KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Nawaza loud hapa... Hv rasm ya katiba ikitokea wananch wengi wakaipinga.. Bado naona wanaweza ipitisha kwa kisingizo mbona 1992 weng walikataa democracy lakn busara ikatumika... Kama vile...
0 Reactions
0 Replies
894 Views
Ni kawaida kwa watu wa Zanzibar kulia lia,tangu miaka mingi mnatulalamikia watu wa bara kwamba tunaminya uhuru wa zanzibar, sasa kwa katiba mliyoipitisha hatutaki kuwasikiliza tena kero zenu...
5 Reactions
32 Replies
3K Views
Baada ya kufanikiwa kupitisha rasimu ya katika inayoendana na matakwa ya CCM, mwenyekiti wa bunge la katiba Samweli Sitta ndiye atakuwa mgombea wa nafasi ya urais kupitia CCM katika uchaguzi mkuu...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
WanaJF, Jana kwa walioangalia au kusikiliza BMK watakuwa wamejifunza mengi. Mimi binafsi nilifurahishwa sana na kilichotokea kwa sababu ilikuwa inategemewa kuwa hivyo. CCM walivyo wababe...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Hivi ndugu zangu; Ni kwa nini ukawa wasiende bungeni halafu wakapiga kura ya hapana ili kuifanya katiba inayopendekezwa isiweze kupita, kinyume chake wako mtaani wanafuatilia kwa makini upigaji...
2 Reactions
43 Replies
4K Views
Maamuzi ya UKAWA bado yanasimama na yatasimama siku zote....kususia bunge la katiba yalikua maamuzi bora kabisa...Hata upitishwaji wa rasimu yenyewe umefanywa kwa udanganyifu...Kura Mbili za...
0 Reactions
0 Replies
786 Views
Nimejiuliza sana juu ya wajumbe wa Bmk kushangilia kwa nderemo na vifijo juu ya upitishwaji wa Rasimu ya Chenge. Hii inashangaza kwa sababu Katiba inayojadiliwa ni ya Wanuanchi. Kwa majibu...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Wanabodi, Kufutia hiki kipigo cha Katiba Mpya kwa kundi la Wana UKAWA, Tume ya Warioba na Watanzania wote wapenda demokrasia ya kweli!, jee kinaweza kuwa ndio kiashiria cha awali kuwa hawa Wa...
3 Reactions
68 Replies
6K Views
Habari zenu wadau? Naomba kufafanuliwa hayo maswali yangu hapo chini: Bado najiuliza hiyo katiba inayopendekezwa ni ya Tanzania au Tanganyika? Mbona Zanzibar ina katiba yake na ina SURA na...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
wadau naomba mwenye soft copy ya katiba pendekezwa 2014 atupie hapa, sio rasimu nataka ile waliyotoa jana
0 Reactions
0 Replies
989 Views
Kwakweli imenipa kukosa raha kabisa mara baada ya mh. Sam 6 kutangaza kuwa rasimu III imekuwa halali. ukumbi wa bunge ulilipuka kwa vifijo nderemo vilivyoashiria furaha. Lakini cha ajabu kabisa...
4 Reactions
12 Replies
2K Views
Wakuu. Asilimia kubwa ya Ibara za Rasimu ya Chenge ni zile zilizotokana na Rasimu ya Warioba! Cha kushangaza ni pale Rasimu ya Warioba kukataliwa waziwazi mbele ya macho yetu huku tulikuwa...
1 Reactions
51 Replies
4K Views
We Will Keep Suffering It’s clear that Tanzania is poor and it will continue poor. Just because of the attitude of the people we have and leaders who are steering ahead the nation movement...
0 Reactions
0 Replies
550 Views
Kama kawaida ya viongozi wetu kufanya mambo kwa kufunika kombe, waziri mkuu amewaahidi waislam kuwa serikali itakuja na mswada wa sheria kutambua mahakama ya kadhi! Huo ni mkopo aliowakopa waislam...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Swali ni kwamba, imekuaje Wajumbe wote wamepiga kura ya Ndio kwa Sura na Ibara zote bila Upinzani wowote?. Au ndio tuseme kwamba, Was it an offer they could not Refuse?. An offer kama aliopewa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kabla hiyo Katiba inayopendekezwa na CCM haijaja kwa wananchi kupigiwa kura ya maoni: Nauliza Je, tangu uchaguzi wa Vyama Vyingi uanze Tanzania, je kule Zanzibar CCM ilishawahi kupata ushindi...
0 Reactions
3 Replies
956 Views
Kofi Annan once said, Knowledge is power. Information is liberating. Education is the premise of progress, in every society, in every family. Kwa wale wananchi(bendera fuata upepo) wanaoishi...
6 Reactions
112 Replies
9K Views
Kwa miaka mingi sasa, baadhi ya wagombea wa vyama vya Upinzani, wamekuwa wakidai kuibiwa kura na Chama Tawala. Madai haya yalitolewa kwa mfano katika chaguzi za Wabunge huko Igunga, Kalenga...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Wana jamvi,leo nimeona nilete swali hili kwenu,hivi mbunge wa Monduli na Waziri mkuu aliyejiuzulu kwa kashfa ya Richmond Edward Lowassa hawezi kutafuta urais bila kumchafua Rais aliyeko madarakani...
0 Reactions
70 Replies
7K Views
Kwamba wabunge wote ni 219 kutoka Zanzibar na hii inaleta kwamba quorum ya 2/3 ni 146 wapige NDIYO na 73 wapige SIYO. Kwa matokeo ya leo ni kwamba hicho ndicho kilichotokea. Sasa tuuchambue ukweli...
1 Reactions
22 Replies
4K Views
Back
Top Bottom