TUACHE UJINGA, TANZANIA SIYO UINGEREZA!
Mwaka 1997 aliyekuwa waziri mkuu wa Uingereza, John Major alishindwa uchaguzi na kupoteza nafasi yake ya kuendelea kuwa waziri mkuu.
Inadawia kwamba tangu...
Wasalaam,
Nimetafakari na kushangaa kwa ni nini chama dola chama pendwa CCM kinatumia nguvu nyingi ikiwamo vitisho kumnadi magufuli ili hali Mh kaleta maendeleo kama flyover, mabarabara na...
NEC imemuita mmoja wa wagombea Urais kutoka chama fulani cha upinzani kumhoji juu ya kauli zake kwenye kampeni za uchaguzi, hivi kwanini hatujasikia NEC ikimuita na kumuhoji Rais Magufuli pale...
Habari wakuu. Ugumu wa kazi ya Urais upo katika maeneo haya yafuatayo:
1. Kuwaunganisha watu,
2. Kuwafanya majority wawe na furaha na nchi yao
3. Kuboresha uchumi wa raia maana ndio tegemeo lao...
CCM kwa nje tunaonekana tuko wamoja na wenye upendo na Wagombea wetu. But ukweli ni kwamba moyoni mwetu tuna mambo ambayo tumeyaweka.
Kwa hiki kipindi miwili hatukuridhika namna Chama...
NINAKWENDA KATIKA MSAFARA WA LISSU PAMOJA NA UWEZEKANO WA KUPIGWA MAWE AU KURUSHIWA MABOMU NA RISASI!
Wiki iliyopita Jeshi la Polisi lilizuia Msafara wa Mheshimiwa Lissu eneo la Kiluvya jijini...
Wanajamiiforums, fikisheni salamu hizi kwa kila Mtanzania mpiga kura bila ya kujali itikadi ya chama chake kwani kama ni CCM huenda akaiona haki na yeye akatamani kutenda haki. Haki ambayo...
Jana ilikuwa siku maalumu ya baba yetu wa taifa hili. Niliitumia kutafakari maneno yaliyosemwa na Roma kwenye wimbo wake kuwa Tanzania ni nchi iliyobeba udongo wa dhambi ila tunalisaka sana taji...
Mpaka sasa CHADEMA na team mzima ya Lissu imeonyesha umahiri mkubwa katika cordination na organization ya kampeni yao.
Golungwa na Ally Bananga kama Ma-kampeni Manager wameonyesha uwezo mkubwa...
Ni kitu cha kufurahia na kushukuru sana kuona jinsi gani Rais unavyo jitahidi kuliweka jiji letu kuwa mobile kwa jitihada zako kubwa za kimkakati unazozifanya za kudumisha na kuimarisha...
Taarifa zinadokeza kwamba miongoni mwa majimbo mengi ya uchaguzi ambayo CCM itaangukia pua, limo Jimbo la Mbarali linalotajwa kuchukuliwa na Chadema , ambapo imetajwa sababu kuu kuwa ni ubora wa...
Makonda ni moja ya wanasiasa mahiri mwenye kipaji cha hali ya juu, ana ushawishi, ana watu, ana nguvu kubwa,anapendwa,anakubalika, anajua kujenga hoja.
Yote hayo sana CCM hawakuyaona,wakamkataa...
Nimekuwa nikifuatilia kampeni za wagombea wenza wa urais baina ya Salum Mwalimu (CHADEMA) dhidi ya Samia Suluhu (CCM) na kwa hakika kuna tofauti kubwa sana.
Nilijikita kuchambua kwenye mambo...
Jua linachomoza, madimbwi yamekauka kwa Upendo wa Mungu na watu kwa maelfu wanaelekea viwanja vya Kawe Tanganyika packers kumsindikiza kipenzi cha watanzania Dr Magufuli.
Karibuni nyote.
Rip...
Salaam,
Ndg. Tundu Lissu ni mwanachama wa JamiiForums tangu 2010 akitumia jina halisi.
Kwa sasa, Lissu ni mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA; hivyo akiwa kama...
Ililipotiwa huko Kagera kuwa msafara wa mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA Tundu Lissu kupigwa mawe pale alipokuwa akipita mbele ya Jengo la CCM akielekea uwanjani kwenye mkutano , mwanzo...
1. Unapotaja fly over ya ubungo na Tazara ishia Dar es Salam maana Kigoma awatakuelewa.
2. Unapotaja reli ya standard Gargey ishia Dodoma, Mtwara ni vigumu kukuelewa.
3. Unapokwenda ukerewe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.