Ninatazama hapa taarifa ktk ITV. Makamba anasema kwa mambo mengi aliyoyafanya JK kwa miaka hiyo mitano, tumpe ZAWADI kwa kumchagua tena
Jamani eeee, hivi kumbe tunapomchagua Rais tunatoa...
Waungwana
Siku ya Uchaguzi Mkuu huwa siku maalum ambapo shughuli zote za kikazi zilizo rasmi husitishwa kwa muda, ili kuwawezesha Watanzania wenye haki ya kupiga kura, na waliojiandikisha kupiga...
Wafungwa wa gereza la IBUKONI, wilaya ya ROMBO tarehe 13/09/2010, walitumika kujenga jukwaa alilotumia JK jana wakati akifanya mkutano 15/09/2010, katika shule ya msingi mbomai kati, TARAKEA ...
Ona, mfumo mzima wa CCM, viongozi, wapambe na mashabiki wao kila mtu anapambna na Dr. Slaa lakini hawafaulu kurudisha nyumba nia ya watanzania ya kuleta mabadiliko.
Kila kukicha lakima mmoja wa...
Anakumbuka marafiki na kusahau ahadi
NAWEZA kudai kumfahamu Kikwete kuliko wengi wa mashabiki wake wanaohudhuria mikutano yake ya kampeni. Nimefanya naye kazi jeshini na serikalini kidogo...
Katika kufuatilia kampeni za vyama vya siasa. Nimegundua CCM hawafanyi kampeni ilikutangaza hoja zao. Zaidi wanaandaa concert ya kusanya wanamuziki mbalimbali kwa ajili ya kuburudisha wananchi...
Wana-JF, Wakuu Wote; Viongozi Wote; Vijana Wetu (hasa wale wa jukwaa la mapenzi na mambo ya nanihii . . .)
Itifaki imezingatiwa!
Amandla!
Asalaam Aleykhum!
Bwana Yesu Asifiwe!
Haki Sawa . . ...
Godfrey Dilunga
.
Swali: Una ujuzi wa lugha ngapi?
Dk. Slaa: Nimesoma na najua lugha ambazo ilibidi lazima uzijue ili ufanye mitihani. Kwa hiyo najua vizuri Lugha ya Kiitaliano...
Habari zilizonifikia toka jimbo la Bukoba mjini zinasema mgombea Udiwani kwa tiketi ya chama cha CUF kata ya Hamugembe aliyejulikana kwa jina moja kama "Kenyanya" na ambaye amekuwa katika kiti...
In a simple explanation, this a Candidate vying for a top political post, but he is being under total control of a syndicate which set goals to manipulate him for its own benefit thereafter...It...
Waungwana,
Mpaka sasa, Jimbo la Uchaguzi la Kawe lina wagombea wafuatao wa Ubunge, ambao ndio wanaosikika.
Angela Kizigha (CCM)
Halima Mdee (CHADEMA)
James Mbatia (NCCR-Mageuzi)...
Jamani Hivi kuchana vipeperushi vya mgombea mwenzako si ni kitendo cha uchokozi na uvunjifu wa sheria?
Kama ilivyokutwa mjini Bukoba mgombea wa chama cha mapinduzi amekuwa akichana vipeperushi...
Mgombea udiwani wa kata ya Endasaki,Wilayani Hanang,Mohamed Tandu amehama chama chake na kuhamia CCM. Jambo hilo linamfanya mgombea wa CCM kupita bila kupingwa.
Source...
Wapenda wenzangu wana wa ukweli na uwazi, serikali kutenga bil 20.3 kwa jali ya anasa wakati wanafunzi wa shule za serikali bado wanakaa kwenye mawe na wengine chini ya mwembe au chini ya tembe...
Habari nilizoona kwenye Taarifa ya habari ni kwamba eti kuna mwandishi wa habari ambaye amepigwa na Wafuasi wa CCM kule Kwimba wakati wa kampeni zao. Nani labda ana habari zaidi?
Mara kwa mara tunapoongelea kujiimarisha kwa vyama vya upinzani tunakuwa tunaongelea ni namna gani vyama hivyo vimesambaza matawi na mashina yake kwa wananchi, mijini na vijijini. Jambo moja...
:eyebrows: Prof. Lipumba anatueleza kwamba Jk hawezi taabu pale anaposema:
Mheshimiwa Kikwete namjua, nimesoma naye, tangu zamani ni mtu asiyeweza tabu [taabu], asiyependa tabu...
Nashindwa kuelewa ni kwa nini TBC1 wakiwa wanatangaza habari za kampeni za wagomea , wakiwa wanatangaza kampeni za CCM matangazo yanakuwa clear na yanasikika vizuri, lakini ikishafika zamu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.