Nimekaa na kuanza kutafakari, ivi kauli mbiu za uchaguzi mwaka huu 2010 zitakuwaje
Nikapata japo hizi mbili za CCJ na CCM
CCJ (ikiwa watapata usajili): "Wamebana wameachia, mwanga mpya...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Hawa Ghasia.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Hawa Ghasia, amewataka watumishi wa umma...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Fedha na Uchumi) Dk. Mwinyihaji Makame Mwadini.
Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, (SMZ) imetangaza mwelekeo wa bajeti ya mwaka wa Fedha 2010/11 ambapo inatarajia...
Kauli hii ime tolewa na mmoja wa marafiki zangu. Ilitolewa kiutani lakni nika jikuta nime guswa na hayo maneno. Kwamba Tanzania( na pengine sehemu zinginezo) kuna MWANANCHI na MWENYENCHI. Nika...
PROFESA LIPUMBA ACHUKUA FOMU KUGOMBEA URAIS: Tokea kuanza kwa mfumo wa vyama vingi wapinzani wamekuwa wakisimamisha wagombea wale wale tu. Hii desturi ya kujaribu jaribu itaisha lini? Hivi huko...
(1) Rais (Muungwana)------> Kutoka Bagamoyo
(2) Makamu wa Rais (PHD)-->Katokea Pemba
(3) Waziri Mkuu (Son of Peasant (SOP))---> Katoka Sumbawanga
Hivi bado tunajiuliza tumerogwa na nani...
CCM: Liundi taja mamluki tuliowapandikiza upinzani
2009-01-01 13:44:58
Na Simon Mhina
Chama cha Mapinduzi CCM kimejibu shutuma dhidi yake zilizotolewa hivi karibuni na msajili wa kwanza wa...
Uzinduzi wa mabasi hayo umefanywa jana Dar es Salaam na Waziri Mkuu Mizengo Pinda kwa niaba ya Rais Jakaya Kikwete kwa Shirika la Usafiri la Dar es Salaam (Uda) kuhadharishwa mradi usifie mikononi...
Ya wapi maisha bora, Yale tuloahidiwa,
Visiwani nako bara, hakika tuliambiwa,
Mambo kuwa barabara, chama tukikichagua
Wanaoona waseme, ya wapi Maisha Bora?
Kauli mbiu ilikuwa, ikawekwa...
Kuna mtu kanieletea picha ifuatayo katika mojawpao ya mass mailing ninazopopokea kila siku. Sijuii picha yenyewe imapeigwa wapi ila nina uhakika kuwa ni Tanzania.
Kuna tafisir nyingi sana...
Big thinkers naomba kuuliza swali! wakati mechi ya brazil na sisi ikiwa ndo imewiva kuna jamaa alikatiza uwanjani katikati na police wakawa wamemng'ang'ania! najiuliza hv! je wakati jamaa anazama...
Ndugu wanancchi nimeona tukumbushane wa wale waliokuwa awajazaliwa..Dar es salaam tulikuwa na tatizo kubwa la Usafir wa wanafunzi...mwisho wa siku wafadhali wakajitokeza sana kuleta...
CCM Imejipanga Vizuri kwa Ushindi
Hivi karibuni Chama chetu (CCM) kilikamilisha kujipanga kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu ujao, hali ambayo inatuhakikishia kuendelea kufanya vizuri katika uchaguzi...
Reduction of Bunge time shocks experts
Prime Minister Mizengo Pinda (right) chats with Justice and Constitutional Affairs minister Mathias Chikawe in Parliament in Dodoma yesterday.
By...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad
Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar kimesema Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad...
Watanzania wenzangu,
Siku zote nimekuwa nikiwahurumia sana kwa ajili ya matatizo yanayowakabili,ila hili la ujio wa timu ya Brazil nimelifurahia sababu ni moja ya michezo ambayo mnaipenda
Kwa...
Jana katika vyombo mbali mbali vya habari niliona habari juu ya baadhi ya wanachama wa CCJ waliokuwa wana hakikiwa na msajili wa vyama kuwa walighushi, na uanachama wao ni batili.
Cha ajabu...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Yusuf Makamba, amewatibua makatibu wa wilaya wa chama hicho waliogeuka `wabeba mikoba' ya wanasiasa wanaotangaza nia ya kugombea ubunge katika Uchaguzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.