Wiki iliyopita CCM walikubaliana, kwa kauli moja, kuipotezea Mahakama ya Kadhi na wakaafikiana kwamba wasiongelee suala hilo tena bungeni au mahali popote pale. Lakini kutokana na jeuri ya Samweli...
Leo asubuhi katika misa na ibada za kikriso mkoa wa kilimanjaro umesomwa waraka mkali unaoituhumu serikali na chama cha mapinduzi kwa kuchakachua na kuitupa rasmu ya pili ya katiba ambayo ilikuwa...
Napenda kufahamishwa kama office ya first lady wa Tanzania imetambulika kwenye katiba, kwani huwa mstari wa mbele katika kupigania haki za wanawake na watoto. Huko marekani firstlady ni...
Mchakato mzima umehodhiwa na wanasiasa wenye uchu wa madaraka na kila upande una maslahi yake binfsi ndani ya katiba hii mpya! Kwa mtaji huu hakuna uwezekano wowote wa kupata katiba hata mara...
Mheshimiwa Kessy atoa taswira halisi ya Muungano. Wazinzibari hawachangii chochote bara. Vipi kuwe na wabunge wao zaidi 86 wanaogharamiwa na bara wao na wake zao.
Vile vile amehoji vipi Raisi wa...
Alichokisema Kessy jana kilikuwa cha maana sana. Wakamnyamazisha eti Zanzibar iliachia sovereignty yake kwa Tanzania na kupoteza identity yake. Wanasahau kwamba Tanganyika nayo ilifanya vivyo...
Kwenye kundi la wanawake wako mama dada, shangazi bibi na mabinti zetu. Hivyo hili ni kundi lenye watu muhimu na makini sana kitaifa. Lakini siiamini kama imefikia hatua ya kuwa na uwakilishi wa...
Ni wazi mbinu zinazotumiwa na ccm kushinda uchaguzi zinajumuisha utoaji wa rushwa mbalimbali ikiwamo khanga,chumvi. Lakini kwa jinsi mjadala wa katiba ninavyoufatilia ccm wamekuwa siriaz kutaka...
Tanganyika ni nchi yangu ya asili, wote kizazi changu waliokwishatangulia waliishi na kuzikwa katika ardhi hii ya babu yangu. Madai ya mamlaka ya Tanganyika haitazimika kamwe; sijui hali itakuwaje...
Wana jamvi,
Napata ukakasi kidogo wa namna ya upigaji wa kura BMK kwa maana ya 2/3. Ccm wanaongea kwa uhakika kabisa kwamba 2/3 ipo bila wasiwasi wowote. Wakati huo huo inasemekana ni ngumu...
Napenda kumtahadharisha na kumsihi mh.Mbowe ajiandae kwa mashambulizi makali kutoka kwa wajummbe wa bunge la katiba wakiongozwa na mwenyekiti wao.Yote hayo itakuwa ni katika kujibu hotuba yako ya...
Katiba ya nchi ni kitu muhimu sana katika nchi yeyote ile duniani. Tanzania tuko katika mchakato wa kupata katiba mpya .Baadhi ya watendaji wakuu na viongozi wa bunge la katiba wanadiriki...
By @Humphrey Polepole
Suala la Mahakama ya Kadhi katika Mchakato wa Katiba Mpya - Kolamu - mwananchi.co.tz
Mfumo wetu wa Sheria umejengwa kushughulikia mashauri ya kimila na Kiislamu. Kwa...
TEC YAWASHANGAA UKAWA
Makamu wa Rais wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC), Askofu Severine Niwemugizi, alisema Ukawa walikuwa na kikao cha maridhiano na Rais Kikwete, hivyo...
Kama kichwa cha habari kilivyoonyesha hapo juu, mimi napenda kutoa ukweli wa moyo wangu leo.
Nakubali waislam waanzishe mahakama ya kadhi kwa sababu ya umuhimu mkubwa wa uwepo wa mahakama hiyo...
Ukiupenda chukua usipoupemda sepa.
Nawashauri waislam kwakuwa mahakama ya kadhi ni ibada waunde jumuiya ndogondogo za waislam ambazo watafanya ibada zao huko na watashitakiana ndoa zao huko na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.