Nimesikia eti wanahamasisha :peep: Wananchi walio na uelewa eti waandamane huku Viongozi wao wakiwa unakula raha KILIMANJARO / Serena hotel. Kupinga vikao vya Bunge vinavyoendelea DODOMA huku...
Watanzania wengi waliokuwa na matuini ya kupatikana kwa katiba mpya, wakiwategemea UKAWA kama wapiganaji wao naomba niwaambie tu adui kashinda. Kashinda vita kirahisi sana. Makamanda wenu wamepewa...
ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba, amesema ni vyema Bunge Maalumu la Katiba likasitishwa kwani Katiba bora haiwezi kupatikana kwa muda wa wiki mbili.
Kauli...
Akitoa mchango wake kwenye Bunge Maalum la Katiba, Mwenyekiti wa TCD na UDP John Momose Cheyo anasema kuwa mchakato wa bunge unaendelea vema. Alisema kuwa wakati walipozungumza na Rais Kikwete...
Kwa kuanza naomba kuwapa pole woote wenye majukumu ya hapa na pale na Mungu wetu si mchioyo wa fadhira anaendelea kutujaaria uzima na afya njema. Naomba kwa wajumbe wa Jamii forum kufahamu mawazo...
Sitta amedai kuwa baadhi ya viongozi wa ukawa wamesema wamtampeleka mahakama ya kimataifa,
Akizungumza leo hii baada ya utambulisho wa wageni bungeni akawafananisha viongozi wa ukawa na waigizaji...
Nasikitika sana kwa wale wanaopokea hela ya posho inayotolewa hapo BMK kwa siku .kama hela hiyo ni halali yao kupewa ,ukizingatia kilichowapeleka hapo sicho kinachofanywa ,tumesikia malalamiko...
Habari ya Asubuhi Watanganyika na Wazanzibar wenzangu.Leo nitazungumzia na kuhoji uhalali wa serikali kuifunga tovuti ya tume ya kukusanya maoni ya katiba mpya kama ilivyo kwisha kufunguliwa na...
TEC YAWASHANGAA UKAWA
Makamu wa Rais wa Baraza la Maaskofu wa
Kanisa Katoliki Tanzania (TEC), Askofu
Severine Niwemugizi, alisema Ukawa
walikuwa na kikao cha maridhiano na Rais
Kikwete...
kilevi ndani ya juici ya ikulu.ni heading ya gazeti moja la leo kwa hawa wanaojiita UKAWA.kwan juz tu walikutana na mkuu wa kaya kujadili hatima ya katiba ya wenyenchi na kukubaliana kuwa katiba...
1. Mahakama ya Kadhi:-
Waislamu walio wengi hawaoni sababu ya kupinga kuwepo kwa Mahakama hii ambayo itawahukumu waislamu na wale watakao penda kupeleka matatizo katika Mahakama hizo. Nchi ya...
Ndiyo ikiwa sharti la kuwa Mbunge kiwango cha elimu ni kidato cha nne ni SABOTAGE kwa sababu mazingira yetu ya leo serikali imeharibu mfumo wa elimu nchini ili kuwaweka vizuri watoto wa vigogo...
Kama yalivyo leo, Bungeni Dodoma, Suala la kuweka kipengele katika katiba mpya ambacho kitasema kua, Masuala ya Mirathi, Ndoa na Talaka kwa Upande wa Waislamu vishughulikiwe na Dini husika...
Mimi naona kuna kila dalili ya nchi kuingia katika machafuko au mkwamo(deadlock) kutokana na swala la katiba pamoja na uchaguzi mkuu wa mwakani.
Ili kuepuka hali hii,je haiwezekani mara baada ya...
Kutokana na taifa kuwa ktk mchakato wa katiba mpya na msuguano wa kisheria .
Tunaomba kwa manufaa ya taifa tuone maongezi kati ya raisi na TCD ili kuondoa sintofahamu ya makubaliano.
Je, tamko...
Akiahirisha bunge kipindi hiki cha Asubuhi hii Mh Sita amewataka wajumbe wote watakaokwenda hijja kuwasilisha vielelezo vyote muhimu kwani hata wakiwa huko watapigia kura katiba itakayopendekezwa...
Asalaam aleykum wana nzengo!
Niliwahi kumsikia mwenyekiti wa jukwaa la katiba Deus Kibamba akisisitiza kuwa joto la uchaguzi limepanda hivyo mchakato wa katiba usimamishwe kupisha uchaguzi wa...
Akihojiwa na DW Radio,Katibu wa BLK amesema kuwa hajui chochote kilichojadiliwa na kukubaliwa katika mkutano baina ya Rais Kikwete na TCD. Amesema kuwa BLK litaendelea kama kawaida kwa mujibu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.