Bunge lilipovunjwa, kwa mujibu wa katiba kwa sasa hakuna wabunge. Sasa inakuwaje Sitta anatumia ofisi hiyo? Huko si kuvunja sheria? Je, pia sio kutumia mali ya umma kufanyia kampeni? (Nipashe...
50% ya idadi ya watu Tanzania ni watoto - under 18. Watoto wanatuomba tumchague Dr. Slaa kuwa Rais wa Tanzania kwani agenda zao zimo kwenye Ilani ya uchaguzi ya Chadema - elimu bure mpaka form...
Mkuu ni muda mrefu nimekuwa nikitatiswa sana na matamshi ya huyu katibu wangu, amekuwa na matamshi ya ..kuropoka ropoka tu. Juzi kwa walioangalia taarifa ya habari Channel 10 .nilimuona na...
wakati ccm ikiuguza machungu ya sintofahamu ya matokeo ya kura za maoni ndani yake (iringa, dodoma,nk) kwenye kinyang'anyiro cha kampeni uchaguzi 2010 hasa kwa ngazi ya ubunge na udiwani, hali...
Vuguvugu la uchaguzi nchini Tanzania limechochewa sana na ujio wa Dr Slaa katika ulingo wa kugombea kiti cha uraisi. Kila kona ya nchi na gazeti habari ni Slaa Vs Kikwete. Ingalitegemewa kampuni...
Newly appointed Director of Arusha Municipal Council, Estomi Changah started working yesterday by approving an objection filed by CCM candidate for Arusha seat, Dr Batilda Buriani against her...
Wakuu naomba kuuliza swali hivi Edo mbona haonekani katika majukwaa ya CCM akimkapenia JK, na si yeye tu kwani hata wanamtandao wengine kama vile Sitta na wengineo naona wako kimya sana, KULIKONI?
Mgombea urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibroad Slaa, akimnadi mgombea ubunge katika Jimbo la Hai kupitia chama hicho, Freeman Mbowe, wakati wa mkutano wa...
Nimekuwa nafuatilia sana ITV ya Mzee Mengi namna inavyo-cover kampeni za uchaguzi na nikagundua kwamba sasa kituo hicho sasa kiko benet na Channel 10 kinachomilikiwa na mafisadi akina RA na...
Msajili wa Vyama vya Siasa Nchini, John Tendwa, ametetea hatua ya mgombea wa kiti cha Urais kupitia tiketi ya CCM, Jakaya Kikwete, kuhusu kufanya mikutano ya kampeni zaidi ya saa 12 jioni na...
Uchaguzi wa mwaka huu ni muhimu sana kwa watanzania, lakini pia ni mtego mkubwa sana kwa watanzania. Sababu uchaguzi huu ni kati ya Mafisadi na wapigania uhuru wa wanyonge. Ukifuatilia kampeni za...
tamko la asasi zisizo za kiserikali juu ya kuandaa mdahalo kwenye majimbo 120 nchi nzima linatia faraja,litaamsha watu na kusaidia kutoa elimu ya uraia kabla ya uchaguzi mkuu,hata kama chama kizee...
Kwenu wan JF, leo nimefuatilia dondoo za magazeti kwenye vituo vya tv vya MLIMANI TV, CHANEL 10, lakin sijaona wakigusa magazeti ya MWANAHALISI na RAIA MWEMA, nijuvyeni jamani, wamekatazwa au...
Taarifa niliyoisikia jana kutoka Redi WAPO FM inasema kuna wanawake watatu wamekamatwa wakikusanya vitambulisho vya wapiga kura 20 kabla ya kufanyika kwa uchaguzi mkuu octaba 31.
Wnawake hao...
I do not know what has happened to the mudslinging style of CCM and JK network in politics. All the sudden Makamba and JK network have ceased using their famous trademark of mudslinging political...
My Take:
Sijui kama nimeridhika kuwa amekanusha kuwa Synovate haikufanya inachodaiwa kufanya. Maana nasikia ndio sababu hawakutaka kwenda EATV ambako walikuwa wawepo kwa sababu JamiiForums nayo...
wakuuu JF,
Nasikia mkurugenzi wa Arusha mjini kaaanza na mkwala wa nguvu juu ya mgombea wa Chadema kwa kumtuuhumu kuwa anakampeni chafuuu??
Hivi sipati picha ni kuwa hawa wakurugenzi...
Wakuu, katika chunguza chunguza yangu nimegundua kuwa majimbo yanayoongozwa na Wabunge wa Chadema yako juu kimaendeleo hasa huduma za jamii. Mfano mzuri ni Moshi mjini na Kigoma .
Ukifika MS...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.