Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Na Yassin Kayombo, Kibaha CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema kina uhakika wa kupata ushindi wa kishindo katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu, kutokana na kukubalika kwa wananchi na mikakati yake...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Hali zenu wakuu. Kuna baadhi ya watu wamejitolea kuja kutuletea kadi za vijana za CCM kwa ajili ya kumchagua mbunge wa jimbo letu. Tatizo ni kwamba, wakati wa kutuandikisha, wamechukua ID...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Maalim Seif ajitosa tena urais Zanzibar SIKU moja baada ya mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba kutangaza nia yake ya kugombea urais wa Muungano, katibu wake, Maalim Seif Sharif Hamad...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Tundu Lissu: CCM imeanza kucheza rafu Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)kimekishutumu Chama cha Mapinduzi (CCM) kuwa kimeanza mkakati wa kununua shahada za kupigia kura za vijana...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Spika wa Bunge, Samuel Sitta. Spika wa Bunge, Samuel Sitta, amewataka wananchi kuepuka kasumba ya kuchagua viongozi wenye uchu wa kutafuta maslahi binafsi...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
"The Tanzanian Football federation admits to paying several million dollars to persuade Brazil to play the Taifa Stars" Safari bado ni ndefu kwa nchi hii kwa kweli! Ila tactic nzuri kwa uchaguzi...
1 Reactions
150 Replies
14K Views
RAIS Jakaya Kikwete anasema simu yake ya mkononi iko wazi kwa yeyote anayetaka kuwasiliana naye. Namba ambayo wengi tunaifahamu ni 0754 777775. Akizungumza na viongozi wa madhehebu ya dini...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Wakati huu kwa kuwa chama cha mafisadi CCm na serikali yake wanaanza wizi mwingine kupitia ziara eti wanaenda kuwaeleza wananchi ni nini wamewaibia, nawaomba viongozi wa CHADEMA chapisheni...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
MWINJILISTI wa Kanisa la Penuel Healing Ministry, Alphonce Temba amewataka wachungaji na maaskofu kuacha kushinikiza kubadilishwa kwa siku ya kupiga kura na badala yake kuwataka watumie siku...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mimi hadi sasa siamini kama Muungwana ni kiongozi mbovu kama wengi wanavyoamini. Ila ninachojua alivyoanza kazi hakuwa mwangalifu na ndio maana anatumia nguvu nyingi sasa ku rectify mambo na bado...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Katibu Mkuu, Alhaji, Luteni Kanali Yusuph Rajab Makamba aliwahi kusema kuwa JK ndio mtaji wa kura za CCM. Jamaa nisiowaamini kabisa, REDET nao wakaja na mapambia kama hayo ya Luteni Kanali Mstafu...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kashfa mpya ya Andrew Chenge Mwandishi Wetu Machi 17, 2010 Achunguzwa kutumia madaraka vibaya kama Yona Maswahiba zake wahaha kumuengua kashfa ya rada WAKATI kukiwa na mkakati wa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
* Ni kuhusu ziara za mawaziri mikoani kutetea serikali awamu ya nne WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu wa Bunge), Philip Marmo amesema kuwa mawaziri watazunguka mikoani kwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hawa Tanesco na Tanga Cement, taasisi muhimu katika ujenzi wa uchumi wa Taifa la walalahoi hawaeleweki sasa jamani. Au kuna anayejua ki undani zaidi zogo lao ni la nini hasa? Hebu soma hapa...
0 Reactions
72 Replies
9K Views
Daily News ABOUT 70,000 students are likely to miss examinations or expelled from universities as the Higher Education Students Loan Board (HESLB) has run out of funds to finance tuition fees...
0 Reactions
36 Replies
3K Views
Muhimili wa Mahakama utajinasua vipi uwakala wa CCM? Kuna hofu kuu iliyotanda nchini katika medani ya siasa kwamba endapo Mhakama, ambacho ni muhimili muhimu wa nchi unaotarajiwa kutoa haki (na...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mtikila akusudia kuzuia Uchaguzi Mkuu Mwenyekiti wa Democratic Party (DP), Mchungaji Chritopher Mtikila, ameungana na azma ya Chama Cha Jamii (CCJ), kutangaza kusudio la kuiomba Mahakama Kuu...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Huwa najiuliza kila siku. Je ni kweli CCM huwa wanaiba kura au ni wapinzani na baadhi ya wananchi kudhani uchaguzi wa huru na haki ni chama tawala kushinda tu? Ukiangalia matokeo ya uraisi mwaka...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Ridhiwani, Januari walikwina? Na Ezekiel Kamwaga - Imechapwa 26 May 2010 Waraka wa Wiki ALIPOUAWA mtawala wa Urusi, Nicholaus II, 17 Julai 1918, mauti hayakumfika yeye peke yake...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Ninaitwa Bandora ni kijana niliye tayari kwa kulitumikia taifa langu....Baada ya kutafakari kwa mda mrefu juu ya namna ya kulitumikia taifa hili nikaona njia iliyo rahisi na wazi ni kupitia nafasi...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Back
Top Bottom