ktk pitapita yangu leo dsm nimeshangazwa kukuta mtu amebeba maji yenye nembo ya jembe na nyundo....kiukweli nimeshangazwa kwa kuwa mwenye kiwanda ameamua kujikomba na kutupilia mbali risk...
kwa uelewa wangu mdogo, ninaamini unapozungumzia maendeleo kwa nchi kama TZ, wananchi wanahitaji yafuatayo:-
Elimu Bora.
Miundombinu mfano barabara.
Afya bora, ujenzi wa vituo vya afya katika...
Kama kuna delicate time katika nchi yetu ndiyo sasa. Yanayoanza kujitokeza tusiyafumbie macho. Hakuna ubishi kuwa GREEN GUARD ni intarahamwe mpya inajitikeza Tanzania. Hii inamaanisha kuwa kama...
Kampeni zinapoendelea Watawala wanadai eti Ikulu si mahali pa kufanyia majaribio ya Kiuongozi ingawa historia haiko upande wao kwani wametokea Marais wengi ambao hawakuwahi kuwa hata Mawaziri...
Sheria ya taifa ya uchaguzi iliyotolewa 30 Juni 2010 chini ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali, F. M. Werema, ibara/ vifungu 63 (2) (l); 72 (1) (e); na 80 (6) (f) vinasema kuwa moja ya watu...
Hapa nyang'wale na geita mjini chama kina jina kubwa ila mgombea wa hapa nguru bright tanganyika amefanya tukio la aibu kwa wapenda demokrasia nchini,,kitendo cha kumfuata mgombea wa CCM bwana...
Akihutubia maelfu ya wakazi wa Musoma, Zitto alisema kuwa lengo la kufanya ziara katika Jimbo la Musoma ni kutaka kuhamasisha wakazi wa mji huo kumchagua mgombea ubunge wa Chadema, Vincent Nyerere...
JK SASA ASHAHIBIANA NA MIKHAIL GORBACHEV WA URUSI
Wote wawili waliingia madarakani kwa mbwembwe za mageuzi kwa JK ilikuwa ni Ari Mpya, Nguvu mpya na Kasi mpya na kwa Gorbachev...
Zitto Kabwe katika twiter and Face Book "just finished my rally in Kahama please ignore the malicious rumour going round that I've been involved in an accident am alive and well"
Amepikea sms...
Tangu aanze kampeni, sijamsikia JK kuzungumzia kwa kina, bila ya kigugumizi, uovu wa ufisadi na jinsi atakavyopigana na kansa hiyo iliyoenea katika serikali yake na jamii pia.
Jee haoni kama...
SIICHUKII CCM Ni kweli kuna mengi mazuri yamefanywa na CCM niichukieje?
SIMCHUKII RAIS WETU MPENDWA KIKWETE - Yeye naye ni mtu mzuri tu na amefanya mengi mazuri.
NINAYOYACHUKIA.
1. NINAUCHUKIA...
VIONGOZI WA DINI, WASOMI , WANAHARAKATI NA MASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI YATALAUMIWA SANA.
Katika jamii panapokuwepo na jambo linaloashiria kuleta madhara makubwa, ni jambo la kawaida kutafuta...
Nyufa hizo ni nne za kitaifa zilizoongeza migawanyiko mikubwa ni:-
a) Umasikini na tofauti za kimapato zimepamba moto na kunenepesha matabaka ya kiuchumi ndani ya jamii yetu.
b) Udini umeshamiri...
Miaka 11 tangu Baba wa Taifa, Mwalimu Julias Nyerere alipofariki dunia, ni muhimu taifa kukumbuka juhudi zake za kumkomboa Mtanzania kutoka katika ujinga, maradhi na umaskini ambavyo hata hivyo...
Ninaomba kuwasilisha ombi langu kwa Mzee Mwanakijiji na wengine wenye uwezo kama wake wa kujenga hoja ili wasaidie kutengeneza vipeperushi vitakavyosambazwa nchi nzima hasa maeneo ya vijijini ili...
Katika kufuatilia kwangu habari za uchaguzi mkuu ujao, habari ya wagombea wenza inayopewa kipa umbele na vyombo vya habari ni ya mgombea mwenza wa CCM, lakini wagombea wa vyama vya CHADEMA, CUF...
Mheshimiwa Slaa amezikubali kwa shingo upande takwimu za uchumi za mtandao wa Aneki.com, ambazo zinaiweka Tanzania katika nafasi ya 30 kati ya nchi 52 za Afrika kwa ulinganisho wa income per...
Amani na utulivu tunaojivunia unasemekana ni tunda la HAKI na USAWA.
Kama haki na usawa ikiondolewa basi AMANI HUONDOKA.
TANZANIA ILIDUMISHA AMANI NA UTULIVU kwa kuwa
1. HAKI ILIDUMISHWA
2...
WASWAHILI WANASEMA MAJUTO NI MJUKUU.
Laiti viongozi wa Rwanda walipokuwa wanahimiza visasi kupitia radio wangeweza kujua ukubwa wa madhara yake. Laiti wanadamu wangepewa kuona kesho itakavyokuwa...
Mimi si mwanasheria japo nasaka uhitimu wa kiwango cha kati (katika Sheria) kwa njia ya masafa.Kwahiyo nina uelewa wa wastani kuhusu masuala ya jumla-jumla kuhusiana na taaluma ya Sheria.Na ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.