Tayari CCM imeshayakamua makampuni mbalimbali yaliyopo tanzania. Mpaka sasa imekusanya tzs bilioni 40, lengo ni bilioni 50(milioni 50,000.00). Kisa... Kampeni!
...kwangu hiki ni kielelezo cha...
It's election time again, two thousand and ten
It's treason season again, democracy bargained
Conspiracy charging, voters chagrin
Mandarins and pretenders babbling margin while margarining
The...
Bandugu,
Ningependa kuburudika na lile tangazo la redioni la 'Mdudu Rushwa'! Pana mdau hapa anayo nakala yake pepe?
Wadaku bin wadakuzi wa mambo wanadai tangazo lile lilipigwa marufuku kwamba ni...
wakuu,
kwenye post inayopatikana hapa mwenzetu zyansiku ametoa mantiki ya ujio wa bashe huko nzega akidai ametumwa na mungu pale aliposema:
...nyuma ya bashe yupo mungu maana watu wa nzega...
Nikilinganisha kwa muonekano wa picha za mikutano kati ya CCM na CHADEMA naona kuna kundi kubwa la wapiga kura nalikosa kwenye picha za CHADEMA, si waongeaji sana lakini ndio huamua nani awe...
Sasa sijui kama hii ni siasa au vipi lakini bado akili yangu imeshindwa kuunganisha ninachokiona na tafsiri yake kwenye ubongo wangu. Naomba mnisaidie:
Yafuja mamilioni kwa chakula cha jioni
* Watafiti bado waitilia shaka kwa rushwa
Na Edward Kinabo - Tanzania Daima
WAKATI baadhi ya wadadisi wa mambo wakihoji faida gani taifa lilipata...
Wadau, kwa taarifa tu, leo asubuhi kutokana na udhuru nyumbani nilichelewa kwenda kazini hadi saa 6 hivi mchana. Nilipotoka nikakumbuka magazeti, nikasema nitanunua Kariakoo. Nilishangaa sana...
Kila kitu Kina mwanzo na mwisho wake, kama Msosi unakula kisha unaisha, shibe huisha, watu hufa na duia huendelea mbele wala hairudi nyuma,,
nasema hivyo Kwa sababu zifuatazo...
Maendeleo yeyote...
kama inavyofahamika kwa wengi, Ndugu Hussein Bashe ni kijana wa karibu sana na Rostam Aziz yeye ndio msimamizi wa miradi mikubwa pale Caspian na kwingineko kwa niaba ya RA, izingatiwe pia RA ndiye...
Wakuu, wasambazie watangazaji wa redio zote hii taarifa ili wahudhurie na kuweza kuwa fair wakati wa uchaguzi.
Form ya Usajili
Tangazo la Workshop yenyewe
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Taifa, Rais Jakaya Kikwete amesema hana tatizo na wanachama wa chama hicho wanaohamia vyama vingine,lakini wasijaribu kukihujumu.
Kikwete amesisitiza...
mgombea wa ccm upande wa nzega mimbizi wetu dk kigangwalla ameenda kukana jina lake mahakamani jana ..habari zaidi zinasema dk alienda kukaana baada ya kushauriwa na baadhi ya waanasheria ...je...
Ndugu wana Jf niinajaribu kufikiri suala la katiba ya ichi yetu, nimeshindwa kuelewa vema. Rais anavunja cabinet wakati gani, lini? swali msingi sana kwanini bunge livunjwe afu cabinet ibaki na...
Jitahidini mle hivyo hivyo, ili mkue, watapita na matarumbeta kuwaomba kura zao
Mama endelea kutuchagua, tutawajengea barabara za juu na chini.
Tuchagueni tutawajengea makazi na ofisi bora...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.