Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Bila shaka umewahi sikia kuhusu msemo Pyrrhic Victory. Msemo huo unamaanisha ushindi uliopatikana kwa gharama kubwa kiasi kwamba umekuwa sawa na kushindwa. Miaka kama 300 kabla ya Yesu mfalme...
0 Reactions
0 Replies
105 Views
Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Tanga, Seleman Sankwa amefariki dunia leo Desemba 20, 2024 wakati akipatiwa matibabu katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete jijini Dar es Salaam. Kifo...
4 Reactions
54 Replies
2K Views
Nasemaga na yana kuwa tuna Muda wa kuweka historia katika maandishi, visiki na vigogo ndani ya CHADEMA hawaelewani, Mnajua mbowe kashtuka? ...yaani Lissu anataka kumfanya mtu asiyejielewa Saana...
9 Reactions
79 Replies
6K Views
Hongera sana Mhe Devotha Minja kwa ushindi huu mkubwa kwako kwa chama chako na familia yako. Naona uwewanyoosha machawa sawa sawa sasa piga kazi mpaka watu washangae
23 Reactions
118 Replies
4K Views
Katikati ya tetesi za mapendekezo ya watumishi kustaafu wakiwa na miaka 65 ili kuiokoa mifuko hii ya hifadhi ya jamii., mifuko hii ambayo kimsingi ni mahututi, NSSF wanakuja na hoja ya kujenga...
4 Reactions
15 Replies
539 Views
Viongozi wakuu wa CHADEMA wanaonekana kutomuunga mkono Tundu Lissu kwa madai hatoshi na hana weledi wa kuongoza chama! Freeman Mbowe anaonyesha haamini kama akikiacha chama mikononi mwa Lissu...
6 Reactions
25 Replies
695 Views
Wasalaam. Mababu zetu zamani zile walikua na misemo ya konakona na mingine imenyooka, hatimae ule usiku wa deni umefika kesho tarehe 21/12/2024 mh mbowe atatoa msimamo wake kuhusu uenyekiti ndani...
1 Reactions
12 Replies
333 Views
CHADEMA msimchukulie Mh Mbowe kirahisi, alijitoa sana sadaka kwa kuuza mali zake nyingi ili ajenge chama, msidhani CHADEMA imefika hapa ilipo kirahisi Tundu Lisu ni kivuruge ni mwanasiasa mzuri...
3 Reactions
36 Replies
823 Views
Picha inachezea hivi, Kuna kamati imeundwa kubomoa CDM kutoka kule, kunapesa mingi imetengwa kutoka kule na kwenda kule. Mh. FAM anataka mzigo zaidi ili aendelee kukomaa Mh TAL anamwambi endelea...
9 Reactions
33 Replies
2K Views
Wakuu, Kumbe ukiachana na mshahara Rais wa JMT anapewa Milioni 60 nyingine kila mwezi kutoka kwenye kitu kinachotambulika kama MFUKO WA RAIS? Kwa mwaka hiyo ni Milioni 720. Kwa hiyo kwa mwaka...
10 Reactions
89 Replies
3K Views
Kwa nini Lowassa (mtuhumiwa wa fisadi) alipata kura nyingi katika uchaguzi mkuu wa 2015 kuliko alizipoata Willibrod Slaa (msafi) mwaka 2010? Ni mvuto wa kisiasa, pesa, sera, upadri wa Slaa au...
0 Reactions
24 Replies
436 Views
Usahihi wa Makonda; Inaweza ikaamsha watendaji kuwahi majukumu yao kwa haraka na kwa wakati.........si mbaya. Usahihi wa Mchengerwa; Desturi hii ikiingia katika akili na damu za watu wetu, ambao...
0 Reactions
2 Replies
244 Views
Wakuu habari ya muda. Kuna msemo kuwa Duniani hakuna jipya mengi yamisha fanyika ni muda tu ndio unafanya tuone mapya. Tutakumbuka hili swala la Lissu linaendana kabisa na issue ya Seif Sharif...
0 Reactions
0 Replies
225 Views
Ndio hivyo. Baraza kuu lote let, akileta hoja inapigwa chini, na pale Wenje anabaki kama kiungo mchezeshaji. Haijaisha mpaka iishe, atapigiwa hata kura ya kutokuwa na imani
0 Reactions
1 Replies
192 Views
Dar es Salaam. Mwanasheria Mkuu wa Chadema, Tundu Lissu amesema marufuku ya kisiasa iliyowekwa na Serikali, kwa kiasi kikubwa, imemlenga Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa ambaye anamuelezea...
5 Reactions
54 Replies
9K Views
Kauli hiyo aliitamka Lissu kwa kejeli akiwakejeli wasioona nguvu ya Lowassa ndani ya nchi, Nawaambia hakuna mtu mwenye nguvu dhidi ya taasisi yeyote imara, labda kwa CHADEMA ndipo mwenyewe Mbowe...
5 Reactions
40 Replies
9K Views
Mkuu wa Wilaya ya Lindi, Mhe Victoria Mwanziva amewasisitiza wakala wa barabara mjini na vijijini TARURA Wilaya ya Lindi kusimamia ubora na thamani ya fedha kwenye ujenzi wa Mradi wa barabara ya...
1 Reactions
2 Replies
158 Views
Salaam, Shalom!! Tumeambiwa kuwa, tembo na simba hawali madini, lakini hatukuambiwa wakati madini yakichimbwa ndani ya Serengeti, hao Simba watakuwa wapi!!? Kutoa lesseni ya uchimbaji ndani ya...
13 Reactions
57 Replies
2K Views
Swala la kuchimba madini kwenye hifadhi za Taifa kuna Move kari sana inachezwa ni kama zile Move za Kihindi, Stering wa move atakufa akiacha move ikiendelea. Target ya kutaka kuchimba Madini...
18 Reactions
92 Replies
2K Views
Mwabukusi, Rais TLS, hali ya mahakama za mwanzo ni ya kusikitisha. Kuna wanasheria uchwara wengi. Rais Mwabukusi, sijui kama unajua hali hii hapa Ukonga? Katika mahakama za mwanzo, zipo ofisi za...
4 Reactions
9 Replies
295 Views
Back
Top Bottom