Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Hivi karibuni kumekuwa na mjadala kwenye jukwaa hili kuhoji uhalali wa Mke wa Rais kutumia rasilimali za walipa kodi kumfanya kampeni za kumrejesha mumewe madarakani. Ninatoa rai kwa wanajukwaa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ni siri ya wazi kuwa taasisi yenu imekuwa ikifanya kazi za CCM. Hilo lingekuwa sio tatizo laiti kufanya hivyo kungekuwa kwa maslahi ya taifa. Tunaamini kuwa kuna wazalendo mliosalia ndani ya...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Dodoma kimeshindwa kutoa sababu za msingi juu ya nini kimemsibu mgombea Urais wa Chama hicho hadi kuamua kuahirisha ziara yake aliyotakiwa kuifanya katika wilaya tatu...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Wana JF naomba kutoa hoja; Kama JK akishinda urais basi ni budi Lowawa awe waziri mkuu kwani alionewa kushinikizwa kujiuzulu. Wote mnafahamu kuwa hakuna mtu amechukuliwa hatua kwenye RICHMOOND...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Anayependa maendeleo atatambua mafanikio ya serikali-Mama Salma NA JACQUELINE LIANA, BAGAMOYO MWENYEKITI wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA), Mama Salma Kikwete, amesema mtu anayependa...
0 Reactions
104 Replies
9K Views
Hivi ni kweli kuna watu bado wanauza kura zao hapa Tanzania?????? Hivi ni kweli kuna wanasiasa viongozi mabingwa wa kufoji risiti???? Na ni kweli kwamba siasa zetu zimetawaliwa na blah blah kuliko...
0 Reactions
43 Replies
4K Views
Gazeti la Nipashe leo limemnukuu Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chadema na mgombea ubunge wa jimbo la Hai akiwaahutubia wananchi katika jimbo hilo akisema: "Ni aibu mikutano ya kampeni za CCM...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Kaimu Mkurugenzi wa mji wa Arusha, Estomi Chang’ah jana alianza kazi rasmi kwa kasi ya aina yake, baada ya kukubali malalamiko ya Chama cha Mapinduzi (CCM) juu ya mgombea wa Chadema Jimbo la...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Baada ya Mwenyekiti wa Chadema kusema kwamba utafiti wa synnovate unaonyesha kwamba Dr. Slaa anaongoza kwa umaarufu mbele ya JK, na baadae Synnovate kukanusha taarifa hizo, kuna dalili kwamba...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jakaya Kikwete wakati akifanya kampeni mkoa wa Kilimanjaro aliahidi kuboresha hospitali ya Mawenzi kama inavyoelezea kwenye nyekundu hapo chini JK wants to know candidate financing Mawenzi...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Katika gazeti la Mtanzania 21/09/2010 imeandikwa kwamba Mama Salma amesikitishwa na kuangushwa kwa Mwantumu Mahiza, Naibu Waziri wa elimu. Kwenye Majira 21/09/2010 Mama Salma anasema kuwa WAMA...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naendelea kujifunza kuhusu JK! Kumbe madaraka ni matamu wakuu! Jamaa amekata ule utalii na safari zote za Merikani na Ulaya alizokuwa anazifanya kila mwezi, ili kutetea nafasi yake ya...
0 Reactions
45 Replies
5K Views
Napongeza jitihada za Chadema, kwenye kampeni zao za uchanguzi, Watanzania tumekuwa tukifuatilia maoni na mapendekezo ya Watanzania wanaopenda mabadiliko ya uongozi wa taifa letu. Hali kwa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Hawa jamaa matangazo yao wanafagilia chama tawala tu
0 Reactions
22 Replies
4K Views
This will happen on sunday 31st October, 2010 whereby CCM will be burried at the NEC Cemetery. You are all welcome to say a word of goodbye to our neighbour!!
0 Reactions
0 Replies
692 Views
African countries that kill their generals, become rich Wait for it. In a few hours the United Nations summit on the Millennium Development Goals starts in New York. The MDGs are targets world...
0 Reactions
1 Replies
981 Views
WanaJF, nimegundua kuwa ni CHADEMA na vyama vingine vya upinzani ndiyo vinasema kuwa vikipata madaraka vitapiga vita ufisadi. Je ni kwa sababu CCM imejaa mafisadi wengi?
0 Reactions
10 Replies
2K Views
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI * Tanzania imeshinda tuzo kwa kutekeleza vizuri malengo ya Elimu katika Malengo ya Maendeleo ya Milenia ya Umoja wa Mataifa yanayotakiwa yakamilishwe mwaka...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
The secret of victory votes to Ikulu Revealed: The secret of victory votes to Ikulu By Guardian on sunday team 19th September 2010 However, according to our analysis, Dodoma, Tanga and...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nkwazi Mhango anauliza hivi: "Hivi Kikwete angejibu nini kama angeulizwa [kuhusu] chanzo cha fedha zinazomwezesha mke wake kumpigia kampeni...?" Source: MwanaHalisi, Septemba 15-21, 2010...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Back
Top Bottom