Miaka mitano ya awali nilikuwa najifunza na kupata uzoefu wa urais, Naombeni mnipe nafasi tena ya miaka mitano 2010-5 tuweze sukuma gurudumu la maendeleo. Wenyewe mnaona foleni zimeongezeka hapa...
Pichani ni mgombea Ubunge wa jimbo la Kigoma Mjini kupitia chama cha CHADEMA,Bw.Ally Khalfa Mleh
Mgombea Ubunge wa jimbo la Kigoma Kaskazini,Mh.Zitto Kabwe akisisitiza jambo wakati...
MICHUZI
Kuna usanii mwingine hauwapi wala kuwaongezea sifa au kuwapandisha chati CCM bali kunaendelea kukidhalilisha CCM na Rais JK. Hivi kweli sababu alizozitoa huyu mwenyekiti Ex CHADEMA...
CCM yapata pigo jingine Mwananchi, Saturday, 11 September 2010 09:35
Waandishi Wetu
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimepata pigo lingine baada ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuyatupa...
* Hamad Rashid apigwa butwaa
Katika hali ya kushangaza, aliyekuwa Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Dar es Salaam, Salum Londa, jana aliwagawa waumini wa dini ya Kiislamu, baada ya kupiga kampeni...
Katika kipindi cha Utawala wa Salmin Amour, Zanzibar iliwahi kuajiri majaji wa Kinaijeria.Najua pia kuwa Tanzania hupeleka majaji kufanya kazi visiwa vya Shelisheli kwa sababu, kutokana na udogo...
"...In his campaign trail at Duga village in Mkinga Constituency, Dr Kikwete expressed displeasure over failure to implement his directive of providing Horohoro border police station with a...
Waungwana nime washa tv naona live mdahalo wagombea ni wa nne tu, chadema cuf, udp tlp
mgombea wa chadema anonekana muelewa zaidi
swali la kwanza wanamikakati gani kwa akinamama, vijana,na walemavu
What else could you say?Tovuti ya Raia Mwema-jarida tulilokuwa tukiliamini kwa taarifa zake fasaha- ina habari za toleo la wiki iliyopita.Kumbuka hilo ni jarida linalotoka once a week kwa hiyo...
Mgombea wa urais wa chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Dr. Wilibrod Slaa amesema; Uamuzi wa CCM kukataza wagombea wake kushiriki midahalo ya kisiasa ni aibu kwa mwelekeo wa demokrasia...
Kweli raia wema wana mkamata mwalifu wanampeleka kwenye vyombo vya sheri kisha mahakama inamuhukumu kutoa faini ya shilling 5000 tena. Mgeni anachana pesa yetu ambayo ndio harama ya Taifa kisha...
Mwenzenu nina masikitiko makubwa sana!
Nimetoka kumsikiliza mbunge mmoja wa Marekani akisimulia ambavyo nchi yake ilikampeni na kutenga karibu Milioni 23 (kama si bilioni) dola za kimarekani...
ndugu zangu, naombeni maoni yenu kuhusu gazeti, la mwananchi kama linalipoti sawa kuhusu habari za siasa bila kubase chama cha mapinduzi, kama HABARI LEO, MTANZANIA na mengine mengi, ambayo ni...
Wadau nimeota ndoto. Ni kama tarehe 1 nov hivi ambapo zoezi la kuhesabu kura za urais linaelekea kukamilika. Taarifa zisizo rasmi ni kuwa Dr Slaa anaongoza kwa kura kwa %85 hivi. Nchi nzima...
Nimesikia tetesi kuwa Ndg. Oscar Mukassa ambaye ni mgombea ubunge Biharamulo Magh. kupitia CCM amepandishwa kizimbani Kwa kutoa nyaraka (vyeti) feki alivotengeza mwenyewe kuonyesha kuwa mgombea...
Nimetumiwa waraka huu kwa email kutoka kwa jamaa mmoja anayeishi huko mikoani. Nawabandikia wadau ili muone ushauri wake.
Soma kwa makini:
sambaza ujumbe huu uwafikie wapiga kura wote waliopo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.