Will the real Jakaya Mrisho Kikwete please stand up?
By By Elsie Eyakuze
Posted Monday, May 10 2010
It was around December of 2005, shortly before President-elect Jakaya Kikwete was sworn...
NCHI za Afrika zimeshauriwa kutazama upya mifumo ya uchaguzi ili iendane na maslahi ya watu wake pamoja na kuwaletea maendeleo ya kweli kiuchumi.
Viongozi wa Afrika pia wametakiwa kuwa tayari...
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU MAAMUZI YA
CHA KAMATI KUU.
Taarifa inatolewa kwa umma kupitia kwa vyombo vya habari kwamba Kamati Kuu ya CHADEMA ilifanya kikao chake cha kawaida jumapili tarehe 25...
*Adai WEF ni kuendeleza ubeberu
Na Job Ndomba
MAANDAMANO ya wanaharakati yaliyotakiwa kufanyika jana na kuishia katika Viwanja vya Mlimani city kunakofanyika mkutano wa Jukwaa la Uchumi la...
Nilipata kuandika katika safu hii juu ya kuthubutu kwa Rais Paul Kagame wa Rwanda. Niliandika uchambuzi wa kuthubutu kwa Kagame baada ya Waziri Mkuu Mizengo Pinda kufanya mkutano na wahariri...
At Berlin Conference for Scramble of Africa in 1884-1885, Africa had no representation. It was occupied and exploited through colonialism. Today, Africa is actively represented, through Davos...
WanaJF,
Je Tanzania ikipunguza matatizo ya rushwa mambo yatanyooka? Naona kuna tatizo flani sugu. Tamaduni yetu ya watu wenye akili kulenga kwenda university na hatimaye mara nyingi kutafuta...
Helo Members wa JF. na watanzania kwa ujumla.
Tunajiandaa na uchaguzi hapo oktoba 31/10/2010. kila nikijaribu kuangalia na kutafakari kwa makini na nikijumlisha matamsha ya wanasiasa mbalimbali...
Wakuu! I hope ur all fine.
Wengi wetu tumekuwa tukiamini kwamba ili mtu ashinde Ubunge au Udiwani basi ni lazima awe na alots of money na hii imepelekea watu wengi hasa vijana na wale wenye kipato...
Akitangaza ratiba hiyo Dk Slaa alifafanua kuwa fomu kwa wanachama wanatakaowania nafasi za ubunge, uwakilishi na udiwani zinaanza kutolewa Mei 3 kwenye ofisi za majimbo yaliyopo nchi nzima...
LICHA ya kutangaza kutogombea urais mwaka 2010, waziri mkuu mstaafu, Frederick Sumaye bado anatajwa katika anga za kisiasa baada ya kuelezewa kuwa ni mmoja wa watu wanaoweza kujitokeza kupambana...
Ni masaa 60 yamepita toka hotuba ya Mh. Rais iishe pale Diamond Jubilee. Katika hotuba ile aliyoifanya mbele ya 'vikongwe' vya DSM (which to me is a wrong audience cosidering his theme) ilijaa...
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano), Mohammed Seif Khatib amependekeza mgombea wa kiti cha urais atakayemrithi rais wa sasa Jakaya Kikwete, atoke visiwa vya Zanzibar.
Waziri...
Habari hii toka mwanahalisi ya Tarehe 5 may, inanipa shaka juu ya tunakoelekea. Jihabarishe hapa
HAPO zamani wananchi walioishi katika maeneo yenye madini waliamka asubuhi na kuokota madini...
Jana nilikua naangalia taarifa ya habari ya TBC1, walikuwa wakimhoji Mh B Mkapa nje ya ukumbi wa Mlimani City baada WEF.
Kuna sawali ambalo aliulizwa naye mH kutoa majibu yenye utata nikastuka...
Kwa kweli nimekuwa pembeni kuangalia muelekeo wa Tanzania ,nilichokiona ni kule tunakoelekea hakuna faida nasi na nikionacho ni giza tupu ,kwa maana ya machafuko yatakayoisambaratisha Tanzania...
Ni muda mrefu tumekuwa tukichangia humu kwa point nzuri sana, kwa uchungu mkubwa sana dhidi ya mambo yanavyoendeshwa katika nchi hii. Ni wakati umefika kuonyesha commitment yetu katika nchi yetu...
Nikama hakuna uchaguzi mkuu Tz 2010 kwani kilichopo ni kuthibitisha wana CCM watakao endelea kuitafuna Tanzania.
Mwezi October na Novemba utasikia hivi CCM IMESHINDA KWA KISHINDO.
Kikwete rais...
Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC).
Jeshi la Polisi nchini limeamua kuondoa utaratibu wa kuweka askari wenye sare na silaha katika vituo vya wapiga kura ili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.