Dada yangu Dorothy Gwajima, wizara ya afya Ili kushindwa na hili la ukeketaji mabinti wadogo nalo limekushinda?
Kweli viongozi wengi ndani ya Serikali ni wanawake waneshindwa kuzuia ukeketaji wa...
RIPOTA PANORAMA
MWENENDO wa mambo katika Sekta ya Bima si shwari baada ya kubainika kuwa Kamishna wa Usimamizi wa Bima (TIRA), Abdallah Baghayo Saqware ameshiriki kuanzisha Chuo Kikuu cha Bima na...
Kwa mara nyingine tena napata wasi wasi mkubwa juu ya ubora wa UDOM.
Wiki hii sasa wanafunzi wengi wa chuo hiki wanahangaika kuthibitisha kwamba wanastahili kuhitimu mwaka huu yaani mwezi huu...
Ndugu watanzania, mtajwa hapo juu ni mtumishi wa Serikali ya Tanzania.
Hajulikani aliko, anachokifanya ndani ya Wizara ya Madini tangu ateuliwe na JPM hadi sasa.
Cha kushangaza na kusikitisha...
Ndani ya Jeshi la Polisi Tanzania kuna Chama cha Wafanyakazi (TUGHE) ambacho kinaundwa na raia, I mean wale ambao siyo police officers but wapo ndani ya Jeshi la Polisi.
TUGHE ina matawi mengi...
Wilaya Uyui ina maaajabu yake ambayo nahisi sijawahi ya kuyaona katika wilaya nyingine.
1. Kuna ufisadi wa kutisha katika majengo yaliyojengwa (jengo la mkurugenzi jipya)
Yaani jengo la...
Huku taarifa za kina zikiendelea kutafutwa, Nimesoma kwenye mtandao wa Shinyanga Press Club kuwa Maji machafu na tope lenye kemikali limesambaa kuvamia makazi, mashamba na visima vya maji...
Fedha za miradi ya maendeleo za TASAF ndani ya kata Hiyo, viongozi wamegawana wao kwa wao na kuendeleza miradi Binafsi na sio ile ya maendeleo,
Wazee wa kata Hiyo wamepuuzwa na kunyimwa fedha...
Wanabodi,
Mengi yamejadiliwa kuhusu jinsi ya kutatua tatizo la shirika la bima ya afya Tanzania NHIF kufilisika lakini je tuna taarifa za kutosha zinazoweza kutuwezesha kufanya maamuzi sahihi...
Mh Makamba sijawahi kuona wafanyakazi wako wazembe mkiwawajibisha kwenye ziara zako zakusikiliza kero za wananchi nafikiri ndio sababu wakandarasi wakishirikiana na wakaguzi Kabla ya miradi ya REA...
JF wana
Nimefanya uchunguzi wa kitafiti kujua nini hasa malalamiko ya kila wakati ya watu kuiba miundombinu nikakuta kwamba kasi ya kupanda kwa nondo ndio sababu kuu watu kuiba nyaya za TANESCO...
Wewe! Wewe Makinika!
Wanyamwezi wa jimbo la Igalula sio wajinga!wanaziona sarakasi zako!
Tumia akili
Serikali imejitahidi kufikisha umeme vijijini Sasa ni jukumu lako kuhakikisha unasambazwa...
Serikali ya kijambazi, kifisadi, kihuni ndiyo inayoweza fanya hivi kwa wananchi wake. Inaiba pesa za wananchi wake maskini kwa kupachika tu majina ya kihuni.
Watu wameamua kurudisha pesa...
Salaam,
Tafiti zinaonesha kwamba wagonjwa wengi wa Saratani wamekuwa wakitokea Kanda ya Ziwa jambo ambalo linapelekea Serikali kuhangaika kutafuta sababu kwanini Kanda ya Ziwa?
Jana nimeona Mh...
Tayari Chama Cha Mapinduzi kimepitisha majina ya wanachama wake watakaopigiwa kura za maoni na kamati ya wabunge wa CCM kwaajili Ubunge wa Africa mashariki (EALA).
Mchakato huu tayari umegubikwa...
BARUA YA WAZI KWA MHE RAIS SAMIA SULUHU HASSAN
Mh Rais Pole Kwa majukumu, Mimi naitwa Emanuel Magoya Lucumay ni mkazi wa jimbo la Hai, nimelazimika kuandika barua hii kuelezea kilio cha familia...
Baada ya jitihada na kazi kubwa ya serikali ya kufanya tathmini na kuanza hatua za kurudisha mali za serikali ikiwemo Hospital ya Dar Group kupitia hotuba ya bajeti ya fedha 2021/22 aliyoitoa...
Tamisemi iimulike wilaya Songwe kwani wilaya hii inajiongoza kama taasisi yenye kujitegemea. (independet Ogani).Imetuhumiwa katika mambo mengi ya ovyo ovyo.
Haya yafuatayo:
1. Haifuati...
Makao Makuu ya CCM - DODOMA,
Tunaomba mfuatilie suala hili kwa sababu linawaumiza wagombea wengi sana katika mkoa wa Ruvuma katika uchaguzi unaofanyika wa CCM.
Mfano wa wazi:
Kuna idadi ya watu...
Niende moja kwa moja kwenye hoja yangu, tangu semiza zianze ni siku ya kumi na moja Leo kuna baaadhi ya halmashauri hazijalipa hata senti moja. Swali, hao wanasemina wanaishije, usafiri, nk...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.