Watu wengi wamekuwa wakitilia shaka sana kwamba elimu bure mpaka form six haiwezekani! Ninajua kwa viongozi wa ccm wanaomaliza muda wao wa kutawala mwaka huu wanalijua hilo, kwamba elimu bure...
Vile vile Dokta Slaa, alisema Rais Kikwete amevunja rekodi ya kudanganywa kuliko marais wote duniani katika miaka mitano iliyopita. Alisema mwaka mwaka 2007, JK alifungua mradi hewa wa maji huko...
Watu wa mbagala wamegundua kuwa CCM haina sera na ahadi zake azitekelezeki na jana wameandamana hadi magogoni ofisi ya waziri mkuu. Wengine tuige na kupiga kura zetu kwa Silaa.
Vijana "CCM" wamwogesha mwenzao Chadema - Habari Leo.
KUNDI la vijana tisa wanaosadikiwa kuwa wafuasi wa CCM mjini hapa, wanadaiwa kumvamia kijana mkereketwa wa Chadema na kumvua nguo...
Dk. Slaa, Sitta kuvaana ruksa - Makamba
na Irene Mark
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Yusuf Makamba, amerudia kauli yake inayowazuia wagombea wa nafasi mbalimbali ndani ya chama...
Kitendo cha kutuambia tufunge biashara zetu kisa kikwete anakuja kwenye shughuli za kisiasa kimeni kera sana...Jana tumepokea taarifa tukiambiwa tusifungue ofisi zetu kuanzia saa saba mchana kwa...
Ijapokuwa MRAMBA, ana kashifa kubwa ya matumizi mabaya ya uongozi, jk amempigia debe B MRAMBA, achaguliwe tena kuwa mbunge wa ROMBO, JK alikuwa anampigia debe MRAMBA, leo katika mkutano wa siasa...
Na. M. M. Mwanakijiji
Baada ya Baba wa Taifa Mwalimu J. K. Nyerere kusoma alama za nyakati na kuelewa kuwa kwa uwezo wake wa kibinadamu aliweza kuwafikisha Watanzania mahali alipowafikisha...
uchaguzi - siasa longalonga ama uongo... umepitwa mda - vunja tabia za enzi za sirikali ... jitahidini tuwaamini jamani - wananchi wanandugu, imani za kondoo ziishe basi - maswali kwao jamani -...
NAAPA huu ndio muda wa kulishwa ahadi hadi tunajiona pepo ikitusogelea.
Nasema kama kila kinachosemwa kitatekelezwa mbona Bongo itageuka pepo mwanangu?
Kama kila ziwa kubwa hapa nchini...
Baada ya utafiti nilioufanya,kwa kweli tunahitaji wapinzani tubadilike kumg'oa huyu jini CCM,tunahitaji kuunganisha nguvu za ziada, nimeangalia hivi vyama vyetu vya upinzani kwa kweli vimegawana...
Nilishangazwa sana na kitendo cha Nakaaya kuamua kukabidhi kadi ya CHADEMA kwa Mwenyekiti wa CCM ambaye pia ni mgombea urais kupitia chama hicho. Nakaaya kwenye Magwanda ya CHADEMA nilikuwa...
By Felister Peter,
The Guardian
CUBAN medical experts are expected in the country next week to help fight the increased mosquito population at Jangwani Valley and Msimbazi creek in Dar es...
Kumekuwa na ubishani mitaani kama kweli ahadi ya CHADEMA ya kutoa huduma za jamii kama elimu bure inawezekana.Hilo linawezekama bila ya shida yoyote kupinga ni uvivu wa kufikiri kwa baadhi yetu...
Wana-JF:
Katika haya nitakayowaeleza nimeshindwa kupata neno sahihi mbadala wa ‘nongwa' lakini pengine labda ningetumia ‘kiburi' au ‘jeuri' ya kuonyesha hali ambayo kusema...
CUF yaomba fedha za kampeni kwa mafisadi?
Kuna tetesi kuwa Mbunge wa kuteuliwa wa Chama Cha Wananchi (CUF), Ismail Jussa, wiki hii amekutana na mtuhumiwa mkubwa wa ufisadi hapa Tanzania, Yusuf...
Hi wana jimii kwa mara ya kwanza najitokeza kwenye jukwaa la uchaguzi 2010 nimeona nianze kwa kuwakumbusha vijana wenzangu zile kadi siyo za kufungulia account za benki tu lakini 31 october...
Jana Niliona kwenye TBC1 wakati Viongozi wa Chadema Wakihojiwa ( Prof. Baregu na Mabere Marando).
Katika uchambuzi Prof. Baregu aligusia point moja kuu sana ambayo nadhani inachangia sana kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.