KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Kwa kura za fax/email na kutojua atakayezihesabu, akidi ipo. Kwa kupigia sura kwa sura badala ya ibara kwa ibara,akidi lazima. Kwa kura kupigwa kifichoni,akidi haikosekani. Tujiandae tu kwa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
TANGANYIKA UMEPOTEZWA TENA ZANZIBAR UTABAKI KWAPANI Rasimu ya Katiba inayopendekezwa inaondoa dhana ya usawa kati ya Tanganyika na Zanzibar. Zanzibar inaendelea kutambuliwa zaidi Kikatiba na...
2 Reactions
2 Replies
990 Views
Mwenendo wa Bunge la katiba la CCM umedhihirisha wazi udikiteta wa Samwel Sitta. Udikteta ni kinyume cha demokrasia. Sitta kaonyesha wazi rangi yake halisi. Mnyamwezi huyu amesimamia kubadilishwa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Namkumbuka sana Prof:- Lumumba (aliekuwa katibu wa tume ya katiba pale kenya) alituonyesha watanzania njia hovu ambayo ilifanywa na viongozi wa Kenya kwenye mchakato wa katiba, akatuambia Tume ya...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Bado najiuliza hiyo katiba inayopendekezwa ni ya Tanzania au Tanganyika? Mbona Zanzibar ina katiba yake na ina SURA na IBARA zinazokinzana na katiba iliyopendekezwa wanayoiita ya JMT? Kwa mfano...
0 Reactions
1 Replies
875 Views
Wananchi kuulizwa juu ya mustakabali yao ni njia nzuri sana ya kujenga umoja,heshima,amani na kuondoa manung'uniko ktk jamii.Ni kipofu tu ndiye anayeweza kupuuza madai ya mamlaka ya Tanganyika na...
1 Reactions
2 Replies
788 Views
Je watakuwa tayari kwenda hewani na kusema kwamba kura zao zilihujumiwa? Ibara zilizokataliwaje? Zimefanyiwa maridhiano? Hebu waliopiga kura za siri watuondolee usiri ambao bunge la katiba mpaka...
1 Reactions
2 Replies
968 Views
Ushauri ilani yenu mwakani swala la katiba litakuwepo na vyema mngetengua makubaliano yenu na kikwete ili hizi rasimu ya change iletwe mapema mtaani tuikatae ili waipitishe kwa kuiba kura muweze...
2 Reactions
3 Replies
942 Views
Nilitarajia uchakachuaji lazima ufanyike na ndo kilichotokea...ni matarajio yangu pia kura za wananchi zitachakachuliwa pia lkn tujitokeze kwa wingi ili washindwe....lkn hata wakichakachua msikate...
1 Reactions
0 Replies
773 Views
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba waliopiga kura za hapana za Rasimu ya Katiba inayopendekezwa wamedai kuwa wako matatani na mashakani. Wajumbe hao kutoka Zanzibar wamedai kutishwa na watu...
1 Reactions
38 Replies
5K Views
TAASISI ZISIZOKUWA ZA KISERIKALI- (WAJUMBE 20) TANZANIA BARA (13) 1. Magdalena Rwebangira 2. Kingunge Ngombale Mwiru 3. Asha D. Mtwangi 4. Maria Sarungi Tsehai 5. Paul Kimiti 6. Valerie N...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
TAASISI ZISIZOKUWA ZA KISERIKALI- (WAJUMBE 20) TANZANIA BARA (13) 1. Magdalena Rwebangira 2. Kingunge Ngombale Mwiru 3. Asha D. Mtwangi 4. Maria Sarungi Tsehai 5. Paul Kimiti 6. Valerie N...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nimefanya kautafiti kwa kutembelea tovuti za bunge la Tanzania, baraza la wawakilishi, na BMK na hii ndiyo idadi ya kweli ya wajumbe wa BMK kwa muujibu wa tovuti hizo...
5 Reactions
23 Replies
3K Views
MAJINA YA WAJUMBE WA BUNGE MAALUMU LA KATIBA Posted on February 7, 2014 UTANGULIZI 1. Uteuzi wa Wajumbe wa Bunge la Katiba Unatawaliwa na Sheria ya Mabadiliko ya Katiba, Sura...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Tanganyika inakuja,mamlaka yake itapiganiwa mpaka ipatikane.Muungano usiotoa haki sawa kwa pande zote sasa huu karibu kifikia mwisho. Haitadumu.Mbona siasa za chama kushika hatamu haikudumu?,Toka...
3 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu Wakati JK akizindua Bunge Maalum la Katiba alisema kuwa Majina ya Wajumbe wa Bunge hilo yataandikwa kwa "wino wa dhahabu" kwa kuwa watakuwa wameweka Historia katika kuandikwa kwa Katiba Mpya...
0 Reactions
1 Replies
781 Views
alishiriki kikamilifu kuwashawishi wabunge wa upinzani wapitishe sheria iliyounda bunge hili lenye wajumbe 201 wa kuteuliw na raisi hivyo ⅔ ya kura kila upande zote za muungano kupatikana...
0 Reactions
0 Replies
701 Views
Baada ya kumaliza kuandika katiba mpya kuna uvumi kuwa majina ya walioshiri kwenye Bunge Maalum la Katiba yataanikwa kwa wino wa dhahabu. Kisingi nionavyo haitapendeza majina yao kukumbukwa kwa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Hatimaye katiba inayopendekezwa kwa wananchi imepitishwa na bunge maalumu la katiba na kilichobakia nikuiwasilisha kwa Watanzania jambo ambalo litafanyika baada ya uchaguzi mwaka 2016. Sioni kuna...
0 Reactions
4 Replies
864 Views
Hakika kilichosemwa na Prof. Lumumba sasa kimetimia! Ni katika hotuba yake pale alipoalikwa kutoa uzoefu wake katika sakata la baadhi ya wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba al-maarufu kama UKAWA...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Back
Top Bottom