia pitia zangu kwenye vyombo mbalimbali vya habari pamoja na hapa JF tokea kampeni zimeanza kumekuwa na habari nyingi sana za wagombea wa kambi ya upinzani kujitoa kwenye ugombea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.