Mwenyekiti wa bunge maalum la katiba amevinanga vyombo vya habari vinavyoandika habari za vikao vya bunge kuacha kuandika taarifa kwa minajili ya upotoshaji na kuzingatia maadili ya uandishi huku...
Uteuzi uliofanywa wa mawaziri wapya kunatukumbusha umuhimu wa kuwa na katiba inayotaka kuwa na mawaziri wasio wabunge. Endapo wigo ungekuwa mpana rais angeweza kuteua naibu waziri wa elimu mwenye...
Bunge hilo sasa linakadiliwa kuisha kati ya tarehe 15-22 Novemba.
Kwa mujibu wa bwana Ulouch ambaye ni mjumbe alisema ratiba hiyo imerefushwa , tarehe 1-9 sept kuwasilisha mapendekezo ya...
Kwa wote tutakaokuwepo Mahakamani hapo leo, ni vyema tukahabarisha kinachotokea. Ikumbukwe kuwa leo, pingamizi la awali lililowasilishwa na Serikali kupitia kwa Mwanansheria Mkuu wa Serikali...
Hamna kitu kibaya kama wanachi kupoteza imani tena kwny masuala muhimu ya kitaifa kama mchakato wa katiba,
Miezi kadhaa kidogo wananchi walianza kufuatilia mchakato wa upatikanaji wa katiba pia...
Wakati mchakato wa kuandaa katiba mpya kila mwananchi wa Tanzania ndani ya moyo wake alikuwa anatamani hivi, "natamani katiba hii imalize matatizo haya yoteeeee..........." halafu Mtanzania huyu...
WABUNGE wetu kutoka bara wanahitaji kuungwa mkono katika harakati zinazo endelea, kwa kiwango kikubwa wanaendelea kuifanya kazi ngumu, binafsi nawaunga mkono kuondoa neno Tanganyika katika...
Sura za 7, 8, 14 na zingine mpya ambazo jana jioni taarifa zake zilianza kutolewa na kamati namba saba na namba 10 taarifa zake zitaendelea kutolewa asubuhi hii na kamati zitakazoanza ni kamati...
Wakuu heshima mbele
Hili BMK linaloendelea ndio basi tena?
Naomba kujua kwamba kama "walio wengi" wanapendekeza serikali mbili, Ni lini "mapendekezo" hayo yalipita kwa maana ya kupigiwa kura...
MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba, John Shibuda amesema kwamba hajakihama Chama cha Demokrasia na Maendeleo bali amekosana na mfumo wa utumishi wa ndani ya chama hicho.
Akiwasilisha maoni ya...
NAIBU Mwanasheria Mkuu wa Serikali, George Masaju, Jana aliwasilisha pingamizi la awali dhidi ya kesi ya kuhoji mamlaka ya Bunge la Katiba linaloendelea mjini Dodoma iliyofunguliwa na Mwandishi...
Nimekuwa nasikia tu kwenye radio hasa wakati wa kupitia magazeti kuwa mwenyekiti wa BMK mzee Sitta akisema rasimu ya katiba ina kasoro nyingi lakini hazisemwi. Naomba kama pana mwana JF...
Ndugu WanJF,
Kwa kuwa niliwahi kushauri jinsi ya kuenenda na Mchakato wa Katiba hapo awali na sikusikilizwa mpaka tumefikia tulipofikia,napenda kutoa mapendekezo au ushauri mwingine utakaoweza...
Tangu awamu ya pili ya bunge la katiba lianze kwa vikao vya kamati na sasa mawasilisho ya jumala bungeni idadi ya wajumbe wanaohudhiria bunge hilo ni ndogo kulinganisha na madai kwamba wapo zaidi...
Bunge Lakataa Elimu ya Kidato cha Nne kwa Wabunge, Pendekezo la Rasimu ya Katiba kuwa wabunge walau wawe na elimu ya kidato cha nne limetupiliwa mbali na wajumbe wa Bunge Maalumu, baada ya...
Wandugu, salaaam
Nipo hapa nafuatilia BMK tangu siku ya kwanaza walionza kuwasilisha taarifa za kamati.
Mara kadhaa nimewashuhudia wawakilishi wa wasoma maoni ya wengi, wakiikana waziwazi...
Kila kamati inaposoma maelezo yao inataka kuondolewa kipengere cha elimu ya mbunge isiwe kidato cha nne, baadala yake kipengele hicho kisomeke awe anajua kusoma na kuandika kiswahili na...
Ni kupitia taarifa ya habari ya Star tv saa mbili usiku huu. Mwenyekiti wa kundi la Tanzania kwanza (nje ya bunge) linaloundwa na CCM ndugu Matefu
kasema wataandamana kumshinikiza balozi wa...
Hivi kweli kama tunatunga katiba itakayodumu miaka 50 ijayo kama sio kuzidi hapo, hivi kweli wajukuu wetu watakubali sifa ya mbunge kujua kusoma na kuandika basi? Kama tunazungumzia elimu bure kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.