Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Nimemsikia ndugu Rais kila mara akimnadi mgombea wa CCM jimbo la Kawe, Askofu Gwajima akisema kwamba wanakawe wamchague Gwajima kwa sababu ni mkweli. Mtazamo huu wa Rais umenifanya niulize...
4 Reactions
48 Replies
5K Views
Muda wa porojo umekwisha , sasa hivi tunaweka vielelezo tu ili kila mtu atoe maoni yake mwenyewe Sijui CCM inawezaje kushinda uchaguzi huu , tuombe Mungu tufike salama tarehe ya uchaguzi
5 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari Jf Taarifa zinaonyesha kazaliwa Makunduchi Wilaya ya Kusini, Mkoa wa Kusini Unguja mwaka 1962 hii ikiwa na maana kwamba mwaka huu anatimiza miaka 58. Miaka 20 iliyopita akiwa na umri wa...
5 Reactions
29 Replies
6K Views
Nasikia kuna watu wanapita huko na huko kwenye ofisi za umma kuuliza taarifa za wafanyakazi mahali walipojiandikisha, namba zao za kadi n.k na wengine wanakwenda mbali kwa kuwachimba mkwara kuwa...
4 Reactions
16 Replies
2K Views
Polepole bado Ni kijana, na hakuna kijana anaipenda CCM Ila kwa maslahi ya kuwa chama tawala. Hivyo Kama siku CCM (Mungu apishie mbali) ikianguka kwenye uchaguzi CCM itakimbiwa na wengi hata...
7 Reactions
28 Replies
2K Views
Adadi Rajabu na Andrew Chenge ni watu wasomi wa kupigiwa mfano na walishika nafasi nyeti sana nchi hii. Kiu yao ya kuendelea kuitumikia nchi hii imekatizwa na kikundi kidogo tu cha watu tena na...
9 Reactions
48 Replies
5K Views
Inawezekana wakazi wa Chato walikuwa wanaogopa kuwaeleza Watanzania kuwa ‘na sisi ni binadamu wenzenu tunaumia’, lkn kwa kujitokeza kwa wingi kiasi kile pengine zaidi ya walivyompokea Magufuli, ni...
78 Reactions
127 Replies
12K Views
Leo mgombea urais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania ,kupitia chama cha ADC ameendelea na kampeni zake katika Viwanja vya Bakhresa Manzese ,Jimbo la ubungo. Leo ni siku ya furaha na masikitiko...
0 Reactions
0 Replies
864 Views
Kwa mara ya pili katika kipindi hiki cha kampeni, bila sababu za msingi, hamna kivuko cha [URL='. Yote ni kwa ajili ya kuzuia tusifike huko. Sasa tutavuka kivingine na tutafanya mkutano kama...
59 Reactions
321 Replies
32K Views
Facebook imezindua programu kadhaa za kukabiliana na taarifa potofu na uingiliwaji wa uchaguzi nchini Tanzania kabla ya uchaguzi wa mkuu wa Oktoba 28 mwaka huu, limeripoti gazeti la Citizen. Mkuu...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Wanawake wamekemea vitendo wanavyofanyiwa vya udhalilishwaji na baadhi ya watu wakiwatukana wanawake wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi. Akiongea mgombea ubunge viti maalumu kupitia tiketi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Licha ya kipigo, alifikishwa mahakamani na baadae kupewa dhamana. Habari na picha hii ni kwa mujibu wa tweet ya Chadema Kanda ya Serengeti Pia soma > John Heche: Mgombea wetu wa ubunge...
5 Reactions
52 Replies
7K Views
Tusilete ushabiki kama ule wa SIMBA na YANGA linapokuja suala la uchaguzi, tukiitana majina sijui nyumbu sijui mataga, hii ni hatma yetu ni maamuzi kwa faida yetu ya kesho. Likitokea baya...
8 Reactions
18 Replies
908 Views
Wanabodi, Sina lengo la kuishambulia CHADEMA ila Kuna mambo yananitatiza kuhusu kuaminika kwao. Sote tunajua timbwili walilolianzisha bungeni kuhusu korona mpaka kufikia kijikarantini kibabe...
7 Reactions
85 Replies
6K Views
Familia hii ni moja ya familia yenye nguvu kuwahi kutokea Tanzania na Afrika Mashariki. Mke na mme kuwa na nguvu jukwaa, wasomi na watu wenye nguvu ya uthubutu Kama Hawa ni mara chache kutokea...
4 Reactions
5 Replies
1K Views
Mwl. J. K. Nyerere alisema Watanzania wanahitaji mabadiliko na wasipo yaona ndani ya CCM watayatafuta nje ya CCM. Kuna watu walidhani Tanzania tunahitaji mabadiliko ya maigizo maigizo. Nyerere...
3 Reactions
2 Replies
877 Views
Wakuu, Tundu Lissu Siku ya Kuamkia leo alilala nyumbani kwa baba wa taifa Mwalimu Nyerere baada ya kuombwa na watoto wa Baba wa Taifa. Watoto hao walijisikia furaha kubwa mno kupata ugeni mzito...
117 Reactions
575 Replies
55K Views
KUNA KIPINDI CHA KUWAKABIDHI UPINZANI NCHI HII LAKINI SIO SASA. Na Thadei Ole Mushi. Mwaka 2014 Nchi za Kenya na India ziliipita kwa mbali Tanzania kwa kusafirisha na kuuza katika soko la dunia...
6 Reactions
8 Replies
773 Views
It should be remembered that after Nyerere retired Tanzanians decided to turn to western countries model of life. We privatized every thing including public toilets under President Mwinyi and...
19 Reactions
115 Replies
6K Views
Aida Khenan ambaye ni Mgombea ubunge wa Chadema jimbo la Nkasi Kaskazini akiendelea kuomba kura kwa wananchi kama alivyotumwa na Chama chake Njia pekee ni kuzuia Mawakala kuingia na simu kwenye...
23 Reactions
55 Replies
6K Views
Back
Top Bottom