Wakuu kwa wale wenyeji wa Mwanza mtanielewa, nilbahatika kupata kazi Mwanza na sina muda mrefu sana lakin leo nimeshangaa kwan niliongea na mtu mmoja wa Buswelu ili anitafutie ka kiwanja nami...
Wakuu za jioni?
Niende kwenye mada bila kupoteza muda. Kuna kibanda nimejenga mahali na nimempiga vizuri tu. Tatizo lililopo ni mchwa wanaojipenyeza na kutukezea juu.
Niombe mwenye kujua dawa...
Wakuu habari zenu,
Ninatafuta sehemu wanapouza vyoo vizuri na imara vya kukaa. Kwenye pita pita zangu humu mitandaoni nimeona choo cha Arrow wanasema ni kizuri sasa sijui kinawapatikana wapi pia...
Naam!, ijue kwanza nyumba yako kabla haujaijenga!
Ukiijua vizuri nyumba yako kabla haujaijenga utapigwa sana na utamaliza hiyo nyumba umechoka sana!
Hapa kupigwa kupo kwa namna nyingi ama...
Hivi tukiungana wanaume 4 tukaanzisha kampuni ya ujenzi!, Yaani hapa lengo kuu sio kampuni ya ujenzi hapa lengo kuu ni kumiliki nyumba ya ndoto zetu!
Ukiwa na milioni 10 huwezi kujenga nyumba...
Naaanisha shimo,
Kuna fundi amekuja home akaona shimo lote halionekani, akasema kitaalamu haifai maana paving au kufunika na mchanga kunahifadhi unyevu ambao unaharibu ubora wa cement hivo life...
Wadau habari zenu,
Utafiti wangu wa kina umebaini kuwa watu wengi Leo hii wanajenga kwa kasi sana nyumba za kisasa zisizoonyesha bati lake. Ila wengi mno wanalia kipindi cha mvua, hazitililishi...
Habari za mchana wakuu?
Ninaomba wenye uzoefu na maswala ya ujenzi mnisaidie hapa.
Kulingana na ramani hii, mpaka nyumba ikamilike inaweza kutumia tofali ngapi na bati ngapi?
Nawasilisha.
Habar wakuu...mdogo wenu Jana nimechezea zile za TRAB na TRAT..kwa kufikisha mchanga site bila kuwa na Kibali...naombeni kufaham process huwa zipoje maana wale mabwana wale....ni balaa rushwa nje...
Poleni na majukumu wakuu, naombeni mawazo yenu binafsi nimefanikiwa kujenga nyumba ya room 3 zote master, sitting room kubwa, dinning, jiko, stoo na public toilet na kwa sasa nimeshaipaua...
Habari,
Naomba msaada kama inawezekana kukenga hizi nyumba za kisasa kwa kutumia tofali za kuchoma hidden roof
Huku ninapo kaaa nyumba nying za kawaida wamejenga kwa udongo pamoja na tafali za...
Kwa mujibu wa Sheria ya Upimaji na Ramani Sura Na. 324 ya Mwaka 1957 na kama ilivyorekebishwa Mwaka 1997, ni kosa la jinai kwa kuharibu au kusogeza alama za mipaka. Chini ya Sheria hii Vifungu...
Kama unajenga au una plan kujenga au u fundi ujenzi au unataka kuongeza nafasi kwenye nyumba ya bati uliyonnayo sasa, wasiliana na na sisi kwa ushauri wa bure na kujionea aina mpya kabisa ya...
Tasnia ya ujenzi imetoka mbali Sana,
Hili linaitwa jengo la flat iron, jijini New York
Waweza kupata picha dunia ilikua na wakandarasi wa ubora gani mpaka kusimamisha jengo refu la gorofa 22...
Ni jambo la kijinga sana kujenga nyumba ya thamani kuanzia milioni 40 na ndani ukashindwa kuweka thamani za kueleweka!
Unakuta nyumba haina Air condition (AC), ama heater kwenye sehemu za baridi...
Nakumbuka niliomba ushauri hapa na nikaanza ujenzi kidogokidogo, kwenye jamvi hili pakawa dira yangu Kila ninalotaka kufanya.. Kila hatua nilipata mrejesho hukuhuku nini nifanye pia kwa kupitia na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.