Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Hon. Zitto Z. Kabwe's Speech at Launch of the ONE’s DATA Report 2010 in Berlin, Germany Distinguished guests, professors, ladies and gentlemen It is a pleasure for me to be here, at the...
0 Reactions
45 Replies
5K Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) kinatarajia kuanza Mafunzo kwa Wagombea Ubunge Watarajiwa. Mafunzo hayo yanalenga kutoa Mafunzo muhimu kwa Wagombea hao ambayo yatakwenda sambamba na...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Ujio wa Brazil hapa kwetu ni Wakati Muafaka kuiuza Tanzania. Tuweka Mabango ya Utalii kwenye Hotel watakayofikia, Barabara watakazopita, sehemu za 'training' na siku ya mechi Uwanja wetu ujae...
0 Reactions
33 Replies
5K Views
Mwongozo huu unalenga kuwaandaa vijana kuwa mstari wa mbele katika kufanikisha shughuli zote za uchaguzi mkuu ujao Nia na madhumuni yakuwalenga vijana ni haya yafuatayo; Ø Vijana...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Hivi watu wazima Tanzania wasiojua kusoma na kuandika wanapiga vipi kura? Maanake ni asilimia 69 tu ya watu wazima Tanzania wanajua kusoma na kuandika (World Resources Institute, 2007). Je, wale...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Makala ya Uchambuzi na Na Saed Kubenea Mwanahalisi RAIS Jakaya Kikwete anasema simu yake ya mkononi iko wazi kwa yeyote anayetaka kuwasiliana naye. Namba ambayo wengi tunaifahamu ni 0754...
0 Reactions
34 Replies
4K Views
Nimesoma kule kwa Ankal waziri wa nishati na madini William Ngeleja ametia saini mkataba na Kampuni ya Ophir wa utafutaji gasi na mafuta ambao utaligharimu dola bilioni 7. Ophir Energy ambayo...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Pasco na MMKJ nafurahi kuona mnavyojitahidi kuwafanya watu waone Ccj ni mkombozi, ni kama vile namona Pasco alivyokaa akisubiria hilo tamko. Jamani tumeona na kusikia matamko mangapi we need...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Wandugu hii picha na tangazo (la kampuni fulani ya nchi fulani ya ughaibuni) inatumika ku-promote utalii TZ. Hebu soma text kwenye hiyo picha. Inaonekana mpangilio mbovu wa mji wa Dar es salaam...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Raisi wangi muongo, mwingi wa ahadi zisizotekelezeka. Alipoingia madarakani alianza kwa kulihutubia bunge, hotuba, kali iliyojaa msisimko. Tukajua tumepata raisi anayekuja na kulikomboa taifa...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
JK alisema kuwa takrima haikwepeki ingawaje sheria ya uchaguzi inakataza na mahakama ilikwisha amua kuwa ni rushwa. Sasa kuanzia leo yuko huko Kilimanjaro, tutarajie vituko vingine huko na utani...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Hivi; Ana lia, ana lalamika, ana nung'unika, ana huzunishwa, ana chukizwa, ana tahayari, ana sikitika, ana ghafilika, ana kata tamaa au kwa kifupi hajielewi? Yaani miaka yote hii ya majaribio na...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Nimekuwa nikijiuliza maswali mengi na yamenisumbua sana, Mh Membe na Rais Kikwete ni ndugu? maana wanafanana sana, Hata nyie angalieni hizi picha.
0 Reactions
34 Replies
4K Views
Hotuba nyingi za JK hasa zile za kutoa ahadi ni kama vile za kutabiri, kama ahadi aliyowaachia Wachagga ya kuendesha mafunzo ya shule kwa kutumia teleconferencing kufikia 2015 ni kama utabiri...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Election thieves face jail in The Hague - Ocampo Daily Monitor May 28 2010 Kampala The International Criminal Court will prosecute politicians who rig elections and those who use...
0 Reactions
0 Replies
873 Views
The Board of Directors of TANESCO has appointed Mr William Geoffrey Mhando to be the Managing Director of the state-owned power utility firm. A statement issued by Tanesco in Dar es Salaam said...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Just came across this. Nimeipenda kweli maana inanipa updated weekly activity za rais. Ivi bongo tunashindwa kitu kama hichi na watu wote wa IT? Procedure ni vipi kama ningependa kufanya kitu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Na Daniel Mjema, Moshi KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida, watendaji watano wa serikali mkoani Kilimanjaro, jana hawakutokea kwenye ziara ya Rais Jakaya Kikwete na kusababisha maswali yanayohusu...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Watanzania wote mnaokaa Uingereza,Marekani,Canada,Australia na New Zealand....Jipatie Kitabu Maalum na CD kuhusu Utengenezaji wa mali na fedha bile kulipia chochote.Kitabu hiki na CD kitatumwa kwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Chama cha Jamii ambacho kimenuiwa kunyimwa usajili wa kudumu na Serikali inayodaiwa kuwa ni ya kidemokrasia ya Rais Jakaya Kikwete leo kimetoa majibu yasiyo na utata ya kwanini uamuzi huo ambao...
0 Reactions
127 Replies
11K Views
Back
Top Bottom