Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, mheshimiwa lowasa alifika kiwanjani saa 11 na dkk 20. Lakini tukaambiwa mzee anaahirisha mkutano mpaka siku ingine, wakati tunajua huwa hatumii zaidi ya dkk10...
8 Reactions
265 Replies
40K Views
Nimeamini Lowassa ni bingwa wa siasa za Tanzania, na anastahili heshima,huyu mtu anajua kucheza na siasa zetu hadi maadui zake anawageuza na kuwafanya wafuasi wake watiifu. Nani alitegemea...
4 Reactions
89 Replies
10K Views
Kila anapochangia...anasema yeye hana pesa ila amechangiwa na marafiki zake.Haya huwa anayazungumza anapokuwa anatoa mchango wake wa fedha nyingi sana kwenye vikundi. Watanzania hizo ni pesa zenu...
5 Reactions
145 Replies
13K Views
Mtoto wa aliyekuwa mgombea wa ubunge jimbo la Ulanga marehemu Celine Kombani ameshinda kura ya maoni ndani ya chama chake CCM hivyo kumrithi mama yake kugombea ubunge kupitia chama chake CCM...
0 Reactions
119 Replies
24K Views
Ni mgombea mwenzie CCM ambaye alipata taarifa kwamba anamchafua ndipo bwana Kangi akaamua kumuwinda na kumshushia vitasa vya kutosha. Mwaka huu tutaona mengi!
6 Reactions
60 Replies
13K Views
Mheshimiwa Eduward Ngoyai Lowasa, nikiwa kijana wa Kitanzania, napenda kutambua Mchango wako mkubwa katika kuelekea mabadiliko Tanzania. Lengo lako na wengi tunaopenda mabadiliko ya kweli ilikua...
2 Reactions
23 Replies
4K Views
Vijana Weng Wanaonekana Kuto Reason, Wasomi Pia Wanafika Hatua Hawa Reason, Mi Nimegundua Wanaojiita Wasomi Hawana Weled Wa Kutosha, Orodha Ya Watu Wenye Elimu Ya Mashaka, 1. Tundu Lissu, Huyu...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
CCM Chama imara Na chenye Sera nzuri. Wame pagawa wapinzani hawajui wafanye nini hawana pakushika. Hawana Ilani. Sera mbovu. Mapemaaa ina soma namba.
10 Reactions
131 Replies
21K Views
Baada ya kuunda tume ya uchunguzi kuhusu barabara za kinondoni. Report aliyopatiwa inaonyesha madudu mengi ya uchakachuaji. Madudu ambayo yalianzia katika ngazi za utoaji tenda na mpaka ujenzi wa...
0 Reactions
25 Replies
6K Views
Leo kwenye taarifa ya habari ya BBC Swahili saa tatu usiku, imeripotiwa kuwa John Magufuli amekuwa akikwepa kila BBC wanapotaka kumfanyia mahojiano. Matumaini yao ilikuwa iwe jana, finally, cha...
16 Reactions
167 Replies
176K Views
Membe alisema kuwa akiwa rais waliokuwa wanamkosoa (akina Pasco, Ulimwengu, Jf members, etc) itabidi wakimbie nchi (wakimbilie Kenya) kwa bahati yao hajawa rais (labda wataondoka Membe akiwa...
14 Reactions
195 Replies
38K Views
Ameahidi atakapoingia madarakani, atahakikisha kuwa mafisadi wote wanashughulikiwa bila woga. Mgombea Urais wa CCM, Dk. John Pombe Magufulu akizumgumza katika mkutano wa kampeni Mgombea urais...
1 Reactions
74 Replies
12K Views
Anafahamika kwa kufanya kazi kwa kujikweza na kutafuta headlines. Ni kada wa CCM anayependa matumizi ya nguvu na siasa za kutumia polisi. Nilimuona kwenye picha huko upareni mazishi ya kisumo...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
VURUGU zimetekeo katika kikao kilichoandaliwa na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Magesa Mulongo, kilicho wakutanisha watumishi wa Halmshauri ya Kwimba pamoja na walimu wa shule za msingi wilayani humo...
1 Reactions
60 Replies
12K Views
Leo katika pita pita zangu manispaa ya Singida kwenye kijiwe cha kahawa nimekuta wazee wa Kiswahili wanabishana kuhusu nani anafaa kuwa raisi Tanzania kupitia CCM wakitaja wafuatao Sitta, Lowassa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Mgombea urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ndugu John Pombe Magufuli leo ameshusha lundo la tuhuma kwa naibu spika wa bunge na mgombea ubunge wa jimbo la Kongwa kwa tiketi...
4 Reactions
86 Replies
14K Views
ALIYEKUWA Mbunge wa Temeke kwa tiketi ya Chama cha Wananchi (CUF) Abdallah Mtolea, ametangazwa na msimamizi wa uchaguzi kuwa Mbunge wa Jimbo la Temeke kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) baada ya...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Kwa kile ambacho tumekishuhudia Jijini Mwanza kinatoa ujumbe unaosema, Majimbo ambayo yako chini ya CHADEMA katika mikoa ya Kanda ya Ziwa yako mbioni kurudi CCM. Sina haja ya kuongelea Urais wa...
5 Reactions
166 Replies
34K Views
Ni mkombozi wa tanzania mpya ijayo mh raisi Edward lowasa kesho trh 12 atatia team mwanza akitokea musoma. Kila sehemu jijini mwanza ni shangwe, vigelegele, ndelemo ujio wa raisi wetu mpendwa...
24 Reactions
128 Replies
19K Views
Hilo wala si uongo. Slaa alikuwa anatuaminisha kuwa Lowassa ni fisadi. Lakini leo nnaona Slaa kazimwa na Mwenyekiti Mbowe, hasikiki wala haonekani. Nnauhakika kazimwa kwa ajili ya ufisadi wake...
16 Reactions
136 Replies
19K Views
Back
Top Bottom