Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana na Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi wa chama hicho, Nape Nnauye wakiwapungia wananchi walipokuwa wakiingia kwenye mkutano wa hadhara katika Kata ya Mlola...
Nimetafakari sana na kushindwa kuelewa lengo la Ukawa ni nini?
Napenda kujiridhisha kwa kusema kuwa, kiongozi na mshawishi mkuu wa Ukawa yupo nje ya Bunge Maalum Katiba.
Hivyo tunapo washauri...
Ccm mmejifungia dodoma kufuta vipengele muhimu vya rasimu ya katiba nasema nyinyi ccm tutawaadhibu kama sio ninyi basi watoto wenu.
mmefuta ibara ya maadili ya viongozi ili ufisadi...
SURA YA SITA URAIA KATIKA JAMHURI YA MUUNGANO Uraia wa 65.-(1) Mtu ambaye, kabla ya Katiba hii kuanza kutumika, ni raia wa Jamhuri ya Jamhuri ya Muungano ataendelea kuwa raia wa Jamhuri ya...
Amani kwenu wote,nimekuwa nikifuatilia bunge maalum la katiba toka kuanza kwake.ila nimeshangazwa na kitendo cha bmk kupitisha mambo mengi yasiyo na faida kwa wananchi ila kwa viongozi kwa mfano...
Kwa ufasaha wa Maelezo ya Umuhimu wa Mahakama ya Kadhi Bungeni leo, ni kama vile huo mjadala umefungwa rasmi, hakuna hoja itakayo tolewa na Mtu mwenye akili timamu atapingana na Sheikh Kundecha...
Jana, Mahama Kuu imeshindwa kutoa Tafsiri kuhusu mamlaka ya BMK kufanya marekebisho au maboresho juu ya Rasimu ya Katiba iliyowasilishwa na Tume ya Warioba kama ilivyoombwa na Mwanahabari Saed...
Kwa heshima kubwa nauliza, kwanini mnataka kukimbiza mambo? kuna lipi tusilolijua mnalotaka kulitimiza? Mnajua muda hautoshi, kwanini mnalazimisha kila kitu kifanyike kabla ya tarehe 4 Oktoba...
Ccm wanawaona Watanzania ni wajinga mno kiasi cha kulazimisha kutuandikia katiba wanayoitaka wao. Kufanya hivyo ni kuwadharau na kuwatukana wananchi. Uongo wao kwetu si kitu sana, bali kibaya...
nilitarajia kesi ya kuomba tafsiri ya kazi la bunge la katiba ingefunguliwa na UKAWA.Lakini hawakufanya hivyo.Kubenea na vihela vyake vidogo vya kubangaiza akatafuta wakili akafungua.Hukumu...
Wakuu,
Mpaka sasa hatujapata majibu kwa nini Warioba alificha takwimu za mabaraza ya Katiba na kukimbilia kutuambia juu ya watu 17000 tu wanaotaka Serikali 3.
Cha kujiuliza:
Kama Warioba na timu...
Vimbweka vya rasimu.
Ukipita FB na kwingineko kuona vijana-gamba wanavyojibaraguza kuunga mkono rasimu ya Sitta utacheka sana.
Wanatamani wapige picha wakionyesha ishara ya vidole viwili...
Katika pitapita yangu nimekutana na wananchi wakiwa kwenye vikundi tofauti tofauti wakiijadili kauli ya mwenyekiti wa bunge maalum la katiba ndg. Samwel Sitta ya kutaka ITV ishughulikiwe kutokana...
Hii inatoka Facebook page ya Wakili msomi Peter Kibatala
Peter Kibatala
Mahakama Kuu ya Tanzania iliyokaa chini ya Judges Augustine Mwarija, Aloysius Mujulizi na Dr Fauz Twaib imetoa uamuzi...
Ndg. wanajamii kutokana na hali ya mkanganyiko wa sasa wa mchakato wa Katiba, napendekeza kuwe na mdahalo ambao wazungumzaji wakuu wawe:
1. Jaji Joseph Warioba
2. Prof. Kabudi
3. Mh. Samweli Sita...
Wana forumn hebu mnisaidie kwa kawaida wajumbe ambao hawapo bungeni hawapewi posho yao ya kawaida , sasa tumeambiwa wajumbe ambao hawatakuwepo ndani ya ukumbi wa bunge siku ya kupiga kura...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.