Hizi ni data chache tu za mtazamo wa mkuu wa nchi anavopenda michezo.
Kama mkuu kabisa wan chi alisema lazima awalete Real Madrid 2010 wacheze uwanja wa Neshno, sijajua watacheza na...
Ukisikiliza kauli mbiu za Kilimo Kwanza, unasikia wakulima wakubwa wa mashirika na kutoka nje ya nchi wakipewa kipaumbele. Wale wadogo waliolibeba Taifa kwa maiak yote 49 ya Uhuru, wanaambiwa...
Mwalimu Nyerere and the challenge of human rights
Helen Kijo-Bisimba and Chris Maina Peter
[Extracts from a prospective Chapter in a forthcoming book on Nyereres Legacy, Edited by Chambi Chachage...
Wakati zoezi la uchukuaji fomu za urais Zanzibar utaanza Juni 21, mwaka huu, joto la mtu atakayemrithi Rais Amani Abeid Karume, limezidi kupanda.
Kampeni za chinichini zinafanyika kwa kasi...
:mad2:Waheshimiwa nawaletea hapa chini hotuba ya Mhe. John Mrema aliyoisoma katika kikao cha Mkutano Mkuu wa CHADEMA jimbo la Vunjo mkoani Kilimanjaro:mad2:
HOTUBA YA KUFUNGUA MKUTANO MKUU WA...
Serikali ya umoja wa kitaifa itaumbua wengi
Wahafidhina wa siasa za chuki waanza kuhaha
HATIMAYE kaburi la historia ya siasa za chuki na uhasama wa kulipiza kisasi Zanzibar, limeanza...
Tanzania is not, won`t ever become a nation of animals
Editor
6th June 10
A few weeks ago, President Jakaya Kikwete cautioned East African Community (EAC) members against...
SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), imesema itahakikisha kuwa kura ya maoni na uchaguzi mkuu,zinafanyika hata bila ya fedha za wahisani.
Kauli hiyo ilitolewa jana na Waziri wa Nchi katika...
Wanawake watatu waliojitambulisha kuwa ni Helen Mgaya (22), Robi Wambura (20) na Sophia Marwa (43) wote wakazi wa Kijiji cha Kebweye wilayani Tarime, Mkoa wa Mara, waliwaambia waandishi wa habari...
Ramadhan Semtawa
UCHAGUZI mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu, umegusa ratiba ya shughuli za Bunge, baada ya mkutano wake wa bajeti unaoanza kesho mjini Dodoma, kutarajiwa kufanyika...
Tangu mfumo wa vyama vingi umeingia TZ, sijasikia chama kilichopata usajiri kwa mikiki kama CCJ
Swali langu ni hili, hivi chama hiki kisipopata usajiri kuna athari zozote kisiasa, kiuchumi na...
Inasemekana yule Mbunge machachari wa Rombo mwenye kesi mahakamini ya Ufisadi kipindi cha uongozi wake katika wizara nyeti ya Fedha amekuwa akigawa Tshs 5000 kwa kila mwanakijiji huko kijijini...
By The guardian reporter
5th June 2010
Two foreign companies operating in Tanzania have reported extensive gold finds in the country.
While Helio Resources Corporation says it has found...
Bunge latibuka kwa homa ya uchaguzi,
LITAKUWA LA WIKI TANO, KUVUNJWA JULAI 16
Monday, 07 June 2010
Ramadhan Semtawa
UCHAGUZI mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu, umegusa ratiba ya...
Nilikuwa najiandaa kwenda kupumzika saa kumi na nusu hizi za alfajiri wakati vinzi karibu na ofisi ya msajili wa vyama vya siasa vinadokezakuwa leo mchana msajili amepanga kukutana na uongozi wa...
NA SULEIMAN JONGO
KADA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), mkoani Arusha, Daniel ole Porokwa, aliyetangaza nia ya kuwania ubunge Monduli katika uchaguzi mkuu wa Oktoba, mwaka huu, amejiondoa kwenye...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi (CUF), Seif Sharif Hamad ametabiri kuanguka kwa CCM katika uchaguzi mkuu wa mwezi Oktoba, kufuatia mazingira mazuri ya kisiasa, yaliyotokana na maridhiano kati...
NA JOSEPH BURRA
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza kuwa, Juni 21 hadi Julai mosi, mwaka huu, itakuwa kipindi cha kuchukua na kurudisha fomu kwa wanaowania urais wa Zanzibar na Jamhuri ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.