Huku hali ni tete baada ya uchaguzi wa aina yake kuleta matokeo ambayo hayajawahi kutokea kwa muda mrefu - kuwepo wa bunge linaloning'inia. Nadhani nasi tunahitaji bunge la aina hii huko nyumbani...
Jana kwa wale waliobahatika kumsikiliza Rais mstaafu wa awamu ya Tatu ndugu Ben Mkapa, watakubaliana nami kuwa huyu jamaa amekomaa kimtazamo na namna anavyowakilisha hoja zake na kilichounda hoja...
Mwinyi: Serikali ilinde ajira za wananchi wake
Na Fredy Azzah - Mwananchi
SIKU mbili baada ya Rais Jakaya Kikwete kutoa hotuba kali na maagizo ya kutimua wafanyakazi wote ambao wangeitikia...
Serikali za wenzetu wanawasikiliza civil cervants wao na kupata ufumbuzi wa matatizo yao. We need to borrow a leaf from them
Click on the link below...
:A S clock:Kwanza sijawahi kusikia nchi iliyofanya uchaguzi wa kidemokrasia ukawa huru na wa ukweli.
Tumeona Marekani kila mara tangu enzi za Bush na leo hii ni UK.
Kwa sisi waafrika ya nini...
Ningependa kujua kuwa vyama vya upinzani vina mawazo gani kuhusu suala zima la madai ya TUCTA na kufuatilia vitisho vya serikali kuzuia wafanyakazi kugoma.
Waungana kwasababu ya muda sitoweza kuandika mengi kwasasa ila nitafanya hivyo mara baada ya kupata muda wakati wa likizo ya summer.
Kwa kifupi nimeonelea nigusie kuhusu dhana ya udini na ukabila...
Trade Unionism and Democracy in Tanzania
There is already in existence of a body of literature on both colonial and post-colonial trade unionism in Tanzania. What is discernible in this...
Kiongozi anayetewala kwa vitisho, ameishiwa maono
Mtu akikutisha maana yake ameshindwa kukushawishi
Wakianza kuzungumzia umwagikaji damu, wanajiandaaa kuimwaga
Ukiona watu wanapiga...
Activists 'escorted' out of Tanzania
DUDUZILE MATHEBULA | JOHANNESBURG, SOUTH AFRICA - May 06 2010 17:01
Johannesburg on Thursday afternoon after attending meetings related to the World...
PENDEKEZO LA 1:TANGA, MAFIA, BAGAMOYO NA PANGANI ZIWE SEHEMU YA ZANZIBAR!
Na. M. M. Mwanakijiji
Hili ni pendekezo la kwanza kati ya mapendekezo kadhaa ambayo nitayatoa katika kusaidia...
JK amesema
Uwaziri ni cheo cha kisiasa na si vyema nchi kutuma mwanasiasa kufanya majadiliano ya uwekezaji wakati kuna wataalamu waliobobea katika sekta mbalimbali wenye uwezo wa kutetea maslahi...
Kama huko uliko baba yetu wa Taifa unasoma mawazo haya ya watoto wako uliotuacha huku tukiwa na amani na utulivu uliotukuka, basi naomba usome hapa kwa umakini mkubwa. Yule kijana ambae...
Britain was waking up Friday to the propsect of a hung parliament after one of the most fiercely-fought general elections in decades left no party with a clear enough majority to form an effective...
Now we can't even organise an election: Scandal as tens of thousands of voters turned away in polling stations shambles
Last updated at 4:38 AM on 7th May 2010
Electoral Commission to...
Mchungaji Christopher Mtikila akionesha waandishi wa habari walaka wake ambao amesema atausambaza hadi nje ya nchi.
Akizungumza nyumbani kwake Mikocheni jijini Dar es Slaam jana, Mwenyekiti...
Habari zilizorushwa na TBC1 kutoka Manyara zimeonesha kuwa Mkuu wa Mkoa wa Manyara Henry Shekifu amepandishiana live na Ole Sendeka baada ya kutofautiana wakati wakihudhuria mkutano wa vijiji...
Kwa mtazamo wangu matatizo yote yanayotokea katika idara za serekali na za mashirika ya
umma yanatokana na uongozi usiokuwa makini katika kufuatilia maslahi ya wafanyakazi makazini.ukweli huu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.