Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
CCM is the best ever. Look at the accomplishments that JK administration has been able to accomplish! More and more students are enrolling in our local universities. The economy has been steadily...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Tofauti na chaguzi zilizopita ukiachilia ule wa kwanza 1995 CCM imeonyesha kuwa na wasiwasi wa hali ya juu kufanya hata waliokuwa hawafuatilii mambo ya uchaguzi kuanza kujiuliza kulikoni...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
(Mwananchi) CHAMA cha Mapinduzi(CCM), kimebadili ratiba za kampeni kwa mgombea wake wa urais, Jakaya Kikwete na sasa atafanya kampeni bila kupumzika tofauti na awali alipopangiwa siku za...
0 Reactions
59 Replies
5K Views
Dk Willibrod Slaa ameingia mkoani Shinyanga kusaka kura za urais. Na Chopper yake imeanza kazi upya baada ya kufanyiwa matengenezo madogo kwa siku nne zilizopita. Wananchi waliochoshwa na usanii...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Nukuu ya Leo kutoka kwa Dk. Slaa "Simamia, Dhibiti, Wajibisha." Hii ni kauli nzito iliyotolewa na mgombea urais kupitia Chadema, Dk. Willibrod Slaa, akisisitiza umuhimu wa uongozi...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Rais anapovaa kofia mbili yaani "urais" na "ugombea urais" anatumia kofia moja ya "urais" ili kujihakikishia ushindi, hivyo kufanya uwanja kutokuwa sawa kwa wagombea wote! Japokuwa duniani hakuna...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tangu mchakato wa Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu uanze miezi kadhaa iliyopita, tumeshuhudia Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), ikijitahidi kufanya kazi zake kwa kiwango cha kuridhisha, kinyume na...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Uwekezaji huu ni kwa manufaa ya watanzania wote au kikundi cha mafisadi? kuna taarifa kuwa serikali imesaini mkataba na kampuni ya Orphir Energy ya mjini London mkataba wa $50m kuchimba mafuta...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakati vijana ulimwenguni wakiwa ni chachu ya mabadiliko ya Kisiasa,kiuchumi na kijamii hali imekuwa tofauti kabisa kwa vijana wa kitanzania ambao bado hawajaonesha uwezo wakuwa chachu ya...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari za uhakika toka kambi ya CCM, zimeeleza kuwa CCM kwa kutumia serikali yake iliyopo madarakani inafanya mpango wa kuzima mawasiliano ya simu hasa za mikononi ili watu wasiwasiliane kujua...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Mabango ya CCM yaipasua kichwa Nec Thursday, 09 September 2010 22:31 Fredy...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kwa kiasi fulani nimefuatilia ziara zinazoitwa za kampeni za Kikwete. Kinachonishangaza ni jinsi anavyotumia mamlaka yake kushawishi watanzania wampigie kura. Akiwa Bukoba aliagiza ununuzi wa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ifuatayo ni sehemu ya makala iliyoandikwa na mwandishi maalum na kuchapishwa na gazeti la mwanahalisi la tarehe 8-14,Septemba 2010..nimechagua baadhi ya vipengele vilivyonigusa ''wapo...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nimemsikia Raisi wetu akiwaeleza wananchi ktk moja ya kampeni zake leo kuwa asilimia 51 ya wahitimu wa kidato cha nne shule za kata wamepata nafasi kwenda kidato cha tano. Mimi binafsi nina...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
MGOMBEA wa ubunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika jimbo la Mpanda Mjini, Sebastiane Kapufi katika Mkoa mpya wa Katavi, anadaiwa kutishia kumuua kada mwenzake kwa tuhuma za kwamba amekuwa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Miongoni mwa taarifa ziliznpo ni ushahidi wa vinasa sauti za mabinti wadogo na waajiriwa wa serikali ni taasisi za umma na ktk ccm wanaokiri kuwa na uhusiano wa ngono na viongoz wakuu.Hii ni...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
CCM Union presidential candidate, Jakaya Kikwete, has advised pastoral nomads to embark on modern animal husbandry, warning that their present livestock keeping method will render the areas...
0 Reactions
2 Replies
970 Views
Kuna tetesi kwamba ile monthly allocation kwa ajili ya matumizi ya kawaida ya mawizara imepungua tangu kuanza kwa kampeni, ndo kusema fedha zaenda kwenye kampeni? Mtujuze mlio serikalini.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Walimu mbaroni wizi wa mitihani ya darasa la saba Waandishi Wetu WALIMU wakuu na wasimamizi wa mitihani, wanashikiliwa na...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mwanzoni mwa mchakato wa kumpata mgombea urais wa CCM mwaka 2005, wengi walitarajia Dr Salim Ahmed Salim angelichaguliwa kwa kura nyingi kutokana na ukweli kwamba yeye ndiye alikuwa anaonekana...
0 Reactions
37 Replies
4K Views
Back
Top Bottom