Magufuli angeanza kufungasha vilago kuondoka Ikulu mapema hawezi kupambana na Lissu kwenye sanduku la kura atapata aibu kubwa.
Watanzania sio wajinga waliekuwa wakimsubiri kwa muda mrefu ndio...
Baadhi ya wagombea Ubunge wa Kura za Maoni CCM katika jimbo la Arusha mjini wamefichua mazito siri ya Ushindi wa mgombea mwenzao Mrisho Gambo aliyepata kura 333 na kufuatiwa na Philemon Mollel...
Mambo yamepamba moto, wakti Lissu anazunguka mikoani kutafuta wadhamini, Rais Magufuli anawatuma makada wa CCM kutembeza fomu kimya kimya ili zijazwe na wadhamini katika mikoa husika.
Je, huu ni...
Amani iwe nanyi wadau na kwa wakazi wa Dar poleni na Tetemeko
Niende kwenye mada!
Ni ukweli ulio wazi kuwa John Pombe Magufuli hawezi shinda uchaguzi wa mwaka huu na hizi ndizo sababu
1. Kuna...
Watu wanasema nafanya kampeni mapema. Hakuna tafsiri yoyote ya kisheria nchini, inayosema kuna kitu kinaitwa kampeni kabla ya wakati. Na kama wakisema hii ni kampeni kabla ya wakati, basi...
Hatimaye mteule wa kupeperusha bendera ya Urais kupitia chama cha Chadema, anatia huruma; hana hoja ya msingi ana ropoka ropoka hovyo njiani akidhani atapata kura za huruma- PUMZI IMEKATA...
Hello bosses,
Niende moja kwa moja kwenye mada. Ni aibu kuona wanavyuo wengi wanahitimu wakati bado wengine wengi wako mitaani bila kazi au wanafanya kazi za chini sana ambazo hata...
Habari kutoka ndani ya chama jimbo la Kibamba zinasema mbunge wa sasa wa Kibamba Mheshimiwa John John Mnyika ambaye pia ni Katibu Mkuu wa CHADEMA mpaka muda wa kuchukua fomu unaisha alikuwa...
Hapa ntajikita kujadili mambo ya (EI) yaani emotional intelligence. Bila shaka kila mtu atakubali kwamba Rais wetu ana tatizo la emotional intelligence, hivyo kusababisha kuonesha hisia zake hata...
Mara nyingi nimekua nikisema kuwa sisi wana CCM tumekua waoga sana wa kuusema ukweli, ipo siku tutakua kwa aibu maana tukiendelea kutegemea Polisi kama alivyowahi kutuambia Rais mstaafu awamu ya 4...
#HABARI: Mgombea ubunge Jimbo la kawe kupitia chama cha wananchi CUF, Mhe. Salmini Kisamo mapema Leo alifika ofisi za msimamizi wa uchaguzi wilaya ya Kinondoni na kuchukua fomu.
Kama Rais wa nchi anapata wadhamini wachache kiasi hicho basi hii ni dalili mbaya sana.
DSM pekee inakadiriwa kuwa na watu zaidi ya mil 5 na bila shaka yaweza kuwa na watu wazima ( kwa maana ya...
Katika moja ya hotuba zake muhimu kwa nchi hii wakati wa uhai wake Mwalimu Nyerere aliwahi kutoa utabiri kuwa upinzani wa dhati nchini utatoka ndani ya CCM.
Kutokana na kujitokeza kwa mwanasiasa...
Nchi hii watu wanaleta dharau, chama chetu tawala kinaleta dharua kubwa kwetu.
Awali tuliambiwa hakuna haja ya wasanii, mara paap upepo umegeuka tumeamua kufanya tamasha la wasanii tuchuje nyimbo...
1. Jina YEREMIA KULWA MAGANJA
2. Alizaliwa tarehe 24/12/1967 huko Bunda Mara
3. Alisoma shule ya msingi Balili Bunda na Mlimani Bariadi
4. Kidato cha nne alisoma Iliboru Sekondari huko Arusha...
Natoa wito wenye mvuto. Kwa makada wenzangu wa CCM na wakereketwa wa chama na wananchi wote kwa ujumla wanaokiunga mkono Chama cha Mapinduzi. Wito wa kuwaomba, kuwashawishi na 'kuwalazimisha'...
Wana jamvi wasalaam,
Huku mtaani kwetu ile hoja maarufu iliyodumu takribani miaka mitatu ya kuwa upinzani especially CHADEMA imekufa imejifia na wapambe wa hoja hiyo wameingia hofu.
CCM wanajua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.