Wako viongozi wa vyama vya siasa wanawadanganya wafuasi wao wabakie vituoni kulinda Kura
Nadhani ni Mjinga peke yake atakayebaki kituoni ilhali yeye si wakala wa mgombea
Ni angalizo tu...
Wakuu,
Mkuu wa mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule amesema kuwa hatua zitachukuliwa dhidi ya mwananchi yeyote atakayeonesha viashiria vya uvunjifu wa amani kuelekea uchaguzi wa serikali za Mitaa...
Wakuu,
Hivi hizi kampeni zinazofanyika sasa si ni kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa? Au ni kampeni za Uchaguzi Mkuu?
Kwa sababu naona kama Tulia ame-lobby hii process na amefanya hii...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amewahamasisha wananchi kujitokeza kwa wingi katika kushiriki zoezi la uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa...
Chama cha ACT Wazalendo kimelaani vikali matukio kiliyoyaita ya kutekwa, kukamatwa, na kutishiwa kwa viongozi wake katika maeneo mbalimbali nchini, huku kikitaka hatua za haraka zichukuliwe...
Msije baadaye mkasema mmedhulumiwa kura au kura zimeibwa.
Mnapoingia uwanjani ni kuwa mmekubaliana na sheria na taratibu za mchezo. Hakuna excuses za kipuuzi. Ni kupambana na kukubaliana na...
Ofisi nyingi za serikali za mitaa ama labda zote Nchini Tanzania hazina vyoo (Naweza kuthibitisha), Hii maana yake ni kwamba Wenyeviti waliopo na wananchi wanaopata huduma kwenye ofisi hizo...
Akitoa semina elekezi kwa Wanachama na viongozi wa Chama Chake, Tundu Lissu amesema kwamba Sifa kuu ya Wakala ndani ya Kituo cha Kura ni Ukorofi, Kiburi, Jeuri na Ubishi.
Amesema Wakala hapaswi...
Wakuu,
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda atinga mtaani na Kampeni ya Usafi mtaa kwa mtaa, atangaza kuanza kupigwa picha za watu wachafu mkoani humo na kutangazwa hadharani.
Kupata taarifa na...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda baada ya Wananchi kutimiza wajibu wao wa Kikatiba wa kuchagua viongozi wasipoteze muda wa kulinda kura kwani sio wajibu wao.
"Achana na Habari ya kukaa...
Wakuu,
Viongozi wa dini mkoani Mbeya wamewahimiza wananchi kujitokeza kwa wingi kushiriki kwenye upigaji kura, wasisitizaumuhimu wa kushiriki kikamilifu katika maamuzi ya kidemokrasia.
Soma pia...
Kupitia andiko hilo la leo, Jumanne Novemba 12.2024 Kubenea ambaye ni mwanahabari nguli nchini na Mkurugenzi wa kampuni ya habari ya Mwanahalisi amedai kuwa kitendo cha vyama vya upinzani nchini...
Semaji la CAF, Ahmed Ally amewataka mashabiki wa Simba kupiga kura kabla ya kwenda uwanjani kushuhudia mechi kali ya hatua ya makundi dhidi ya F.C. Bravos do Maquis hapo kesho tarehe 27 Novemba...
Ikiwa imebaki siku moja kupiga kura kwa ajili ya uchaguzi wa Serikali za mitaa tarehe 27.11.2024 ,naweka kumbukumbu sawa Ili usiwepo upotoshaji wakati wa kutangaza washindi.
Tukumbuke kuwa...
Wakuu,
Mjumbe wa kamati ya uongozi ya chama cha ACT Wazalendo jimbo la Tunduru Kaskazini mkoani Ruvuma, ambaye pia ni mgombea wa uenyekiti wa chama hicho kwenye kitongoji cha Maholela, Mohamed...
Wakuu,
Wakati taifa likiwa linajiandaa kuingia kwenye Uchaguzi kesho, maalamiko ya uonevu kutoka CHADEMA na vyama vingine yameendelea kupamba moto
Huko Mjimwema, Kigamboni Mawakala wa CHADEMA...
Katibu Mkuu wa chama cha ACT Wazalendo Ado Shaibu , amewataka wananchi wa Kijiji cha Katanda, Kata ya ML. Magharibi, Jimbo la Tunduru Kaskazini, mkoani Ruvuma, kuzingatia vigezo vya uongozi bora...
Wanabodi,
Wakuu kuhusu salamu, nitaacha nafasi hapo chini kwa vijana wa UVCCM waje waweke wasalimie.
Yaani kuna uroho wa madaraka alafu kuna uroho wa madaraka wa CCM
Hiyo si kauli ni kauli ya...
Huu ni mtego kwa Wapinzani kupigwa virungu na Polisi, wakati vyama vya CHADEMA na ACT Wazalendo wakisema baada ya kupiga Kura wafuasi wao wakale kisha warudi vituoni kulinda kura upande wa CCM...
Chama Cha Mapinduzi kimesema kwamba uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024 utatuma salama kwa mtu au chama chochote kinachotaka kupambana na Rais Samia Suluhu Hassan...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.