Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
:A S new::peace:My fellow home of great thinkers tujadili, CCM wanajidai kabla ya kuchaguliwa wanasema watawatumikia ( SERVANTS ) citizens oohhhhhh soon after election they turn MASTERS...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ukifuatilia suala la sms za ccm huwezi kumweka pembeni waziri aliyekuwa na dhamana ya TCRA. Nani waziri aliyehusika na TCRA kabla ya kampeni za uchaguzi? Kwa vyovyote vile analo la kuhusu ushiriki...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
TCRA+VODACOM+MAKAMPUNI YA SIMU YANAVYOKATA MICHANGO KWA AJILI YA CCM Napenda kuchukua fursa hii kuutarifu umma wa watanzania unyonyaji unaofanywa na makampuni haya ya simu bila hata watanzania...
0 Reactions
50 Replies
4K Views
Sumaye agoma kumchafua Slaa Na Ezekiel Kamwaga Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye ameingia katika kampeni za mgombea urais wa chama chake kwa sharti la kutomchafua Dr Willbrod Slaa...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Ni mtazamo tu msijenge chuki Kuna uwezekano mkubwa ccm ikashinda uchaguzi mkuu bara kwa kutegemea sana kura za nzazibar.Ccm ambayo ina wanachama karibu nusu ya wapiga kura wa zanzibar ambao...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Nipo hapa uwanjani (umoja), namba t437 apa, t945anz, t751anz(machinga trans)...na baadhi ya maroli yanasomba watu vibaya mno.....na sasa hivi hapo nje kuna mapikipiki na mabajaji mengi mno...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Kwa ufahamu wangu CCM ndiyo tunaowatarajia kuchakachua kura kwa sababu hata wao wanajua wapigakura safari hii "hatudanganyiki" na mikakati ya CCM kupambana na dhuluma za ufisadi ili kumwezesha...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
  • Closed
Inakera sana kila kukicha Dr Jk anazidi kuchanja mbuga wakati mnasafirisha watu kwenye mikutano yake kwa maroli, first of all binadamu hawatakiwa kusafirishwa kwenye malori lkn kwa kuwa CCM na the...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
hili nilikuwa nalitarajia toka kwa ccm kuwa wangeandaa kongamano la kupingana na lile la wanazuoni siku ya kumbukumbu ya mwl nyerere,hebu tufanye tathimini,wapi walimuenzi mwl nyerere?ni hao...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kuna taarifa ambazo zimeingia muda si mrefu ujao ambapo Chama cha Demokrasia na Maendeleo kinaandaa maandamano makubwa na ya kihistoria yatakayolitikisa Jiji la Dar wiki ijayo, wiki ya...
0 Reactions
102 Replies
10K Views
no one can force you to see, if your eyes is open, no one can force you to understand if your brain is perfect, no one can force you to decide to live a bad life if you stand for a better life...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Wana JF, Leo katika pita pita yangu nilikuwa kwenye msiba wa baba ya rafiki yangu na nikawa pembeni na wananchi walio hudhuria mazishi na mara ghafla wakapita wagombea wote wa jimbo hilo kwenda...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
<object width="640" height="390"><param name="movie" value="http://www.youtube.com/v/DtFi-tyhxNs&rel=0&hl=en_US&feature=player_embedded&version=3"></param><param name="allowFullScreen"...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kuanzia sasa tbc wanataka kujiunga na watangazaji waliopo kigoma,kutuletea matangazo ya kuzimwa kwa mwenge na kikwete,hivi hawana taarifa kuwa kuna mdahalo pale nkrumah udsm wenye tija kwa taifa...
0 Reactions
42 Replies
5K Views
Nimeinakili habari hii kwenye Jukwa la siasa na ilianzishwa na RADI ( Mwana JF) Laikini nimeona inafaa hapa Jukwaa la Uchaguzi pia kwani Rostam anagombea ubunge KICHWA KILISEMA: Rostam mdeni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Imenishangaza sana leo kwenye uwanja wa Lake Tanganyika, Kikwete kutumia siku ya kuzimisha mwenge wa uhuru kufanya kampeni. Alikuwa anatoa ufafanuzi wa tatizo la maji Kigoma. Yeye amesema kuwa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wandugu, pamoja na nyombo nzuri saana ambazo tumekuwa tukizisikia toka kinywani mwa ccm kuna meeengi ambayo hatuyajui wala hatujayaona. Sijui wenzangu kama mlishafanikiwa kuona kilichofanywa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
FemAct yabeba wanafunzi elimu juu 60,000 kupiga kura Na Restuta James 14th October 2010 Mtandao wa mashirika yasiyo ya kiserikali nchini (FemAct) na mashirika mengine ya kiraia, yameandaa...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
KILA KONA ANAYOPITA MGOMBEA WA URAIS WA CHADEMA, HUKUTANA NA MGOMO WA WANANCHI DHIDI YA WAGOMBEA UBUNGE KUPITIA CHADEMA NA KUAMUA KUWAPIGIA KURA WAGOMBEA WA VYAMA VINGINE!! SASA HALI KAMA HII...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Back
Top Bottom