Wanabodi,
leo kuna press conference muhimu ya Chadema。
hili ni bandiko la kitu kinachoitwa preemptive move ya kuisaidia Chadema ahead of Press Conference hii muhimu ya Mwenyekiti wa Chadema...
Wakuu,
Kama mnavyojua kesho kampeni za Uchaguzi wa Serikali Za Mitaa zinaanza kesho.
Wakati napitia hizi kanuni za kampeni za Uchaguzi kuna kipengele nimekiona ambacho kama wapinzani kinaweza...
Hili wala halina ubishi kubali ukatae wanaccm walio wengi wana upeo mdogo na elimu yao ni ya kuunga unga. Mifano ni mingi kuanzia juu kabisa pale makao makuu yao kwenye like jengo lenye bendera ya...
Katibu wa Itikati Mafunzo na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi CCM mkoa wa Njombe Josaya Luoga, amesema katika maeneo yote ambayo vyama rafiki havijaweka mgombea zitapigwa kura za ndio au hapana...
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Dkt.Emanuel John Nchimbi atazindua Kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mtaa kwa Wagombea wa CCM Mkoani Mwanza tarehe 20 Novemba ,2024 .
Lema akizungumza katika Mkutano na waandishi wa habari leo Novemba 13 amesema CCM wanakaa vikao na ACT Wazalendo ili kukifanya kuwa Chama Kikuu cha Upinzani nchini
Lema amesema kuwa CHADEMA...
Uandikishaji kwenye Daftari la Wapigakura wa Serikali za Mitaa umeanza rasmi leo, tarehe 11 Oktoba, 2024, na utaendelea hadi Oktoba 20, 2024. Hatua hii inampa fursa kila Mwananchi mwenye umri wa...
Askofu Bagonza ameandika hayo kupitia ukurasa wake wa Facebook;
Mwaka 2019 tulitangaziwa kuna uchaguzi. Likawa shindano la kujaza fomu. CCM wakashinda. Wapinzani wakarudi darasani kujifunza...
Kwakua mmekubali kushiriki uchaguzi wa serikali za mitaa na kujiingiza kwenye mtego wa kuhalalisha haramu ya CCM, basi nawashauri tumieni mbinu zote halali kudai haki yenu.
Nendeni mahakani...
Wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoani Arusha, ambao walidaiwa kuzua vurugu wakati wa uchaguzi ndani ya chama, wamejibu tuhuma hizo kwa kusema kwamba taarifa zilizotolewa...
Mkurugenzi wa Chadema Mh John Mrema amesema Chama chake kikifanikiwa Kupata Ushindi wa Kitongoji hata kimoja tu utakuwa ni Ushindi wa kishindo wa 100%
Mrema amesema 2019 Chadema haikushinda...
Wakuu,
Mbona maelekezo yameanza kuwa mengi na hata kampeni hazijaanza?
Msimamizi wa uchaguzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Lindi, Juma Mnwele amevihimiza vyama vya siasa vinavyoshiriki katika...
Wakuu,
Baraza la Wanawake wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAWACHA), limelaani vikali hatua ya kuenguliwa kwa wagombea wa CHADEMA katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Vijiji unaotarajiwa...
Maombi yanayoombwa na Waleta maombi ni pamoja na;
1. Mahakama Kutoa ruhusa kwa Waleta maombi kuwasilisha maombi ya kufuta Sheria Ndogo zilizotolewa kupitia matangazo ya serikali Na. 571, 572...
Kama hujuma wanazofanyiwa Wagombea wa upinzani katika uchaguzi wa serikali za mitaa hazima baraka za Kiongozi wa Nchi, nashauri yeye mwenyewe awaite viongozi wa vyama vya upinzani kisha asikilize...
https://www.youtube.com/live/hM2imb4c6lE?si=k17W_0YvvGSkfLRI
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mohamed Mchengerwa amewataka wagombea wote ambao hawajaridhishwa na...
https://www.youtube.com/live/vyP3aX84nHw?si=XkBNYCZhDqiFYwCB
PICHA NA MATUKIO YA UZINDUZI WA ILANI YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA, VIJIJI NA VITONGOJI
Huu ni Ukumbi wa Hakainde Hichilema; upo...
Wakuu,
Hivi karibuni Msemaji mkuu wa Serikali amejitokeza kuzungmzia uwepo wa taarifa potofu na za uwongo katika kipindi hiki cha Uchaguzi kwa kusema kuwa historia inaonesha kuwa katika kipindi...
Wakuu,
Waziri Mohamed Mchengerwa hivi karibuni amedokeza kuwa malalamiko yanayoendelea hivi sasa kwenye Uchaguzi wa Serikali Za Mitaa kwa wingi wake ni propaganda zisizo na msingi.
Soma pia...
Moja ya Sifa kuu ya Tundu Lissu ni Mkweli
Alisema CHADEMA bado haijawa na Wagombea wa kutosha kuikabili CCM
Hiyo imejionesha kwenye wilaya karibu zote
Mfano mzuri ni Kilosa Vijiji 138 Chadema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.