Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Naona kijani na njano hapo chini barabarani, Ohio Street. Sijui ndio mafisadi wanatafuta nini!
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Kwani CUF inafika mbali inaishia DAR tu tena Buguruni haivuki mto Msimbazi.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
To: Mrisho Jakaya Kikwete Kijana, Perhaps you are just addicted to fame and popularity, or you just don't know what you are really doing in State House. But whatever it is, you're leading...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Government warns Mgaya for his defiant remarks By ABDULWAKIL SAIBOKO, 13th August 2010 THE government has warned the Trade Union Congress of Tanzania (TUCTA) Acting Secretary General, Mr...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Mheshimiwa Rais nchi inasambaratishwa na udini, chanzo kikiwa ilani ya uchaguzi wa chama chako cha CCM kilichoingiza mambo ya udini katika ilani ya uchaguzi, Mh rais. wewe hauioni hatari hii...
0 Reactions
41 Replies
5K Views
CCM wajipanga kumzuia Dr Slaa • Waandaa mamluki kumdhamini • Waomba msaada wa vyama vidogo Na Saed Kubenea Mkakati umesukwa na viongozi ndani ya CCM ili kuzima safari ya Dk Wilbrod...
0 Reactions
33 Replies
4K Views
Tangu enzi za Mrema akiwa waziri wa mambo ya ndani, Mrema alitangaza kuwa Kambona hakuwa raia wa Tanzania na kuwa atakamatwa uwanja wa ndege akitokea uhamishoni. Salim Ahmed Salim naye alikuwa...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Kikao cha Congress ya Wafanyakazi (TUCTA) kinaendelea, Mgaya uko wapi au umenyamazishwa ?
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kwa waratibu wa kampeni ya Mh. Slaa katika kugombea Urais 2010, Napenda kuwajulisha tu kuwa nina wazo lililonijia katika siku chache zilizopita ambalo nina amini linaweza kusaidia katika kampeni...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Napenda nianze kwa kuwaomba samahani wanawake kwa kauli yangu. Nimefanya uchunguzi na kugundua kuwa umasikini wa nchi hii umetokana na kung'ng'ania CCM. CCM ni chama ambacho kimeshauzwa na...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Nilikuwa naahgalia taarifa ya habari na niliangalia kwa hisia namna walinzi wa Mgombea wa urais kwa kupitia CHADEMA walivyo shupavu kwa kufuatilia gari ya Bosi wao kwa miguu. Jee hali itakuwa hivi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimepokea taarifa muda huu huu kuwa mume wa Naibu Waziri gaudencia Kabaka, amefariki dunia usiku wa kuamkia leo, nafuatilia kujua hali halisi. Lakini habari zaidi zinaeleza amefariki akiwa nyumba...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Kweli bata akijisaidia kaharisha na kuku akijisaidia kanya eti nyie sisimuhihimu(ccm) wote hawa c wanatuhumiwa?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kumekuwa na vilio vingi kutoka kwa wadau anuai kumtaka rais achukue maamuzi magumu ili kuleta mabadiliko katika chama na serikali yake, lakini imekuwa ni kama kumpigia mbuzi gita kwani hakuna...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wenye nchi yao hivi sasa wamezua tafrani mjini. Kuna foleni ya kufa mtu hakuna gari linasogea...JK anarudisha fomu! Maisha bora kwa waendao kujenga Taifa!
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Issue ya bashe na uraia wa Somalia iliyoubuka kutokana na mizengwe ya kamati kuu ya CCM, imenisukuma niandike hii hoja ili tuijadili kwa kina Mara kadhaa makamba amekuwaakitetea hoja kuwa yeye si...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam William Lukuvi amepita bila kupingwa kwa tiketi ya CCM na kata tisa zilizopo jimbo la isimani wagombea wa CCM wapita bila Kupingwa Jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
SOte wanajamvi ndo Tutajenga Taifa Letu. Watu kupoteza CCM ya Janja ni hii. Tumain, malaria Sugu Na Jeykey akina na kujibizana wa muda wanapoteza Taifa wa Mstakabali kwa Hoja kutoa wanajamvi ya...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
  • Closed
Mojawapo ya vitu ambavyo sipendi kwenye CCM ni huu utaratibu wa kikomunisti ambapo watu fulani katika majoho yao wanatengua maamuzi ya kura kwa ajili ya maslahi ya "chama". Badala ya kuwachuja...
0 Reactions
362 Replies
25K Views
Back
Top Bottom