Hali ya Upepo wa Kisiasa unavyovyuma Nchini, inaonekana wazi kua UKAWA imekula kwao.
Katiba Mpya imefikia hatua ya kupigia kura vipengele vya Rasimu mpya iliojadiliwa na Bunge hilo.
Maandamano...
Ndugu zangu ukweli tuuseme Change ametaja maeneo ambayo yamewagusa Watanzania hasa ushirika....Kilimo....Elimu.....na Malengo ya kitaifa ya kiuchumi.
Hakika kwa dhati ya moyo wangu kumbe binge...
Rasimu ya ccm inasema rais wa Tanzania atakuwa ma makamu 3 ni kuwatengenezea ulaji watu huku wananchi wa Tanganyika wakibebeshwa mzingo wa kuwahudumia hao makamu wa rais 'vichaa'. CCM imekuwa...
Naomba niwakumbushe wajumbe wa Bunge la Katiba kuwa itakuwa haina maana kama unaenda Madina kuhiji halafu unaipigia rasimu ya Chenge kura ya "NDIO" ilihali wajua fika kama ilijawa na dhuluma...
Baada ya tume ya Warioba kuvunjwa tovuti yake pia ilifungwa.
Sababu ni kuwa tume kazi yake ilikuwa imeisha?
Je hii tovuti ya bunge maalum itaendelea kuwepo au itafungwa?
Naomba niwakumbushe vijana wenzangu kuwa tusihadaike na baraza la vijana tukaacha masuala ya msingi kwenye katiba,
Ibara ya 51 kifungu kidogo cha 2 katika rasimu ya 3 iliyowasilishwa na mh...
KWA UFUPI
Asema suala la muundo wa
muungano halina maridhiano
katika jamii, litachelewesha
kupatikana Katiba Mpya
Amfagilia Rais Kikwete, asema
amefanya mambo makubwa kwa
nchi
SHARE THIS...
MAKAMU wa Rais Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC), Askofu Severin Niwemugizi, amesema maoni yaliyotolewa na Jukwaa la Wakristo Tanzania (TCF) juu ya Bunge Maalumu la Katiba, hayajatekelezwa na...
Rasimu Mpya iliyowasiliswa na Mh. Chenge leo imesema kwamba Mbunge atawajibishwa kwa kutochaguliwa tena kipindi kingine na si kuondolewa madarakani na wananchi waliomchagua kabla ya kipindi chake...
Ndugu wana Jamiiforums, Bunge la Katiba linaendelea UKAWA wametoka nje na hawataki kurudi ndani.
Lakini waliomo ndani nao hawana wasi wasi wowote ndo tunasikia wamekaribia kupiga kura za...
Mahakama Kuu ya Tanzania iliyokaa chini ya Judges watatu leo hii Tarehe 22 September 2014 imetupilia mbali pingamizi la Serikali dhidi ya Shauri lililofunguliwa nami kwa niaba ya Saed Kubenea...
BUNGE Maalum la Katiba, limepitisha azimio la kuzifanyia marekebisho kanuni za 30, 36 na 38 ili kuruhusu wajumbe watakaokuwa nje ya Bunge (ndani au nje ya nchi), wapige kura za kuamua ibara na...
MPANGO MZIMA NI KUFUNIKA AIBU YA KUKOSA THELUTHI MBILI
Waziri Rose Migiro majuzi alisema hoja ya kukosa theluthi mbili ya kura kutoka Visiwani haipo tena jambo ambalo linazua maswali mengi...
Kwa ufupi
Aliongeza; "Rais pia anatakiwa kuwa mzalendo anayeipenda nchi yake na adhihirishe mapenzi yake, awe na uwezo wa kuongoza na pia ame-prove (amedhihirisha) uwezo wake huo wa kuongoza."...
Leo majira ya mchana ndani ya maeneo ya Musoma mjini mkoa wa Mara tulipata ugeni.Na mgeni huyu sio mwengine ni Edward Ngoyai Lowassa.ilikuwa ni ugeni wa ghafla na kwa kweli kwa ughafla wake...
Leo mahakama kuu imethibitisha kuwa m/kit wa BMK anakiuka sheria, sasa kwa uelewa wangu mdogo, kinachokwenda kuwasilishwa kesho na mh. Andrew Chenge ni BATILI ,wenye uelewa na umakini mkubwa zaidi...
Aliyekuwa askofu wa kanisa la Anglikana Tanzania, Askofu MOKIWA amesema kuwa bunge la katiba linaloendelea mijini Dodoma ni ubatili na ukatili kwa Taifa hili. Amesema kuwa wapenda amani wamekwisha...
Dodoma
Ofisi ya Bunge la Katiba itamtuma ofisa wake kwenda Makka, Saudi Arabia kusimamia upigaji kura kupitisha Katiba inayopendekezwa kwa wajumbe wa Bunge hilo wanaokwenda Hijja.
Hayo yalielezwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.