Habari wakuu,
Kama kichwa kinavosema nahitaji kujenga nyumba ya kontena yenye sebule, chumba cha kulala, jiko, ofisi, choo na bafu.
Je, kwa idadi ya hivo vyumba nahitaji makontena mangapi na...
Habari,
Site ipo Goba, nahitaji marine board kama 70 kwa ajili ya ujenzi. Nahitaji zilizotomika si zaidi ya mara moja.
Kwa Dar es Salaam naweza zifuata popote.
Ni hulka ya binadamu kujaribu kufanya vitu vizuri, watanzia tulio wengi tunajipima na tunapimwa mafanikio kimaisha kupitia ujenzi, ukionekana pesa inapita mikoni mwako lakini huna nyumba...
Napongeza juhudi za serikali yetu kwa hili. Tumeshuhudia miradi mikubwa ya nyumba za ma askari Dar na ufunguzi wa nyumba baadhi kule Musoma na IGP. Ulinzi ni mhimu sana kwa Taifa. Naomba...
Habari wana JF,
Kwa wale wataalam wa ujenzi na ambao mmeshajenga nyumba, nini suluhisho la kuondoa unyevu/kurowa kwa msingi wa nyumba?
Kwani unyevu/kulowa huko husababisha rangi ya nyumba...
Mwenye idea kuhusu "mkeka wa mbao" au "Floor decor" __ nimekuwa nikiona katika movies za nje (Ufilipino) na kwenye matangazo vifaa vya ujenzi hasa kenya.
Uzuri? wake na Ubaya? wake__ nimekuwa...
Habari wana jamvi,
Najua hali ni ngumu sana na kila mmoja anapambana pale anapo fanikiwa walau kidogo anaamua kujiwekeza kwa kununua kiwanja ili ajiwekee mazingira ya kuwa na kwake ilo nizuri na...
Kuna kiwanja nahitaj kukinunua ila changamoto za hiko kiwanja ni kwamba kuna korongo dogo limekatisha katikati ya kiwanja yani hakipo flat kabisa.
Naomba kujua changamoto za kujenga kwenye eneo...
Hbr wadau wa JF,
Naomba kujuzwa miji ambayo inakuwa kwa kasi ambapo unaeza kununua Mashamba nje kdgo ya mji ukaja kupima na kuuza km viwanja kwa faida kubwa.
Maana nilinunua viwanja singida...
Kuna nyumba Nimefika hatua ya wiring. sasa kuna Fundi jirani na ninapojenga aliomba kazi akaomba kunipigia gharama ya vitu. Moja ya vitu aliandika Main switch (3 phase 12 ways).
Fundi ambae...
Asalam Alekum ndugu zangu,
Naombeni ufafanuzi juu ya uhisika wa mamlaka ya Jeshi la Zimamoto katika taratibu za uombaji wa kibali cha ujenzi.
Nimekuwa nikisimamia ujenzi katika nyumba ya ibada...
Salaam wakuu!
Naomba kufahamishwa hii sehemu ya nyumba ambayo haijafutwa (chumba na choo chake, sebule na dinning) inaweza kuhitaji tofali ngapi kwa ajili ya msingi tu. Tuchukulie eneo la ujenzi...
Nyumba zetu zimewekwa namba hata zile ambazo mafurko haya fiki, Wamiliki kuulizwa tukupe pesa au tuku jengee nyumba?
Wamiliki wana pigwa picha na kupimiwa viwanja vyao ina semekan mwisho ni mwezi...
Naomba kuuliza, je, fensi ya tofali za bloko iliyojengwa bila nguzo za zege ni imara pia?
Hapa namaanisha, ile fensi ambayo imejengwa kwa matofali fensi nzima bila kuwa na nguzo za zege, bali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.