Wadau salaam, nimeulizwa swali hili nimeshindwa kutoa jibu. Sasa hapa ni nyumbani kwa great thinkers, sasa toeni michango yenu tupate jibu/majibu kwa mitazamo yenu.
Pamoja na hila zinazoendelea Dodoma.WanaCCM wanaona haya kukutaja.Tutamleta Rais wako,naam Rais Wa Tanganyika.Nitakupigania kwa moyo yangu wote na kwa akili zangu zote.Haijalishi lini.Sitaacha...
Mwanasheria Mkuu Z'bar akataa rasimu ya Sitta
Wenzake wamwita UKAWA, wataka kumpa kipigo
Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar, Othman Masoud Othman na askari nje ya BungeMWANASHERIA Mkuu wa Zanzibar...
Kama ambavyo nilitoa ushauri wangu hapo nyuma kuwa ukawa walitakiwa waitishe mkutano wa dharura kwa ajili ya kupiga kura za hapana. Sasa kilichotokea wenzenu wametumia mwanya wa kura za siri...
Wakuu salamu, yametia mambo ambayo leo makonda alijifanya kulitetea bunge la katiba na kuiponda jf kuwa tunatoa taarifa feki juu ya wajumbe wa bmk kutishiwa maisha kwa wale walio piga kura ya...
Wana jamvi ukiwaondoa ukawa na tume ya jaji warioba kwa uzalendo;mwanasheria mkuu ndie mzalendo na shujaa toka znz ambe ameitendea haki elimu yake kwakusimamia weledi na sio njaa!njaa!kama wasomi...
Wadau, amani iwe kwenu. Huku Dodoma hali ni shwari kwa siku ya leo. Nje ya UKUMBI wa bunge hali ya ulinzi imeimarishwa ingawa ni tofauti na jana. Leo wapo askari wachache na ile barabara kuu ya...
Ni ukweli ulio wazi sasa BMK imefika njia panda baada ya wajumbe wa kura ya hapana kuamua kuitisha vyombo vya habari na kuondoka kwa kile wanachodai usalama wao uko mashakani. Salma Said ni mmoja...
Kamati ya Maridhiano nayo ikagomewa.Wazanzibari wamesema wao wameshasema HAPANA na hawatasema NDIYO kwa vyovyote vile. Mwenyekiti Sitta amearifiwa kuwa Kamati ya Maridhiano iliishia kusubiri bila...
Spika wa bunge maalum la katiba (Samweli Sitta) ) ametikisa kwenye mitandao ya kijamii (twitter, whatsapp, fecebook, na instagram) kwa vimemo vyake ambavyo vinasemekana alikuwa anaviandika katika...
Wakuu,
Hivi wale wanaopinga kila kitu kilichomo ndani ya Rasimu wanatoa ujumbe gani hasa? Wanataka kutuambia hata Ibara zinazohusu haki za Binadamu hawazitaki? Au zile Ibara zinazohusu kupinga...
WANAHARAKATI wa masuala ya jinsia na mtandao wa wanawake na Katiba wamepongeza Rasimu ya Katiba Inayopendekezwa kwa kuingiza madai yao kwa asilimia 90 na kusema kuingia huko kumetokana na wao...
Mi naona kwa sababu wanatupiga virungu na kutmwagia maji ya kuwasha kama sio watanzania.
basi njia nyingine ya kuandamana..ni kutokwenda kwenye mikutano yao, au watakapo ita kupiga kura tusi...
MWENYEKITI wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta, amejiweka katika wakati mgumu kwa kuzua mgogoro mpya dhidi ya viongozi wa dini ya Kikristo, baada ya kuita waraka wao kuwa ni wa kipuuzi na wa...
WANAHARAKATI WAUNGA MKONO RASIMU YA KATIBA INAYOPENDEKEZWA
"WANAHARAKATI wa masuala ya jinsia na
mtandao wa wanawake na Katiba
wamepongeza Rasimu ya Katiba
Inayopendekezwa kwa kuingiza madai...
Kwa style hii ya wabunge wa BMK kutumia maneno ya mungu kwa dhihaka...yatawarudia.
Hisia za wengi watanzania wazalendo ni mpate katiba ya maridhiano.
Nikiwatizama wajumbe wa iliyokuwa ya Warioba...
Je unajua iliwachukua siku tatu bunge la katiba kupigia kura rasimu inayopendekezwa? Kama watu waliopiga kura ni 629 tu kama tume ya uchaguzi ingefuata mwendo huo wa kupiga kura kwa watanzania...
Habari za jioni wakuu.
Leo hii mwanasheria mkuu wa zanzibar alipiga kura ya wazi ya hapana kwa baadhi ya ibara zikiwemo ibara ya 70 hadi 75.Hali hiyo ilizua mtafaruku kwa baadhi ya wajumbe hasa...
Wana Jf
katika pitapita zetu tumeongea na watanzania mbalimbali wa rika zote kuhusiana na uhuni unaondelea Dodoma,inaonekana wote wanamtupia lawama Kikwete
Ukweli ni kwamba Kikwete asilaumiwe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.