Nimefika atua ya kuweka mfumo wa maji safi ndani ya nyumba. Naona fundi kaandika IPS ambazo ni rangi ya Damu ya mzee lakini most of my neighbours naona wametumia PPR ambazo ni rangi ya kijani...
Ndugu zangu naomba msaada kwa mwenye ujuzi katika ujenzi nataka nijenge kijijini pesa ngumu ngumu kweli je naweza jenga kwa kutumia material ya asili kama wajengavyo vijiji vya wenzetu nchi za...
1. Ukinunua ardhi(nyumba,kiwanja,shamba)hakikisha unafannya transfer(kuhamisha umiliki kutoka aliyekuuzia kwenda jina lako Mnunuzi) mara moja kadri uwezavyo.
Wengi mkinunua kwasababu hakuna...
Umuofia kwenu,
Nina kakibanda kangu huko mjini Kerege sasa wakati napiga gharama mbali mbali nikajikuta mambo yamekua mengi na mzigo (pesa inakata) na wakati huo nilikua tayari nishalipia pesa...
Hii nyumba inaonekana simpel sana..ila imekula nakshi kali mpaka kuonekana inavutia sana..najua kuna wakali wa hizi kazi humu..hivi ramani yake kwa ndani inaweza kuwaje?;(Najua ni kazi za watu)...
Nimegundua ukitaka kujenga ukisubiri Pesa zijae hata kibanda hutajenga, Basi sasa mliojenga ama wenye malengo ya kujenga ila bajeti inabana tushauriane ni bidhaa zipi tuanze kununua mdogo mdogo...
Asalaam aleykum ndugu zangu.
Naomba msaada wa picha na ramani ya nyumba za slopu ya kawaida kabisa ili kuokoa jahazi, maana mwenye nyumba niliyopanga ananifanyia vitimbi visivyoisha. Lengo...
Wakuu Naombeni ufahamu, fundi kaniwekea milango aina ya mkongo, baada ya wiki mbili imepasuka kama picha inavyoonyesha, naomba kujua tatizo ni nini na nitairekebishaje.
Aisee, wadau wa ujenzi mabibi na mabwana,
Imekaaje hii,
Nina jamaa yangu tulikua wote bar muda si mrefu, tumeachana kila mmoja aende kwake. Jamaa anasema kafika kwake alikopanga kakuta mlango...
ndugu mteja karibu kujipatia mabati ya taishan kiwandani mbeya mabati imara yanayostahimili vipindi vyote vya jua na mvua bila kupauka
○aina za mabati tuliyonayo
migongo midogo
migongo mipana...
Wakuu heshima kwenye,
Naamini mmestuka kidogo mkajua Uzi huu unafanana na Uzi wa Rikboy... hapana, hapa namaanisha NAMNA gani tunaweza kupata cement, nondo, tiles, mabati, fundi wa bei rahisi Ila...
Wakuu kwa waliotutangulia kujenga tupeane mbinu za kusimamia mafundi wale wezi wa vifaa vya ujenzi!
Je? Ni kuhakikisha unamsimamia kwanzia Asubuhi hadi jioni jino kwa jino ama unatakiwa kumuachia...
Wakuu ni hivi kuna utaratibu gani wa mtu kumiliki kihalali kiwanja ulichopewa tu kwa maneno bila nyaraka zozote?
Ipo hivi kuna kiwanja kilikuwa ni cha bibi yeye hana nyaraka zozote, kisha baada...
"Wall and underground concealed conduit wiring"
Habari wakuu,
Ningependa kuelezea aina hii ya ufungaji umeme kwenye makazi,tofauti na ule wa kupitisha waya juu ya dari na ukuta.
Katika mfumu huu...
Kwa maoni yangu binafsi nafikiri siyo sawa kujisifu umepanga nyumba nzuri, bora zaidi ukiwa na mjengo wako mwenyewe maana ujenzi ni mgumu na unahitaji mchakato.
Ukiona mtu kajenga mheshimu sana.
Naona mafundi bomba huku mtaani wengi bado wanapenda kujenga hizi chemba za kawaida (inspection chambers) katika mfumo wa maji taka wa nyumba (drainage system)
Kama upo kwenye ujenzi, utajenga au...
Habari wadau
Naomba ushauri, kwa kuta za nyumba ambazo zimepigwa chipping je naweza zipaka chokaa kama enzi za zamani (badala ya gypsum powder) kisha nipake rangi?
Asanteni kwa ushauri.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.