Mchakato wa kupata tiketi ya kugombea Urais ni kwamba unatakiwa upitishwe na chama na baada ya kupitishwa na chama unaenda kutafuta wadhamini katika mikoa ya Tanzania bara na visiwani Zanzibar...
Unapomwambia PM kwamba Usalama wa taifa ubaki huko huko DSM kwamba ninyi mna vikosi vyenu una maana gani?
Hivi sheria ya vyama vya si inazuia kua na vikosi vya ulinzi?
Huu sasa ni sawa na...
Nakumbuka wakati nafanya kwenye NGO moja ni International ilikuwa akija Mgeni yaani wafadhiri wa mradi tulikuwa haturuhusiwi sisi staff kuongelea tulicho kifanya bali wale wanufaika ndo pekee...
Nauliza NEC. Ni swali gumu linaloweza kuleta TAFRANI.
JE WATATUMIWA WATUMISHI HAWAHAWA!?
Yaani hawahawa licha ya walivyotendwa miaka hii mitano!?
Watumishi(WALIMU)... Mtafanya kazi hiyo...
Leo tarehe 15/08/2020 Mheshimiwa John Heche Mbunge wa Jimbo la Tarime Vijijini anaemaliza muda wake, amechukuwa fomu ili kulitetea tena Jimbo hilo.
Binafsi naona kama huyu ndiye Mbunge wa...
Pale njiani Same, wananchi walijikusanya barabarani ili angalau wamsikilize shujaa Lissu.
Katika hadhara hiyo pia akafanikiwa kukutana na mwalimu aliyemfundisha kwenye shule ya watoto wenye...
Habarini wanabodi,
Kwanza naomba nitamke wazi kwamba mimi ni mwanaccm kindakindaki na nimepanga 2025 kuonana na wajumbe.
Naomba niseme wazi kwamba ccm tulikosea kwenye vipaumbele vyetu...
Swali: Iwapo ikatokea Tume ya Uchaguzi ikamuengua mgombea Uraisi wa chama kimojawapo;je, mgombea husika anaweza kwenda mahakamani kupinga uchaguzi huo na kuiomba mahakama isitishe mchakato wte wa...
Wakati vikao vya ngazi za juu ndani ya Ccm vikiendelea na mchakato wa kupitia majina taarifa za ndani zinaeleza kuwa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Njombe Bw. Christopher Ole Sendeka ameanza...
Ndugu wana bodi! Habari zenu!
Nikiwa kijana mdogo ,mwaka 1995 ,baba wa Taifa mwalimu Nyerere ,wakati akitueleza umuhimu wa uchaguzi na kuchagua viongozi bora wa taifa hili,alituasa kuwa ,tuchague...
Wasalaam!
Ni ukweli usiopingika CHADEMA na wafuasi wao wamekuwa wakishikwa na butwaa baada ya kuona serikali na chama cha mapinduzi kimekaa kimya pamoja na kulazimisha kujibiwa!
CHADEMA wamekuwa...
Habari zenu waungwana.
Naomba kuulizia kuhusu watia nia wa Chama cha Wananchi CUF. Sijasikia taarifa yoyote kutoka katika vyombo vya habari kuhusu wachukua fomu za Urais, Ubunge, Uwakilishi na...
UTEKAJI UMERUDI NCHINI
TAARIFA KWA UMMA
TUMECHOSHWA NA UNYAMA HUU
Chama cha ACT-Wazalendo kimepokea kwa mshutuko taarifa za kuvamiwa, kutekwa akiwa nyumbani kwake na baadaye kupelekwa...
Inafahamika kuwa nchi yetu imekuwa chini ya CCM tangu ipate Uhuru takilibani miaka 60 Sasa. Hivyo Kama Kuna mabaya au mazuri pongezi au lawama zozote Ni kwa CCM na sio kwa kiongozi wa awamu...
Kwa hali inavyoendelea na mapokezi aliyopata Maalim Seif Zanzibar uchanguzi kwa upande wa Zanzibar unaonekana utakuwa mugumu kwa CCM na Hussein Mwinyi.
Kwa siasa za Zanzibar Kuna uwezekano...
Mkutano Mkuu wa jimbo la vunjo umempitisha Dkt. Augustino Lyatonga Mrema ambaye ni Mwenyekiti wa TLP taifa na mwenyekiti wa bodi ya parole taifa, uliofanyika Njia panda, Himo kugombea ubunge kwa...
Habari wakuu,
Siku ni njema na mambo sio mazuri kwa kiasi chake.
Kwakweli nitafurahi sana huyu mwanamama wa Mbeya akishindwa uchaguzi huu wa October, hana mvuto wa kisiasa kabisa, binafsi...
Jamani habari ya mjini ndiyo hiyo.
Tangu uchaguzi wa 1995 viongozi wa Dini wamekuwa waangalizi wa uchaguzi mkuu.
Lakini uchaguzi wa mwaka huu Tume imeamua viongozi wa Dini wasishirikishwe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.