Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Ni wazi kauli ya mbowe inayosubiriwa kwa hamu na gamu kubwa sana na wana chadema na taifa kwa ujumla, atakayoitoa mbele ya waandishi wa habari, ndani ya masaa 48 yajayo, itaamua mustakabali...
0 Reactions
0 Replies
149 Views
Ahadi ni deni, muungwana hutimiza kauli, kwa nini Mbowe ni Mwenyekiti wa Chadema mpaka sasa,.miaka tisa baadae?
3 Reactions
4 Replies
620 Views
Kumekucha huko! Bwana mkubwa Mbowe amedai kwamba familia yake imechoshwa na mambo yanayomkuta mzee wao sasa wamtaka apumzike na siasa na akafanye mambo mengine. Hoooo! Sio mbinu ya kinamna ya...
7 Reactions
20 Replies
1K Views
Nimeona viongozi wote wa mikoa wa chama cha demokrasia na maendeleo wamepiga kambi kwa Mbowe wakijiapiza kumuunga mkono, naona Mbowe kafunga hesabu, uchaguzi umekwisha. Lissu anazurura peke yake...
3 Reactions
32 Replies
1K Views
Wanabodi, Kwa muda mrefu, viongozi wa Chadema, wanachama, mashabiki, wafuasi na wao, wamekuwa wakitawala mijadala humu jf, hadi kufikia kipindi baadhi ya watu kuidhania labda Chadema ina share...
24 Reactions
231 Replies
26K Views
Niendelee kutanguliza Msimamo wangu kuwa mimi pia ni Shabiki wa Lissu nakubali akili kubwa aliyobarikiwa,uwezo wa kujenga na kupangua hoja, Uwezo wa kusimamia anachokiamini hadi mwisho, Ujasiri...
1 Reactions
7 Replies
248 Views
Wakuuuu, Mbowe amewaambia wanachama waliokwenda kumhimiza achukue fomu wasiwashambulie kwa kuwatukana waliomtukana na kumfitini, bali wawasamehe. Asema huo ni ushamba tu. Pia soma: Kuelekea 2025...
3 Reactions
13 Replies
684 Views
Kumbe ndugu zetu wa Chadema uchaguzi kwao ni Vita Nimeogopa sana 🐼 =============== Lakini nataka wote mtambue sihitaji kwenda kwenye vita yoyote ambayo itakipasua chama hiki ila nahitaji kwenda...
0 Reactions
4 Replies
250 Views
Najiuliza hawa wafuasi wakereketwa wa Mh Mbowe, mwenyekiti wa kudumu CHADEMA Taifa, Hawa watu waliojitokeza kwa wingi na bodaboda si chini ya 50 ile aiku mbowe anaitisha maamdamano mbona...
4 Reactions
15 Replies
344 Views
Hello! Natumai mu wazima! Nchi ya Jamuhuri ya muungano wa Tanzania ni yetu sote watanzania ila kitu kibaya kuna baadhi ya kundi dogo la watu kuona nchi hii ya Tanzania inapaswa kuwa mali yao...
0 Reactions
3 Replies
206 Views
Wakuu, Nilidhani mambo ya uchawa yako CCM tu, kumbe hadi CHADEMA machawa wamejaa kibao na leo kwenye huu mkutano wao ndo nimeweza kuwa ==============================================...
1 Reactions
2 Replies
208 Views
Chombo hiki TANROAD kwa miaka kadhaa sasa kimekuwa kikichangia ukuaji wa uchumi, maendeleo ya watu na kurahisisha maisha yao kwa kutenda majukumu yao hata kama sio kwa 💯 % bali kwa kiasi kikubwa...
21 Reactions
153 Replies
8K Views
Enyi watu wabaya mjulikanao kama 'watu wasiojulikana,' nimezisikia njama zenu. Mnataka kuniumiza halafu mumsingizie Mwenyekiti wetu wa chama, Freeman Mbowe. Ndivyo mlivyofanya wakati wa kifo cha...
46 Reactions
189 Replies
6K Views
Wakuu wabunge wa zanzibar wamepinga kitendo cha tundu lisu kujifanya eti yeye ndiye mtetezi wa watu wa zanzibar wamemwambia kuwa wazanzibar wako na wabunge wao wa kuwatetea bungeni . wamemuonya...
1 Reactions
69 Replies
7K Views
Wakuu, Naona kuna nyuzi humu zilikuwa zinasema kuwa Mbowe ndio amepanga hili tukio la wanachama kumlazimisha kugombea Uenyekiti, leo Mbowe ameamua kuwajibu. Mbowe amesema kuwa hayo maturubai na...
3 Reactions
34 Replies
1K Views
Ndugu zangu Watanzania, Mheshimiwa Mbowe Mwamba Mwenyewe na jabali la siasa za Upinzani katika ukanda huu wa Afrika mashariki aliyejitoa kwa jasho na Damu kuijenga na kuiimarisha CHADEMA mpaka...
0 Reactions
8 Replies
331 Views
Makamu mkuu wa chuo cha mtakatifu Augustino SAUT,tawi la Mwanza,dk Charles Kitima amesema kutokana na mambo ya hovyohovyo yanayofanywa na serikali dhaifu ya CCM ni lazima itaondoka madarakani 2015...
0 Reactions
123 Replies
10K Views
Wakuu, Mdogo mdogo tuna swore allegiance na Bashite ili akiukwaa tusisumbuliwe kwenye mambo yetu! === Mtume Boniface Mwamposa wa Kanisa la Arise and shine (Inuka Uangaze),Mfuko wa Taifa wa...
1 Reactions
7 Replies
451 Views
"Hata alipokwisha kunena, Yesu alimwambia Simoni Petro, twika mpaka kilindini, mkashushe nyavu zenu mvue samaki. Simoni akajibu akamwambia, Bwana mkubwa, tumefanya kazi ya kuchosha usiku kucha...
10 Reactions
19 Replies
676 Views
Chadema itakuwa na msimamo mkali zaidi bila kujali nani atashinda. Hii ni kwasababu ya chaguzi na mwenendo wa nchi kwa sasa. Kama akishinda Mbowe bado itamlazimu abadilishe mbinu. Hivyo Kama Lissu...
1 Reactions
0 Replies
139 Views
Back
Top Bottom