Katika kauli mbili zilizotolewa na Viongozi wa NCCR- Mageuzi ( James Mbatia) na CUF ( Ibrahim Lipumba) wakihoji mabadiliko yanayofanyika Bungeni kuwa si halali. Napenda kuwakumbusha kuwa wao ndo...
Bunge maalumu la katiba
(munaoendelea na
mujadala mpaka sasa),
fanyeni yote ila msisahau
ya kwamba Mungu yupo
na jehanamu ipo. Hii si
hukumu ,ni hoja tu
kuhusu kinachoendelea
sasa Bunge...
Hakuna shaka yeyote ile kitendo alichokifanya AG wa Zanzibar, Bw.Othman Massoud, ni kitendo cha ujasiri/ushajaa na sifikiri kama kimewahi kufanyika kwa hapa Zanzibar. Yaani unapoona chombo...
Katibu Mwenezi Wa CCM Nape Nnauye amesema kamati kuu imebariki mchakato wa katiba maulum uendelee, alisema hayo wakati anahojiwa na redio ya DW leo mchana.
Kuhusu UKAWA Nape amesema hata kama...
Bunge ni chombo kilichoundwa au kinachoundwa kisheria na hufanya kazi zake kwa kufuata kanuni na sheria. Bunge lina kazi mbalimbali lakini kazi kubwa ni tatu ambazo ni kutunga sheria za...
Tukumbushane tukio la jana la mheshimiwa hamad rashidi kupewa ruhusa na mwenyekiti wa bunge maalumu la katiba (bmk) kumshambulia seif shariff hamad ilikuwa ni sahihi na ni mahala pake?? Kanuni...
Wajumbe wa kamati namba nne ya Bunge Maalum la Katiba, nusura washikane mashati kufuatia kuibuka kwa malumbano makali na kusababisha kikao kuvunjika.
Tukio hilo lilitokea jana mchana katika...
Taarifa ambazo bado hazijathibitishwa ni kwamba mwanasheria mkuu wa Zanzibar amemwandikia barua spika wa bunge la katiba kumtaarifu kujitoa katika timu aliyoiteua kuandika katiba baada ya vifungu...
Suala la Serikali tatu limeibuka upya
katika Bunge Maalum la Katiba, baada
ya mjumbe wa Bunge hilo, Said Arfi
(pichani), kusema kuwa Serikali ya
Tanganyika haiwezi kuepukika licha
ya wajumbe...
Ndugu wana JF ule waraka kuhusu mwenendo wa Bunge Maalumu la Katiba Mpya (BMK) uliotolewa tarehe 28 Agosti 2014 na Jukwaa la kikiristo Tanzania ambalo ni muungano wa Baraza za maaskofu wa...
Kama ni uhuni katika Mchakato Mzima wa Katiba, ulianzia katika tume ya Warioba kwa kuchakachua Maoni ya Watanzania waliowengi na hasa Waislamu kupitia Maoni ya Mtu mmoja mmoja na taasisi zao. Mimi...
Historia ya maendeleo katika mataifa yalio endelea inaonekana kuletwa na uzalendo thabiti kwa wananchi juu ya nchi yao. Uzaledo ni hali ya kuwa na moyo wa upendo thabiti kulitumikia taifa lako...
UKAWA walipotoka bungeni mwezi April ulituambia wanahongwa na Ujeruman, tukanyamaza kimya kwa sababu tuliwaelewa vyema akina Mbowe na wenzie, baadae Said Kubenea alipo fungua shauri mahakamani...
JUMUIYA YA KIKRISTO TANZANIA-TAARIFA KWA UMMA KUHUSU WAJUMBE WA BUNGE MAALUM LA KATIBA KUTOKA CCTJumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) inachukua fursa hii kuvishukuru vyombo mbalimbali vya habari kwa...
WAKATI Rais Jakaya Kikwete akitarajiwa kukutana tena na viongozi wa vyama vya siasa vinavyounda Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), leo kutafuta maridhiano ya mchakato wa katiba mpya, baadhi ya...
ZANZIBAR NI NCHI ILA TANGANYIKA NI SEHEMU YA JAMHURI WA MUUNGANO. TANZANIA IPO WAPI?
Katiba ya zanzanibar inaitambulisha zanzibar kama ni nchi, wananchi na viongozi wao wameapa kuilinda. Katiba ya...
WAKATI Rais Jakaya Kikwete akitarajiwa kukutana tena na viongozi wa vyama vya siasa vinavyounda Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), leo kutafuta maridhiano ya mchakato wa katiba mpya, baadhi ya...
Naomba nianze kwa kusema binadam huwa wabishi sana lakini siku ikifika ameumwa sana huanza kukumbuka kuwa Mungu yupo na ikiwezekana huomba aletewe viongozi wa dini ili aombewe apone au...
Kazi ya Kamati za BUNGE MAALUM LA KATIBA kuwasilsha taarifa za Rasimu ya Katiba Mpya ya Joseph Sinde Waryoba imemalizika mchana huu kwa Kamati zote 12 kutoa taarifa za Sura ya 11 na sura ya 15...
Tulianza kwa Mh. Rais kusema tutunge katiba mpya. Sababu kubwa ya kutunga Katiba Mpya ni ili wananchi waweze kuamua wenyewe aina ya katiba wanayoitaka.
Hatua iliyofuata ilikuwa ni je, tutajuaje...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.